Ugarte ....
Barella..
McAllister
Rumours hizi zitatunyofoa viungo..!!!
They are all good kufit kwa Klopp.
Nafikiri twapasa kufanya biashara kubwa 2-3 kimya kimya ili kupata wachezaji wazuri kwa bei nzuri.
Rice nasikia Westham wameshasema anapatikana kwa £120m hapo timu bado hazijaanza kupeleka maombi ya kumsajili.
Yasije kuwa ya Kevini Philips.
YNWA
Rumours hizi zitatunyofoa viungo..!!!
They are all good kufit kwa Klopp.
Nafikiri twapasa kufanya biashara kubwa 2-3 kimya kimya ili kupata wachezaji wazuri kwa bei nzuri.
Rice nasikia Westham wameshasema anapatikana kwa £120m hapo timu bado hazijaanza kupeleka maombi ya kumsajili.
Yasije kuwa ya Kevini Philips.
YNWA
Rumours hizi zitatunyofoa viungo..!!!
They are all good kufit kwa Klopp.
Nafikiri twapasa kufanya biashara kubwa 2-3 kimya kimya ili kupata wachezaji wazuri kwa bei nzuri.
Rice nasikia Westham wameshasema anapatikana kwa £120m hapo timu bado hazijaanza kupeleka maombi ya kumsajili.
Yasije kuwa ya Kevini Philips.
YNWA
View attachment 2618364
Away kit 2023/2024
Kuna sehemu nimesoma Liverpool inahusishwa na midfielders 58
Why hatutoi jezi zenye kola tena...
Pengo la Milner na Ox hayatozibikaWana ondoka hawa..
1.Firmino
2.Milner
3.Ox
4.Keita
5.Arthur
Je tutapata replacement quality??
Thiago kafanyiwa operesheni... hip surgery
I read one article, Klopp anataka kwenda mazima kwa Tielemans as a free agent.
Huyo bora aje tu, Belgium atleast ataongeza quality. Wacheza watakaosajili kwa gharama kubwa nadhani wawili au watatu, tukisajili zaidi ya hapo basi ujue free agents watakuwepo.
Kwa bei zilivyo tutatumia sana, sana haizidi £150m labda FSG wapigwe hasara ya kutofuzu CL, iwaume waamue kuwekeza.
Japo sioni ikiwa sababu, sana kwani kuna expansion ya uwanja itaanza baada ya mechi ya mwisho ya ligi pale ANFIELD vs Villa.
YNWA
Fsg wapumbavu Sana..
Wanatafuta hela wakaanzisha timu NBA huko las Vegas ..na wanatumia kuuza hisa za Liverpool Kwa ajili hiyo..
Sina matumaini kabisa
Ishu hapa ni kujua Klopp ela inatoka wapi je FSG watakopa ama watamwambia Klopp auze wachezaji ndio anunue.. Kama watakopa let say 200m hivi then hapo inakua ni proper chest kuingua sokoni kimkakati... Ambapo apate 3mfs established na RB mmoja established na CB moja upcoming... Then kama ikitokea Klopp ameuza hapo ataongeza sasa squad players..Yes..!! They are not elite players, lakin vipi kama una jones 1st eleven, na timu linaenda enda tu, why not Tielemans??
Hawa wanaweza kutupa depth hata mickey mouse cups timu inakuwa na players wa kiwango cha Ward wanawapa kitu.
Nafikiri tutapata 2 elites and 2 as 2nd choice. But i believe Klopp kwenye kuwafanya wasiojulikana wajulikane.
YNWA
Tuna wamiliki wanyonyaji mpaka basi... Unapokea mkono wa kulia aafu mkono wa kushoto unatoa.. Liverpool ndio main asset kwao kuvutia wawekezaji kwenye hio empire yao nk lakini wapo clueless kabisa namna bora ya ku maximise opportunities zilivyojitokeza chini yao especially kushinda EPL zaid ya moja wao kushiriki UCL wanaona wamemaliza kila kitu ndio maana msimu huu potelea mbali tusipoingia Big 4 ni sawa tu ili waguswe wanapojali zaidi na ni mapato ambayo ushiri wa UCL unachangia parefu sana.Fsg wapumbavu Sana..
Wanatafuta hela wakaanzisha timu NBA huko las Vegas ..na wanatumia kuuza hisa za Liverpool Kwa ajili hiyo..
Sina matumaini kabisa
Unyama ni mwingiView attachment 2618364
Away kit 2023/2024
HahahaUnyama ni mwingi
Hasa ya home [emoji91][emoji91]
Yeyote anayenipenda ni ruksa kuninunulia Uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
YNWA
Ishu hapa ni kujua Klopp ela inatoka wapi je FSG watakopa ama watamwambia Klopp auze wachezaji ndio anunue.. Kama watakopa let say 200m hivi then hapo inakua ni proper chest kuingua sokoni kimkakati... Ambapo apate 3mfs established na RB mmoja established na CB moja upcoming... Then kama ikitokea Klopp ameuza hapo ataongeza sasa squad players..
Kwenye kuuza i won't mind kuona akiuza
Thiago
Henderson
Matip
Jones
Kelleher
Na pengine huko academy kama akipata ofa nzuri nzuri...
Dirisha halina muda tu ligi ikiisha mishe zinaanza kwa kasi sanaaa.
YNWA