[emoji1787]Kuhusu kila mtu ashinde mechi zake wala sio shida ndio maana jana tumetoa kichapo.
Arsenal tuna mechi nae ambayo tutampiga pia wala haina ubishi, zitabaki point 2 (kiporo tutashinda pia) hapo tunakua tumesha play part yetu.
Hizo point 2 tunahitaji msaada nje ya etihad na msaada huo unaanza leo.
YNWA
Vibaya mno
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]United tulifungwaje 7 na hawa walima matikiti?
Mi naona Klopp aondoke tu, ....Hii aibu imetosha sasa
π π π π Henderson yupo sanaa anafoka tu.Mtoto pendwa wa Baba Hendo
Kama kawa
My new boy Gakpo [emoji39]