Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,398
- 17,793
ndio nasema mabadiliko ni lazima. Ni wakati sasa wa Klopp kuwaamini vijana.The earliest Liverpool can return to CL football is 2024/25. By then....
• Alisson will be 32
• Van Dijk will be 33
• Matip will be 33
• Robertson will be 31
• Henderson will be 34
• Thiago will be 34
• Fabinho will be 31
• Salah will be 32
Move Trent at CAM?
How?
Captain mpumbavu kuwahi kutokea katika historia ya Liverpool ni huyu Jordan Henderson
Move Trent at CAM?
How?
Salah apologises but Captain Henderson comes out with “we dont need major signings and I'm good to play for another 3 years." This club, man.
Heeee!!
Captain ndo amesema hivi?
Au wamemlisha tu maneno[emoji38][emoji38]
Tumekwisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
.... kwa maoni yangu, liverpool haitaji tena wachezaji wa aina ya Mount, au Jude. Liverpool inahitaji signing mbili au tatu. Holding midfilder wa kumsaidia Fabby. Na AM mwenye mwenye viwango hapa McAllister anafit.
Ni wakati sasa wa Klopp kubadili aina ya uchezaji. Aende na 3-5-2.
Matip-Konate-VvD. Kisha anamfanya salah na Diaz kuwa ni mafull back. Diaz- Jones-Fabinho Elliott -Salah. Kumbuka kwa formation hii tunahitaji wachezaji wa pembeni (flank) wenye uwezo wa kudrible. Hapa ndio Diaz na Salah wanapofit.
kisha anamaliza na Jota na Gapko. Hawa jamaa wawili ni goals machine.
Captain Heddo atakuwa ni backup ya Fabby wakati TAA na Robbo wao watakuwa ni backup ya salah na diaz.
liverpool inahitaji mabadiliko ya kiuchezaji. Hii timu akipewa Conte na aina wachezaji waliopo pale wallah atapata matokeo mazuri. Change may some tyms have a pains but still is needed.
Tubadilike. Angalia soka linalochezwa na City, Brighton na Arsenal. Hata wasipopota matokea mazuri lakini soka lao ni zuri na la kuvutia.
MkuuMove Trent at CAM?
How?
Dortmund
Dooh hii imeniuma
Mechi ilipangwa hiiAisee i feek them.
Dah.!! Ukatili sana mechi ya mwisho nyumbani, how did they fail to manage to win???
Huyu jamaa sikujua kama ni mwehu kiasi hiki😆[emoji81]
Captain wako huyo kayasema hayo. “No need of major signings.”
YNWA.
Kaongea kimafumbo Hakuna mchezaji mkubwa ataekubali kuja kucheza Europa leagueHuyu jamaa sikujua kama ni mwehu kiasi hiki[emoji38]
Huyu jamaa sikujua kama ni mwehu kiasi hiki[emoji38]