Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,585
- 235,438
Tufungwe tu hakuna namna[emoji28][emoji28][emoji28] together
Im comfortable with Europe. Hii njia inaweza leta quadruple (im dreaming) [emoji3]
Saint Anne anataka tufungwe. Gari limewaka hili. Tunashinda zote zilizobaki. Japo timu yenyewe inaweza kukupa presha usiyoitarajia
Klopp ana nyota kali sana, penye hamna yeye ndio pananjia.
Say that to Klopp πππyeye ana waona kama miracle workers kumbe they are past thier prime they need supplement ya damu changa angalau below 27yrs hivi kama Caicedo, Rise, Barella nk waja kuwapa a shot in the arm ili timu irudishe competitive edge.Hapo kasoro Salah na Alison tu, wengine dk 45 kurudi chini zinawatosha.
Klopp akiharibu anaharibu kweli na akipatia mnasahau yooooote
Melo na kabak sio buy mzeeIla kununua kama Chelsea bila kuzingatia uwiano wa mahitaji nako ni tatizo kubwa sana aisee.
Klopp tangu atue Liverpool kwenye usajili nampa 8 out 10. Ukiachana na hawa last minute panick buy kama Kabak, Melo nk na ukiachana Keita, Thiago, Ox.. Kwingine amejitahidi sana kupata value for money kwa mfano kwa Robertson kwa Β£8m, Salah Β£36m, Mane 34m, Jota Β£40m, Matip free, Gini Β£25m, nk nk... Hivyo utaona amepata maximum returns kwa hawa wachezaji wake in terms of trophies won na kukuza brand ya Liverpool.
Sasa ndio nashangaa sana FSG hua tunaangalia mechi sawa? Maana mahitaji ya Liverpool yapo wazi wazi tuna pedestrian Midfield na tuna over played back line bila back up ya maana kwa misimu mingi tu na wao wapo wametulia tuli. Kuumia kwa VVD msimu ule ilikua wake call kwa kufanya extensive search ya CM na CBL wenye umri wa chini waje wawe under study ya hawa wakongwe. Lakini kwa kuishi kwa kukopi yamewakuta sasa.
YNWA
Hataki kuweka cheti cha kuzaliwa.
Wengi wenu humu ni kama Wanangu[emoji38]
Mnapaswa mniite mamdogo.
Tufungwe tu hakuna namna
Ni katika harakati za wale maboss walafi kujifunza adabu
Say that to Klopp [emoji23][emoji23][emoji23]yeye ana waona kama miracle workers kumbe they are past thier prime they need supplement ya damu changa angalau below 27yrs hivi kama Caicedo, Rise, Barella nk waja kuwapa a shot in the arm ili timu irudishe competitive edge.
Nimekua nikimfuatilia Rise wa Westham dogo is moulding himself as a big game player anatufaa kama bei rafiki. Pamoja na usajili kuhitajika we need elite players wa ku decide big games. Someone like Barella or Rise.
YNWA
Kweli?But you are not sound like ma mdogo.
Labda kweli ni mamdogo ila sio mama mdogo
View attachment 2608603
Fsg wajiandae huu ni mwiba mchungu kwao. Hii taarifa Liverpool echo hawakubaliani nayo.
Watasakamwa na Top reds [emoji28]
YNWA
WHERE is brother MosDef tupate andiko kutoka kwake kidogo.
Nimesikia Madrid wako tayari kumuachia Tchoumeni pia
Trent Alexander-Arnold
Top notch magician
5 consecutive wins
Huu ni uongoπ99.9% kweli
Una sound bado kabinyi kaduchu
Aende tu kwa kweli.Jude to real madrid [emoji23]
π π π π Kwa hio unasema aje tuchukue kabisa tiketi za Wembley mapema...
YNWA