Mnyakatari
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 2,111
- 1,920
Nadhani tunahitaji pia natural number 10.Tangu coutinho hatujapata mtu wa kulainisha vitu kwenye final third.Mtu ambaye atafungua hizo low blocks ambazo mara nyingi zinaisumbua Liverpool.Kiukweli tukipata Midfielder hata mmoja tena tunahitaji CB na Right back 1 each, hapo sasa tutakuwa tayari kwa kukabiliana na EPL msimu ujao, Maana pia tunae Stefan Bajcetic yupo vizuri sana.
Gakpo ni namba ngapi?Nadhani tunahitaji pia natural number 10.Tangu coutinho hatujapata mtu wa kulainisha vitu kwenye final third.Mtu ambaye atafungua hizo low blocks ambazo mara nyingi zinaisumbua Liverpool.
Mtu ambaye hata tukiswich kwenye 4-2.-3-1 atakuwa nyuma ya Gapko/Jota na katika mstari mmoja na Salah(kulia) na Diaz(kushoto).
Hii 4-3-3 ya Klopp inakwamaga sana mara nyingi tuu....
Nadhani tunahitaji pia natural number 10.Tangu coutinho hatujapata mtu wa kulainisha vitu kwenye final third.Mtu ambaye atafungua hizo low blocks ambazo mara nyingi zinaisumbua Liverpool.
Mtu ambaye hata tukiswich kwenye 4-2.-3-1 atakuwa nyuma ya Gapko/Jota na katika mstari mmoja na Salah(kulia) na Diaz(kushoto).
Hii 4-3-3 ya Klopp inakwamaga sana mara nyingi tuu....
Aisee yupo vizuri inatakiwa wapeleke bid kabla ya hao wengineViega angefaa Sana lakin nasikia hatujapeleka bids
Gakpo ni namba ngapi?
9 kwa huo mfumoGakpo ni namba ngapi?
Hapa tuchukue nani?View attachment 2647302
Nunez?9 kwa huo mfumo
Klopp ni bwege tu, Kwahiyo atamtumia kwenye FA tu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usenge ni kwamba tunampata Macllister ila Hendo ataanza badala yake.
Yaani hii ndiyo worry yanguUsenge ni kwamba tunampata Macllister ila Hendo ataanza badala yake.
Hata many Kone..Tumchukue sasa na Gabri veiga aisee
Why baba swaleheAlexis Macalister atakua mchezaji maarafu na miongoni mwa wachezaji bora wa muda wote kuwahi kuchezea liverpool
Our own little Messi
I know quality players when I look on their eyes mkuuWhy baba swalehe
Macalister done...
Bado Manu Kone na replacement ya Trent kwenye defence..we are good