Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,699
BelyGam wa kazi gani sasa Milner na Henderson wapo wanatosha pia kuna thiagoSijui huko mazoezini hua hawa wazee wanampa nini Klopp na wakija mchezoni hatukioni kabisa kwa sababu tangu ile fainali ya Champions League ilionekana tumepwaya sana pale kati kati na panahitaji uwekezaji dhabiti.. Haya Klopp mpaka akaongea na Tchouameni dogo akachagua Real Madrid na Klopp akaingia mitini akituaminisha na spinning za mtadaoni kwamba tusubiri msimu mmoja aje kumpata Bellingham na tutakua sorted kwa miaka 10 ijayo sasa yamewakuta kwa sababu pale kati hapahitajiki mchezaji mmoja mbali wawili au watatu ili pakae sawa na mpaka hapo tukawa hatupo kwenye mbio za Bellingham tena na vile vile tiketi huo ubavu wa Istanbul hatuna kabisa kwa sasa labdda twende pre season [emoji23]
YNWA
Safi saana VVD kisiki ukuta wa Berlin tuna imani na wewe baba tegemeo letuAjabu eti Klopp anasema babe wako June 2023 bado yupoo ana kazi nae mpaka hapo ni ujumbe kwamba Klopp hatanunua beki dirisha lijalo.. Kwa kua wapo Matip, Konate, Gomez na VVD huku Fabinho akiwepo kucheza pale akihitajika.
We are doomed miss go n get ua babe there we need space to bring new boys..
YNWA
Ndio kazi walioichaguaNa tunawalaumu bure
Kiukweli wamechoka sana,na hii yote ni kwa sababu hawapumzishwi watoto wa watu .
Sijawahi ona VVD na Fabinho wakupumzika,labda wawe majeruhi.
Na tunawalaumu bure
Kiukweli wamechoka sana,na hii yote ni kwa sababu hawapumzishwi watoto wa watu .
Sijawahi ona VVD na Fabinho wakupumzika,labda wawe majeruhi.
James Milner, out of contract in June. Jurgen Klopp on his future: "There's no update on Milner contract as of now". [emoji837] #LFC
"Until we have something to say about it, I would have thought. Whenever that will be".
Kimenuka huko
Kazeeka ghafla…. Hajafoji age Kweli?mlimpeleka kenya akachanje mkokaa nn[emoji16]View attachment 2597475
Read somewhere.
Klopp anataka kusajili beki wa kulia ili kumpeleka TAA kwenye MF full-time. Na usajili unahitajika Six new playere, ambapo 3 of them ni squad players and 3 are for back up. Here we Go
Kwa ufupi tupo pre-season naona tukienda kushinda mechi zote. Usiombe ukutane na timu iliyomaliza zake ligi kabla ya ligi kuisha.
YNWA.
Kwamba tutaingia top 4 mkuu ??Msimu ujao Liverpool ni Bingwa wa EPL na UCL
Jamaa anaona uchache ni sifaFact.
Poor squad management toka kwa Klopp. Klopp aliwahi kukaririwa ana enjoy kuwa na small squad. Na hii ndio imemnyima zaidi ya mataji 3 ya EPL & mawili ya CL. Hapo weka Carabao na FA.
YNWA Miss L.F.C
Halina ukweli wowote Milner na Ox wanatoshaSwala la Bellingham kutua Liverpool Lina ukweli wowote?
Am still in awe how Jota height always get him scoring those headed goals...Mwamba karudi.
Namkubali sana mambo kadhaa
1. His turnings (goli la pili,)
2. Timing. Jota ni mfupi ila timing zake kuruka mipira ya vichwa ni kubwa sana.
We are going to finish league in style.
YNWA
Kwa sasa kuingia Top 4/6 kunategemea pia matokeo ya washindani wetu wanaosaka nao kuingia top 4/6. So hapa tushinde mechi zetu aafu tusubiri wengine wapoteana haha ramli tupu,duh tumepoteana sana mpaka kufikia levo hizi.Kwamba tutaingia top 4 mkuu ??