Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kufuzu Champions League kutawapa kiburi FSG & Klopp.

YNWA
Champions League msimu huu au msimu ujao.. Kama ni huu katazame tena msimo ndugu...

FSG na Klopp have been caught snapping on the job... Dalili zilikua wazi kwamba dirisha na January 2023 litumike powa kuweka msingi pale Midfield lakini tukashangaa wanakopi usajili wa Diaz ulivyoleta amsha amsha January 2022 hivyo akaja sajiliwa Gapko usajili ambao ni sahihi wakati usio sahihi... Sasa Klopp hana cha kufanya zaidi ya kumchezesha Milner ma wazee wenzie angalau aambulie Europa... Poor transfer planning ya Klopp kwa kigezo cha Bellingham as if he is the next Pirlo au Steve G.. Bure kabisa huu uongozi.

YNWA
 
Kumbe miaka ya 80
I'm sure hata wewe haukuwepo Bado😁

Halafu nikawa nasoma tulichukua makombe mfululizo EPL,kabla hatujakaa miaka 30 bila kuchukua😁
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Nilikuwepo bhana πŸ™ŒπŸ™Œohoo mie babu ujue...

YNWA
 
Mkuu asikwimbie mtu pigo la kukosa Champions League madhara yake sio ya kitoto ujue... Ukumbuke Liverpool wanatumie zaidi ya asilimia 70 kulipa mishahara ya wachezaji na supporting staff wa klabu hivyo kukosa ule mpunga kunaleta madhara makubwa kimapato japo kwa matangazo na kuongezeka expanded match day income pale Anfield kutasaidia kupunguza makali lakini FSG wana hali tete... Soon utasikia wamepata kuuza hisa kadhaa kwaΒ£500m kwa fulani maana Gordon alishasepa kutoka Uingereza na kuhamia US ili akamilisha mauzo ama uwekezaji wa Liverpool...

YNWA
 
Kitendo cha kumng'ang'ania Milner ambae hana jipya la kutuonyesha ni udhaifu wa Klopp kua na soft spot ya hawa watoto wa Mflame Charles...

Fergie alikua na hair dryer pale Manjesta na sidhani kama kuna mchezaji alieikosa japo alieongelewa sana ni Beckham lakini wengi hii kitu walikutana nayo... Sasa unajiuliza Fergie aliweza aje kushinda yale mataji mengi vile tena akiwa na wachezaji wa kuunga unga akina Oshea nk lakini alikua brutal n lethal pale inapobidi na boys delivered kwa kweli... Huyu wetu anadhani yupo na miaka 100 pale maana unaweza kupanga hawa wachezaji watastafia hapa aafu naanza upya kujenga kikosi kwa kua hakuna continuity na kwa vile FSG amewakusia biashara basi wao wametulia tuliii... Allison, VVD, Henderson, Salah nk hawa watastafia pale pale na wenyewe sasa ni mashahidi kwa kukosa mbadala wa VVD 1st 11 tunapata show za break dance on ice πŸ˜…πŸ˜…...

YNWA
 
Jota kwenye one vs one akiwa upande ule wa kushoto ni nadra sana atakosa kufunga aisee. Boy has class and he delivered the goods when its mattered.

Kitendo cha ile mechi sikumbuki ilikua ugenini ama Anfield dogo Kane alikosa kupata kadi nyekudu ni pigo kwetu last season ukija kujuisha matukio na ile imo maana baada ya Kane kubakia uwanjani kwa ile crazy tackle alikuja akafunga goli na tangu pale sasa hawa Spurs ni sworn enemies sasa weka na refa yule yule aliekosa kumpa dogo Kane ile kadi basi ujue it's means more kuwachapa hawa jamaa.

YNWA
 
Prove me wrong
Bring here your birth certificate
Send Milner n Henderson away June 2023 and i will be dinning with you comrade πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Peleka taarifa Kyela kwa babu afanye jambo majina ya hao jamaa yaingie kwenye release list ya akina Ox, Keita, Phillips, Matip nk

YNWA
 
Mnataka tena kuingizwa cha kike πŸ˜†
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Bhana we are staying put hii timu hua maajabu hayaishi aisee unaweza shangaa Milner miwili tena na Klopp akakomaa kwamba Jones amepona hivyo ni usajili mpya kwake...

Kwa sasa Klopp anatupa matumaini wwe subiri dirisha atafyata huyu labda FSG wakope ela.

YNWA
 
Send Milner n Henderson away June 2023 and i will be dinning with you comrade πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Peleka taarifa Kyela kwa babu afanye jambo majina ya hao jamaa yaingie kwenye release list ya akina Ox, Keita, Phillips, Matip nk

YNWA
Tulikubaliana namtoa Milner na Matip.
HendoπŸ₯², Probability ya kuondoka ni 0.01
Usitake nikose dinner kizembeπŸ˜‚

Ngoja tuende kuwatengeneza,wakose amani hadi waondoke.
Mababu wa Tukuyu hawajawahi shindwa jambo.


Btw I am older than youπŸ˜‚
 
Yaani Sasahivi inabidi tufungwe mechi zote zilizobaki ili angalau bangi zipungue kichwani kwa huyu mzee.
 
Deal agreed.

Ila kua makini na na babu wasije badili mambo tukabakia na Ox na Kieta πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

As i told in ua dreams.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…