Kama tukipata 40 Kwa fabinho na 10 Kwa Henderson...good business....FABINHO msimu uliopita ktk Few Games alikuwa kama Literal traffic uwanjani,Ana miaka 29 lakini alikuwa anacheza like he was 43 yrs old.
He was Physically incapable.
Ila kuna asilimia kadhaa za hendo kubaki na fabinho kuuzwaKama tukipata 40 Kwa fabinho na 10 Kwa Henderson...good business....
Unaongeza 50 ingine unavuta Caisedo

.Mnauza fabinho na Henderson ni kweli walikuwa wameisha ila mliwahitaji hasa fabinho katika kumchanganya na Hawa wapyaHii timu haiishi maajabu
Bila replacement za maana tutaumbukaIla kuna asilimia kadhaa za hendo kubaki na fabinho kuuzwa.
Kwa hii ya Fabinho tumeshinda.........We paid 44ml kwa Fabinho back in 2018, When he was 24 yrs old and emerging as one of the best DM in Europe.Kama tukipata 40 Kwa fabinho na 10 Kwa Henderson...good business....
Unaongeza 50 ingine unavuta Caisedo
Nimesikia Keleher akiondoka Pitaluga ..dogo wa kibarazil atapanda kuwa second goalkeeper...Adrian atabaki third choiceAnyway hii timu ikiamua kukusurprise inakusurprise kivyovyote tu.
Keita
Ox$!
Bobby
Milner
Wanaotarajiwq kuuzwa
Hendo
Fabinho
Six players hao ila confirmed ni wanne tu na mpaka sasa tumesajili wawili both MF’s
Tunashida ya RB & CB.
Na kuna taarifa Wolves wametuma bid kwa Kelleher £20M na kwa aliyosema Kelleher end of the season anaweza kuondoka.
Sasa ajabu ni kwamba Adrian atakuwa 2nd Golie akiondoka Kelleher. Kitu ambacho ni ujinga wa Klopp na lawama zote zitamwangukia. Unamwongeza vipi mkataba GK asiyecheza season nzima?? Huku ukijua 2nd Golie wako ataondoka incase ofa nzuri itawekwa mezani,???
Ngoja tuone
Fabinho kweli tulikuwa tunamuhitajiMnauza fabinho na Henderson ni kweli walikuwa wameisha ila mliwahitaji hasa fabinho katika kumchanganya na Hawa wapya
Hichi mnachofanya ni kamari , mnarudi sokon kutafuta DM atakayeendana na Mac Allister na Szoboslai, mnahitaji wa click kuendana na mfumo ,
Hii kamari ni yakiwango Cha juu
Utakuwa ujinga huuIla kuna asilimia kadhaa za hendo kubaki na fabinho kuuzwa.

Huo ndo uhalisia hata pre sesson kwenye wachezaji 32 waliokuwemo faby hayupo,kuuzwa kwa hendo labda klopp ashikwe masikio na kukemewa hilo jini lake litoke zaidi ya hapo niUtakuwa ujinga huu
Fabinho abaki.
Tunahitaji tu mtu wa kumsaidia angalau awe anapumzika..jamaa Kila mechi yupo 1st eleven,hata angekuwa nani angechoka.
Kuhusu Hendo Sisemi chochote bila Captain mwenzie Captain Marvelous kutia neno![]()

.Kuwa GK namba 2 kwenye Football unadhani ni kitu rahisi tu.Anyway hii timu ikiamua kukusurprise inakusurprise kivyovyote tu.
Keita
Ox$!
Bobby
Milner
Wanaotarajiwq kuuzwa
Hendo
Fabinho
Six players hao ila confirmed ni wanne tu na mpaka sasa tumesajili wawili both MF’s
Tunashida ya RB & CB.
Na kuna taarifa Wolves wametuma bid kwa Kelleher £20M na kwa aliyosema Kelleher end of the season anaweza kuondoka.
Sasa ajabu ni kwamba Adrian atakuwa 2nd Golie akiondoka Kelleher. Kitu ambacho ni ujinga wa Klopp na lawama zote zitamwangukia. Unamwongeza vipi mkataba GK asiyecheza season nzima?? Huku ukijua 2nd Golie wako ataondoka incase ofa nzuri itawekwa mezani,???
Ngoja tuone
Ila Fabinho angeachwa abakiHuo ndo uhalisia hata pre sesson kwenye wachezaji 32 waliokuwemo faby hayupo,kuuzwa kwa hendo labda klopp ashikwe masikio na kukemewa hilo jini lake litoke zaidi ya hapo ni.
Ila Fabinho angeachwa abaki
Bado tunamuhitaji,,anahitaji tu kuongezewa nguvu.
Hendo aende tu kwa kweli..ataenda tu kama mwenzie Milner..
Klopp kama anampenda sana amfate tu hukohuko,sisi hatumtaki.



......DM hii ndio Roho ya Midfield, DM ndio BASE ya kiungo, Hatuwezi kushindana na hatuwezi kupanga msimu wetu ujao with him at DM.Henderson atauzwa kwa Pesa na sio kuondoka Bure kama wanavyotaka wao.Huo ndo uhalisia hata pre sesson kwenye wachezaji 32 waliokuwemo faby hayupo,kuuzwa kwa hendo labda klopp ashikwe masikio na kukemewa hilo jini lake litoke zaidi ya hapo ni.
Lakini angepata backup mbona angerudi vizuri tu......DM hii ndio Roho ya Midfield, DM ndio BASE ya kiungo, Hatuwezi kushindana na hatuwezi kupanga msimu wetu ujao with him at DM.
Kwa current aliyomaliza nayo Fabinho kwenye DM ni Physically yupo kwenye hali mbaya angekuwa na miaka 25-26 ningekubali, Lakini he will be 30 next season.
Hatuna uhakika huo kama angebaki angeweza kurudi kwenye form yake ,Ni bora tu club imeamua ku-captalize sasa hivi kwa Mchezaji mwingine kuliko kuendelea sana. Angeweza kubaki na ku-Decline More zaidi ya season iliyopita.Lakini angepata backup mbona angerudi vizuri tu
Msimu uliopita karibia kila mtu alikuwa amechoka,siyo Fabinho pekeyake.
Fabinho wangu jamani😭Hatuna uhakika huo kama angebaki angeweza kurudi kwenye form yake ,Ni bora tu club imeamua ku-captalize sasa hivi kwa Mchezaji mwingine kuliko kuendelea sana. Angeweza kubaki na ku-Decline More zaidi ya season iliyopita.
Tunafanya Rebuild now ni kwaajili ya Future ya the whole Club tukifanya maamuzi ya Hisia tumepotea.

