Already the indicators are painting a very slim future.
Will FSG abadon thier weird approach in recruitment strategy mh not really convinced...
Payroll will be relieved once they let go
Ox 120k
Matip 100k
Kieta 120k
Milner 120k
Adrian 58k
Firmino 180k
Kelleher 10k
Total £708,000.
£708,000 kwa wages ni mpunga mrefu sana unakua pending hao wachezaji wakisepa. Hapa sasa Klopp akitua Ureno, Italy, Ujeremani, Uhispania nk kasoro Uingereza high table teams anapata kabisa wachezaji wa wages za wastani chini ya 150k na ambao wanakuja kuimarisha kikosi.
YNWA
Sky Germany report Liverpool looking to sign the following MFs
Rice kutoka Hammers
Caiceido kutoka Seagulls
Barella kutoka Inter
Nunes kutoka Wolverhampton
Gravenberch kutoka Bayern
List ndio hio hapo angalau hapo tupate MF wawili kwenye hio list.
YNWA
Melissa kuna tetesi kipindi fulani kwamba anatoka kimapenzi na Mane.
YNWA
Klopp confirms Liverpool midfield plan: “There’s maybe 12 midfielders we are interested in on the market… so that’s good”. [emoji837] #LFC
“We will sign some, I hope”.
Huyu ndio Klopp....Hahahaha
Klopp hua anatoa majibu yanayonifurahishi hanyoooki direct sometimes anakuachieni muamue.
Jude naona hype kubwa kuliko uhalisia. Msimu huu ana magoli manne na assits 5.
Price ni kubwa sana wanayoitaka dortmund, wakati hapo unaweza kumpata Barella na Rice. Na ishu sio bei ya kununua kwa FSG ni mshahara na marupu rupu.
Kuna tetesi kwamba Julian na Edwards waliacha kazi Liverpool kwa kua ushauri wao haukufuatwa na pia waliingiliwa kwenye kazi zao na huyo sio mwingine mbali ni Klopp kwa FSG wamempa last say ya kikosi hivyo ushauri wake ni final and who can doubt amewapa FSG dream trophies kwa bajeti finyu sana huku klabu ikikua dhamani yake kwa zaidi ya £4bn kwa muda wa miaka mitano... No wonder FSG mbele ya Klopp hawana chao wanalegea kabisa matokeo yake anasema nani apewe mkataba nani asipewe ndio tukaona highly dependable players when called upon wakisepa Mane, Origi na Gini. Hili Klopp made a big mistake kwa sababu kwanza walikua almost available all season hawakosi game 5 kwa msimu... Utashangaa ni msimu wa pili tangu aodoke Gini lakini mpaka sasa sidhan kama Kieta au Ox wamefikisha gemu alizocheza Liverpool per season kwa kua wao ni wagonjwa muda mwingi na sio dependable kabisa.Imagine have this lads in your squad.
Klopp anataka biashara ifanyike mapema na aanze preseason na new faces mapema.
Kwa tafsiri hii Klopp anatarajia minimum of 3-5 new players.
Kuna taarifa imetembea kuhusu maamuzi ya usajili (wapya na waongeza mkataba). Kamati ilikaa ikaona mambo mawili aging squad na kuporomoka viwango. Hii ishu ilitokea M.Edward akiwa bado ofisini. Sasa bwana Edward na wenzie walitaka kuondolewa baadhi ya players lakini Mjerumani Nazi man Klopp alikinga kifua.
Unajua bana FSG walivyowabahili ? Waka opt suggestions za Kamati (Edward na wenzie, wakatembea na Klopp) Ndipo tukashuhudia Captain akipata 5yrs, Gomez 5yrs, Adrian 1yr. Milner (grandpa himself) mkataba wa kudunduliza.
Mpaka hapa unapata jibu kwa nini Edward aliondoka.Na upate jibu kwa nini Klopp alijiamini atamaliza msimu akiwa LFC manager na pengine hadi amalize mkataba wake, kuanzia december licha ya matokeo na kiwango kibovu. FSG protect him kwa sababu kawanufaisha sana mjerumani huyu.
