Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ni wajukuu wa Malkia.
Jana LiMilner linaingizwa
Ili mradi ionekane tu kuwa naye ameshiriki kwenye yale magoli.
 
Kweli leo mmemuamulia baba wa watu

Pamoja na kushinda kwa kishindo jana ila bado mmemshikilia jamaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa Yuko faster Sana kuelekea langoni kwa wapinzani japo Hana bahati kivile kwenye shabaha ila ni hatari Sana. Wachambuzi na mashabiki uchwara wanambeza Tu sababu wanalitegemea pakubwa
 
Wanafaa kuwa Sub sio kuanza Ila Wana impact kidogo hasa kutuliza mashambulizi kipindi tumetangulia kimatokeo.
 
Pia inategemea...kuleta wachezaji wengi wageni kwenye mfumo au ligi Mpya tena kwa mkupuo mmoja ni changamoto itawahitaji mda mpaka wanate na biti kumbuka kilichowatokea Fulham kipindi wanashuka daraja kabla ya kupanda Msimu uliopita
 
Jamaa Yuko faster Sana kuelekea langoni kwa wapinzani japo Hana bahati kivile kwenye shabaha ila ni hatari Sana. Wachambuzi na mashabiki uchwara wanambeza Tu sababu wanalitegemea pakubwa
Klopp alishasema with Nunez its all good na hilo linatosha kabisa. Msimu huu kwake tangu ile kadi nyekudu vs Crystal Palace ilim mvuruga lakini anafanya yote mazuri kasoro kufunga tu ndio stat zake zinaonyesha yupo kwenye nafasi ya 90+ Europe kwenye converting ratio sasa Klopp kazi kwake dogo aanze kuleta magoli

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…