Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,583
- 235,437
Yote ni majibu sahihi,Are we still missing Mane or Mane missing Liverpool.??
Does Salah deserve 350k?
I still believe we are going to finish league in style.
YNWA.
Always the most charismatic team in da world...Mimi na Liverpool damu damu no matter what. Pamoja mkuu
Yote ni majibu sahihi,
Tunammiss na anatumiss, japo pengo lake kwa kiasi kikubwa limefanikiwa kuzibwa,ila yeye anatumiss zaidi kuliko sisi tunavyommiss.
MosDef jana kabla ya mechi ulipigwa wimbo wa Taifa wa Uingereza lakini uwanjani hawakua kimya ni full kelele.. Hii imekaa aje huko mkuu maana inaonanekana kuna ishu sio bure maana baada ya wimbo ule ikaja sasa YNWA na uwanja wote kwa pamoja ukawa tulivu.
Randal Kolo Muani naona hatumo tena kwenye kumtaka huyu dogo mbali ni wenye ma pesa yao sasa wanatajwa.
YNWA
You wait when nyumbu lose at least two game.This is Liverpool [emoji91][emoji91][emoji91]
Sasa tunamfukuzia nyumbu
YNWA FOREVER [emoji91][emoji91][emoji91]
Kabisa maana saivi tungewapata wawili tu, RB mmoja na CB mmoja ingekua poa sana maana saiv tuna Bajcetic pia bado TAA anatakiwa awe Midfielder japo Klopp hapangiwi.Hao watatu wakitua kwa pamoja itasumbua kwny rotation ya players Nani awe regular starter na Nani akalie benchi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo mwishoniKabisa maana saivi tungewapata wawili tu, RB mmoja na CB mmoja ingekua poa sana maana saiv tuna Bajcetic pia bado TAA anatakiwa awe Midfielder japo Klopp hapangiwi.
Upo sahihi mkuu kuna kipindi watu walikua wanalaumu kua mane alistahili ballon d'or kuliko benzema kutokana na mafakio aliyokua kapata...Hapa nilikuwa napitia Platforms mbalimbali za Waafrika (racists) kuangalia zile kauli zao kuwa Salah bila ya Mane hana lolote, Salah alikuwa akibebwa na Mane.
Haya Salah huyu sasa anaendeleza alipoishika je Mane kafikia wapi zaidi ya kutwanga Mangumi mchezaji mwenzake?
Salha will Liverpool great Legend, je Mane atakuwa Legend wa Bayern? Si atakuwa kama Owen tu Legend anayejificha kama Digidigi.
MosDef jana kabla ya mechi ulipigwa wimbo wa Taifa wa Uingereza lakini uwanjani hawakua kimya ni full kelele.. Hii imekaa aje huko mkuu maana inaonanekana kuna ishu sio bure maana baada ya wimbo ule ikaja sasa YNWA na uwanja wote kwa pamoja ukawa tulivu.
Randal Kolo Muani naona hatumo tena kwenye kumtaka huyu dogo mbali ni wenye ma pesa yao sasa wanatajwa.
YNWA
Randol Kolo naona Bayern Munich wameambiwa leteni £100m hivyo hapo hatumo kabisa.Huku juu atatujulisha.
Hapo kwa Kolo Muani, sidhani kama tulikuwa interested naye. Zaidi brother MosDef alisema list ya wachezaji ambao Liverpool inaweza kuwasajili na wakaleta matokeo chanya sana, kwa bei nzuri na bado hana jina kubwa basi Randal Kolo-muani naye yumo.
Hata hivyo Klopp ameshasema
“[emoji281][emoji779]️@_pauljoyce: Jurgen Klopp says Liverpool will not be held to ransom over summer signings and will move on to alternative targets if rivals use their desire for midfield reinforcements to ramp up prices [emoji352][emoji736]”
Zielinski tokea nakuwa nimekuwa nasikia anahusishwa na LiverpoolView attachment 2613298
Haya mambo jamani huyu dogo atue tu Liverpool maana tangu 2015 kila dirisha lazima tuhusishwe nae.. Nakumbaka kuna kipindi mpaka alivaa kabisa uzi wa Liverpool namba 10 akijua sasa anatua Anfield... Ebu Klopp amtoe Napoli atue Anfield mahala anapopenda.
Ni MF.
YNWA