Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp for life.

Chuma Lampard mzalendo,Chelsea damudamu anawazamisha chini ya daraja😂😂😂
 
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Hivi kale kamsemo ka kila mmoja ashinde mechi zake niaje tena leo🤠🤠

Kwa Liverpool hii ndugu labda Arsenal waje kama Manchester United wakati anakula 7.

YNWA
Natamani mechi ya vile ijirudie jamani
 
Guys. Arsenal na Liverpool sote tunataka kitu kimoja. Yaani Arsenal achukue ubingwa. Hivyo basi Leo msikaze saaaanaa. Kuwapiga Mbili bila au mbili moja tu kwetu inatosha Kwa heshima
Nyie watu mnatuconfuse 🤣🤣
City eti wapo upande wetu😂😂😂😂
Arse8 mnachochea undugu tuwahurumie.


Ila binafsi natamani Arse8 abebe ndoo..
Mkitufunga si mbaya.
Sitaki City achukue asee tumemchoka.
 
Sisi ni ndugu ingawa sometimes mnatuangusha nyie. Siku tuliwatuma mkawapige Manyumbu mkawapiga haswaa. Siku ingine tukawatuma mkawapige City mkawahurumia. Sasa leo tunakuja sisi wenyewe...jamani ndugu tujengeni madaraja na si kuta
Nyie watu mnatuconfuse 🤣🤣
City eti wapo upande wetu😂😂😂😂
Arse8 mnachochea undugu tuwahurumie.


Ila binafsi natamani Arse8 abebe ndoo..
Mkitufunga si mbaya.
Sitaki City achukue asee tumemchoka.
 
Sisi ni ndugu ingawa sometimes mnatuangusha nyie. Siku tuliwatuma mkawapige Manyumbu mkawapiga haswaa. Siku ingine tukawatuma mkawapige City mkawahurumia. Sasa leo tunakuja sisi wenyewe...jamani ndugu tujengeni madaraja na si kuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila tulivyo wabovu,mtatufunga tu.

Arse8 atwae ubingwa mwaka huu.
 
Milner mitano tena ni kiongozi uwanjani
Henderson tuna imani nae
Ox mtaalumu wa pasi za mwisho
VVD kisiki ukuta apewe mkataba wa maisha
 
Manyumbu yalidhani nyie ni wabovu wakaingia kichwa kichwa wakapokea za uso kudadadeki. Leo Lazima tuwe makini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila tulivyo wabovu,mtatufunga tu.

Arse8 atwae ubingwa mwaka huu.
 
I Hope Leo Asenyo Tutamfanya Kama Tulichomfanya Nyumbu...
Salah [emoji460][emoji460]
Firminho [emoji460]

Liverpool 3 Asenyo 0
FT
 
Nyie watu mnatuconfuse [emoji1787][emoji1787]
City eti wapo upande wetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Arse8 mnachochea undugu tuwahurumie.


Ila binafsi natamani Arse8 abebe ndoo..
Mkitufunga si mbaya.
Sitaki City achukue asee tumemchoka.
Mkuu msimu huu Arsenal NDOO

achana na nyumbu na hao manpisi kali
 
Nyie watu mnatuconfuse [emoji1787][emoji1787]
City eti wapo upande wetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Arse8 mnachochea undugu tuwahurumie.


Ila binafsi natamani Arse8 abebe ndoo..
Mkitufunga si mbaya.
Sitaki City achukue asee tumemchoka.
Nope mi Bora abebe tu city [emoji52]
Asenyo kelele nyingi sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…