Hivyo sasa kamati sasa inajukumu la kuvaa jicho la eagle huko sokoni, tayari kuna shortlist ya 12 players ambao Klopp anawakubali.
Binafsi namuamini Klopp katika kufuma mifumo na kusuka wachezaji. Hivyo natamani ache loyalty na aface reality atarudi kuwa tishio tena.
Pale Ureno Porto kuna dogo mmoja full mishe anaitwa Pepe huyu kwa kua wale tuna mahusio mazuri ingefaa Liverpool apewe 1st refusal to buy.. Ni design kama Bernardo Silva wa Manchester City au Khvicha wa Napoli yaaani msumbufu haswa na tunahitaji mchezaji kama huyo kupoza presha timu inazidiwa mbinu.Klopp amesema wana shortlist ya 12 players bado scouts wapo kazini. Hivyo wataona nani anafaa kwa ajili ya msimu ujao.
Kuhusu Jude amelijibu vyema tayari, hata mimi namuunga mkono yasijetukuta ya Sancho.
Huko Ureno/Italy/Spain wanaweza pata CAM wa maana bei nzuri na mshahara mzuri na quality nzuri
kawaida sana mkuu , labda aje bei ya minamino.
Huyu ndio Klopp....
Barella na Rice inaweza kua proper upgrade maana ni kama lazima MF kuwe na mtoto wa Mflame so Rice anafaa. Yupo athletic, dependable na hanaga ishu za majeruhi ya mara kwa mara.
Jude wanasema ni generation talent na hawapo wengi as such so they say na kwa kua Dortmund wanajua British players wakiwa wazuri kiasi wana fetch prime price wamekaa na kusubiri mnada wa dogo kitendo cha Liverpool kujiodoa kwenye hii ishu ni pigo kwao na zipo tetesi Bellingham ana mpango atulie alipo mpaka msimu ujao ili pengine Liverpool watakua katika nafasi bor ya kumnunua.
Mambo yanasemwa mengi muda utasema.
YNWA
Kuna tetesi kwamba Julian na Edwards waliacha kazi Liverpool kwa kua ushauri wao haukufuatwa na pia waliingiliwa kwenye kazi zao na huyo sio mwingine mbali ni Klopp kwa FSG wamempa last say ya kikosi hivyo ushauri wake ni final and who can doubt amewapa FSG dream trophies kwa bajeti finyu sana huku klabu ikikua dhamani yake kwa zaidi ya £4bn kwa muda wa miaka mitano... No wonder FSG mbele ya Klopp hawana chao wanalegea kabisa matokeo yake anasema nani apewe mkataba nani asipewe ndio tukaona highly dependable players when called upon wakisepa Mane, Origi na Gini. Hili Klopp made a big mistake kwa sababu kwanza walikua almost available all season hawakosi game 5 kwa msimu... Utashangaa ni msimu wa pili tangu aodoke Gini lakini mpaka sasa sidhan kama Kieta au Ox wamefikisha gemu alizocheza Liverpool per season kwa kua wao ni wagonjwa muda mwingi na sio dependable kabisa.
Klopp has failed us.
But dude has the magic touch when he get back on business he is still the best
YNWA
Pale Ureno Porto kuna dogo mmoja full mishe anaitwa Pepe huyu kwa kua wale tuna mahusio mazuri ingefaa Liverpool apewe 1st refusal to buy.. Ni design kama Bernardo Silva wa Manchester City au Khvicha wa Napoli yaaani msumbufu haswa na tunahitaji mchezaji kama huyo kupoza presha timu inazidiwa mbinu.
Kwa network ya ma scout nina imani kubwa sana na Julian. Sasa imani ni kwamba pigo la kukosa Uefa kwa FSG itawapa somo wampe sapoti Klopp sokoni mbele mambo yao ya sell to buy.
YNWA
[emoji599] EXCLUSIVE [emoji599]
Liverpool's Joel Matip remains appreciated by Jurgen Klopp and could STAY this summer [emoji837]
PLUS the latest on LFC links with Alexis Mac Allister and Ryan Gravenberch [emoji102]
Full story - Link in Comments [emoji116][emoji116]