[emoji16][emoji16] kwa hiyo mkuu umemind hukutaka Arsenal wapate kitongaKipindi sisi tunapambana na city majinga haya yanapanua mapaja tu wahuni wanapita
Kuna huyu asenali, kuna yale majinga man u majinga kabisa
Nlitaka tuwafunge Hawa madogo walikua wanapigwa na city kwanza game iliyopita wanaomba tumpige city [emoji23][emoji23][emoji16][emoji16] kwa hiyo mkuu umemind hukutaka Arsenal wapate kitonga
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Mbona unatukana wewe, unaonekana jitu zima lenye mihemko, unakuwa kubwa jinga ujue.Nlitaka tuwafunge Hawa madogo walikua wanapigwa na city kwanza game iliyopita wanaomba tumpige city [emoji23][emoji23]
Nyoko nyoko bladifaken [emoji23][emoji23][emoji24][emoji23]
Mi nashangaa kwanini wameng'ang'ania kumpa penalty.Salah aache kupiga penalty ...anaicost team , game ya bournemouth pia alikosa penalty ambayo ingebadilisha taswira ya mchezo
[emoji23][emoji23]Mimi ni mjinga kweli mkuu [emoji23][emoji23]hujakosea kabisa ila sio jitu Zima Sema jitu dogo lenye mihemkoMbona unatukana wewe, unaonekana jitu zima lenye mihemko, unakuwa kubwa jinga ujue.
Unataka awe anapiga nani sasa ?Salah aache kupiga penalty ...anaicost team , game ya bournemouth pia alikosa penalty ambayo ingebadilisha taswira ya mchezo
Salah ametulaza na viatuUle mpira wa second half mlioupiga mlistahili kushinda,hata hivyo hongereni sana reds kwa kufanya kazi tuliyowatuma vyema.
YNWA
Milner ,jota hata nunez yuko poa kapiga sana benficaUnataka awe anapiga nani sasa ?
Henderson ?
Salaha midevu yake inamfanya anakua jinga jinga hii game arsenal alikua hana chake basi tu.Salah ametulaza na viatu
Anafunga sana penalty....katika penalty 30 kakosa 5 tu mpaka sasa..ila anakosa penalty katika mechi muhimu anaikost teamMi nashangaa kwanini wameng'ang'ania kumpa penalty.
Jamaa hana bahati kwenye penalt.
Sijui wanampaje penalt wakati iliyopita tu amekosaSalaha midevu yake inamfanya anakua jinga jinga hii game arsenal alikua hana chake basi tu.
Yaani zile mechi ambazo penalt ndo mkombozi wetu , yeye anakosaAnafunga sana penalty....katika penalty 30 kakosa 5 tu mpaka sasa..ila anakosa penalty katika mechi muhimu anaikost team
Mwanaume aliyekamilika hawezi kuzitukana ndevu za mwanaume mwenzake...ulitaka awe na kidevu cheupe kama askari wa zanzibar?Salaha midevu yake inamfanya anakua jinga jinga hii game arsenal alikua hana chake basi tu.
Mashabiki wa city wengi wao mchicha mwiba, kua nao makini mkuuMwanaume aliyekamilika hawezi kuzitukana ndevu za mwanaume mwenzake...ulitaka awe na kidevu cheupe kama askari wa zanzibar?
Utabiri wangu ulikua Sawa sema Salah kakosa penatiI Hope Leo Asenyo Tutamfanya Kama Tulichomfanya Nyumbu...
Salah [emoji460][emoji460]
Firminho [emoji460]
Liverpool 3 Asenyo 0
FT
Salah ni boya sana.Utabiri wangu ulikua Sawa sema Salah kakosa penati
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Salah ni boya sana.