Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Finally

[emoji28][emoji28][emoji28] Kuwaondoa hawa wa tatu ni big achievement kwetu.

Bado mikopo na wa kuuzwaz.

Gomez
Philips
Matip

Hawa huenda wakauzwa ila itakuwa part of the deal ya manunuzi ya players wengine.

Carvalho loan

Im ok Thiago na Hendo wabaki 1 season next summer tuwafungulie mlango . Kusajili wengi kwa mkupuo sio suluhushi yatatukuta ya chelsea.
 
Nilikua active kwa fabrizio kuona ishu ya Milner imefikia wapi.

Hawa Brighton they have eagle eyes na wanajua kulea vipaji.
Watasumbus season kadhaa mbele kama wakipata mdhamini mzuri, watakuwa kwa Southampton ile.

YNWA
 
Mahesabu ya Brighton sijayaelewa...
Watuuzie Macalister...tuwauzie Milner??
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Milner hana mkataba mkuu ikifika 30th June 2023 yupo free kusepa pamoja na Firmino, Ox, Kieta na Philips.

Macalister amewagomea Brighton kuongeza mkataba sio kwamba wanauza kwa kupenda sanaaa.

YNWA
 
Kumpa Ox, Milner na Kieta mikataba mipya ni suicidal kwa Klopp kama kweli yeye kidume kweli cha huko kwao adhubutu kuwapa kama hajawa nafasi ya 18 mpaka January na huyooo atatemwa usidhani FSG wana kifua kuvumilia kua nje ya kutocheza Champions League misimu miwili mfululizo aisee... Klopp kinacombeba ni historia tu lakini sio haya ya sasa... He is lucky kuileta ile EPL trophy otherwise hatuna muda nae tena mwingine wa majaribu. We need changes.. Milner, Ox, Matip, Keita out out...

YNWA
 

Milner tayari mkuuOx na Keita nao bye bye hawana chao tena pale Anfield.
Milner ni vile injury free na utimamu wake wa akili umempatia dili huko Brighton.

Ox atabaki kwao England but Keita namuona akienda Italy

Rebuild imeanza mapema sana.
Klopp ametupa taulo

YNWA.
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ CHEERS πŸ₯‚ KWA WARD KUTOKUMBALI HUYU BABU KAKAKE Saint Anne apewe mkataba mpyaaaaa...

Hii ishu ilitakiwa awe ameshasepa tangu 2020 sijui wamechelewa wapeee maana angesepa 2020 basi hii 2023 angesepa dogo Henderson lakini duh naona bado tunae.

Am happy at least sitamuona huyu babu tena na uzi wa Real Reds next season...

Klopp shame on you kwa kung'ang'ania ma dead woods.

Ila Brighton bhana wakamchukua Lallana, Welbeck na sasa Milner, je hii ni home grown players ishu ama namna gani.

YNWA
 
Khaaa🀣🀣
Hebu kuwa na adabu, age yangu imeenda sana
Enzi hizo nilikuwa binti wa mid 20πŸ˜‚
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Kushindwa kumjua record scorer wa Kop End nilijua wewe ni wale wa kupimwa kwenye mzani ebu tuliaaaπŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“

YNWA
 
Kwa mbali naiona dinner πŸ˜‹
Ahadi ni deni
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Kushindwa kumjua record scorer wa Kop End nilijua wewe ni wale wa kupimwa kwenye mzani ebu tuliaaaπŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“

YNWA
Hebu niache🀣
Miaka ya 70 kule kwetu hata umeme wa solar haukuwepo,
Magazeti yanakuja kwa tabu
Ila nilikuwa tayari kijana mkubwa damu inachemka😁
 


🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Hivi ni mimi tu au hakika i missed Big Sam na press conferences zake huku anatafuna big g hahaja ila jamaa full comedy... Eti yupo levo moja na pound for pound gaffers Klopp na PepπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Welcome back Big Sam.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…