Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

umeiweka vizuri, ila sijui kama ataelewa hiyo ndugu!
 
Hv wamenipga ban kwenye id yangu hii? Yaani nashindwa kupost wala ku create post. Sasa namm nimepewa kazi ya kupiga ban yaan nitapiga ban kila mtu [emoji23]
 
Mchezaji akitakiwa Tu na Liverpool anapanda thamani na kuanza kugombaniwa...

Manuel Urgate Chelsea na PSG wanamgombania...
Acheni hii nadharia, kila team ina scout wake, nyie sio wa kwanza peke mliokuwa mnamtaka Ugarte.

Kwamba mnataka kusema nyie ndio mmemuona ugarte peke yenu?

Vipi kuhusu Manu Kone,K Thuram?????
 
Acheni hii nadharia, kila team ina scout wake, nyie sio wa kwanza peke mliokuwa mnamtaka Ugarte.

Kwamba mnataka kusema nyie ndio mmemuona ugarte peke yenu?

Vipi kuhusu Manu Kone,K Thuram?????

Mimi nafatilia transfer rumours mwaka mzima...sikuwahi sikia Chelsea wala timu yeyote Ile inamtaka Ugarte...zaidi ya Liverpool...
Kama Jude Belingham...mwaka mzima ni Liverpool inamtaka ...halafu mwishoni unasikia Kaenda Madrid
 
Kuna team zinafatilia mchezaj kimya kimya,
Kuanzi April chelsea scout walikuwa wanamfatilia Ugarte.

Ni sawa na leo hii hawa wakina Manu Kone,Thuram wote hawa tulikuwa interested nao ila sio main priority
 
Acheni hii nadharia, kila team ina scout wake, nyie sio wa kwanza peke mliokuwa mnamtaka Ugarte.

Kwamba mnataka kusema nyie ndio mmemuona ugarte peke yenu?

Vipi kuhusu Manu Kone,K Thuram?????

Kuna nadharia zina ukweli mkuu.

Kipindi cha wenger hiki kitu kilikuwepo, miaka ya karibu imekuwa hivi kwa Liverpool.

Transfer za hivi zimekuwepo sana tu na zitakuwepo. Kuna makocha wanaaminika wakimtaka mchezaji % kubwa huwa na kipaji kizuri. Na kuna wachezaji wanauzwa na media pia.

Kwa sasa hivi LFC, anapogusa tu hata bei lazima ipaizwe. Hii ni kanuni tu mkuu the higher the demand the higher the price.
Caicedo (hakuna aliyemtaka kwa top teams kabla ya Liverpool). Last summer january Arsenal & Chelsea wakaingilia deal.
Belligham before Liverpool hakuna top team ilikuwa na story nae, baada ya liverpool kuingilia deal Madrid huyu hapa.

Umesikia timu kubwa inahusishwa na hao, Kone & Thuram?

YNWA.
 
F
Anfield Expansion.

FSG katika ubora wao.!!! Hapa hata hawaitaji ushauri wa mtu yeyote ni kumwaga pesa tu. Makusanyo ya timu yanawekezwa humu, ila ndani ya uwanja ndio POLICY nyiiiiiiiiingi.

Anyway tutawakumbuka(ga) kwa hili.

ynwa
 
Attachments

  • ce82c7bb-4af4-4e06-9997-1a98e1065e76.jpg
    56.5 KB · Views: 19
  • ea9611d1-6ae5-424a-9932-e60db7fc8641.jpg
    39.9 KB · Views: 22
Yes, Kone n Thuram wote wako kwenye target za chelsea sema sio main priority kama ilivyo kwa Ugarte n Caicedo
 
Utakuwa unamaanisha Marcus Thuram Yule timu nyingi zinamtaka..
Liverpool tumem target mdogo wake.... Chelsea labda muanze sasa ..
I mean yule Khephre Thuram, ambae anaecheza Ligue 1 Club ya Nice
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…