Kwa mambo yalivyo taiti msimu huu,kile kikombe kina maana kubwa sana kwetu.Naona ukitoa kile kikombe cha alkasusu mlichopewa,kombe lenu lingine ni liver kufungwa na Man city
Bado zile saba tulizowachapa ziko palepale
Klopp alitakiwa apewe vikosi 3 vyenye quality sawa ili aweze kushindana msimu hadi msimu kulingana na intensity anayotaka toka kwa vijana wake.Naona Wachezaji Hawataki KU Work Tena Under klopp
Liverpool vs Chelsea hua inakuaga ni mechi ya kiume sana, sijui awamu hii hali itakua vipi, ila misimu iliyopita hizi timu mbili zikikutana ni kama vile inachezwa fainali.Liverpool vs Chelsea Jumanne hii tarehe 4/4/23 itajulikana nani mwenye afadhali
YNWA
Kabisa Chelsea vs Liverpool hua ni cracker yaaani full intensity na mkata umeme Kante na Mateo pale kati hua ndio kabisa wananivuruga....Liverpool vs Chelsea hua inakuaga ni mechi ya kiume sana, sijui awamu hii hali itakua vipi, ila misimu iliyopita hizi timu mbili zikikutana ni kama vile inachezwa fainali.
Pamoja na ubovu wa timu zote mbili ila nategemea mechi hii nyasi zitachimbika na tutapata burudani ya kutosha.
Ukitaka uamini hilo angalia dortmund walivyofungwa na bayern they kept pushing mwanangu walipush kinomaKama tunawaza katika kichwa kimoja mkuu na mie niliwaza hivyo hivyo sema weee umeechambua vizuri
Tazama Pep bila Foden, Bernado na Erling na bado wamekutukimbiza haswa in fact hata hizo goli 4 niseme we are lucky....Klopp alitakiwa apewe vikosi 3 vyenye quality sawa ili aweze kushindana msimu hadi msimu kulingana na intensity anayotaka toka kwa vijana wake.
Itachukua muda sana liverpool ku recover hii fatigue ya misimu 3 nyuma,au la basi end of an era inawafuata te
Wanachagua mechi Hawa sio kwamba wanakaa Wanachagua Hamna ila individually Kila mchezaji Kuna mechi anachagua ya kucheza kwamba hii nika give my allYaani niko pamoja naww, maana nakumbuka kipindi tunacheza na Man U ule mpira tulio cheza siuoni kabisa saivi. Na pale walionesha kabisa wanaweza ila saivi morale iko chini sijui kwann tu.
Miracle haifanyi kazi siku zoteKwa mara ya kwanza Dokta nakumbaliana na hili yaaani there is no way wachezaji wanarudia makosa yale yale kila tukifungwo.. Its like they are programed to be pathetic loosers same result same script same mistakes same response same culprit game after game no new issue, Brighton, Brentford, Manchester City nk utaona hizo game the players went AWOL hivi hivi Klopp akaja ba na maneno mengi mengi lakini mpaka sasa ameishiwa kwa sababu hatupi jipya...
Tujiadae kushiriki Conference League if we are lucky msimu ujao. Sasa FSG wataelewa kwa nini kila dirisha wangekua wanawekeza na sio kutarajia maajabu ya Klopp kuwavusha. Hapa wanapata hasara kubwa sanaaaa kuanzia msimamo wa EPL, kukosa UCL, wadhamini na nk. Yaaani FSG watatoa macho hawataamini wanachapwa na kitu kizito sana kichwani kujikuta nafasi ya 7 au 8.
Unavuna unachopanda hakuna bahati mbaya hapa.
YNWA
Msimu ujao utaona Calvin Philips atakavyowaka dadeki hamataamini na huyu dias mnaona kappa aisee mtashangazwa Sana.Tazama Pep bila Foden, Bernado na Erling na bado wamekutukimbiza haswa in fact hata hizo goli 4 niseme we are lucky....
Klopp haya mambo wakati mwingine amejitakia mwenyewe amekua too loyal kuelewa hawa wachezaji ni binadamu watachoka tu kwa kua wametumika non stop misimu mitano iliyopita bila kua na benchi la kueleweka.. Yaaani hizi fununu kwamba Klopp anapenda kikosi kiduchu basi yamemkuta maana haya ya sasa ni kikosi dhaifu hana benchi la kumsaidia hawa wakongwe wakizidiwa anabaki kutoa macho tu..
Kwa staili hii Klopp asipopambana apewe wachezaji usajili ujao wa kumsaidia kurudisha makali yake basi na msimu ujao ni maumivu tu...
Ishu sio umri mbali wachezaji wengi wanacheza mechi 40+ kila msimu dakika 80+ kuanzia kaja Klopp with high intensity lazima ingefika mahali wakachoka tu hakuna namna.. Ingekua ana benchi la kueleweka mbona hata sasa angekimbiza maana kama ni umri hata Manchester City anao wazee Gundogan 32, Kevin 31 , Walker 32, Mahrez 32 nk na bado wanacheza top level kwa kua wanapewa sapoti na benchi la nguvu.
YNWA
Eti unamwingiza milner abadili matokeoKlopp has been speaking haya mauzauza kwamba we will learn from this defeat we come back stronger next game sasa unajiuliza has Klopp lost the dressing room labda hawa wachezaji wamechoka kuwabeba akina Milner na Henderson ππwameacha mambo yajiedee kama yalivyo kwa sasa maana Dokta hii mechi ya 9 EPL tunapoteza msimu huu na Klopp atasema we learn from this defeat and respond next game yaaani msimu mzima we are learning wakati pointi za Big 4 zinatupiga chenga lol... Klopp need his glasses back aone mambo clear n direct maana tumechoka timu haina passion, hakuna cohesion...
Unajua football is about transition that th whole concept sasa ipo divided in 3 main dynamics defending, joinery na attacking ambapo kwa sasa unaona hakuna popote penye utulivu kwa kua hio joinery ni center of the park panapitwa kama hawapo na wakishapitwa mara nyingi tumeona defence hawawezi kuzuia mashambulizi kumbuka magoli ya Brentford walivyotu harass tukaharibu haoo wakatufunga chap na leo ni hivyo hivyo tuna MF kibogoyo mara ngapi umewaona Jota na Gakpo wakija nyuma kabisa kusaka mipira kwa kua haiwafikii mbele... We are really poor aidha boys are playing just for payday au kuna behind the scenes zinaedelea klabuni maana there is no way same mistakes zinarudiwa na senior players game after game yaaani hawaleweki.
YNWA
MF ni kisingizio tu lakini matatizo ni makubwa ajabu kiasi hata Klopp sasa ameishiwa maeneo hana tena la kutuambia maana ikija siku ya mechi tunashindwa kuelewa kama huko mazoezini wanafanya drills kila mmoja kivyake ama namna gani..Kwa jinsi mnavyocheza ,nachelea kusema tatizo la Liverpool sio MF tu Ni tatizo kubwa zaidi ya Hilo
Liverpool mmefikia hatua hata kukaa na mpira hamuwezi Tena
VVD amebaki kutuma wenzie,
Kuna uwezekano mkubwa ikawachukua hata misimu miwili kurejea kwenye ubora
Eti unamwingiza milner abadili matokeo
Klopp must be sick for real milner huyu huyu fabinho Jana Kuna vitu nlkua naviona individually kajitahidi
Ila kuna mdogo wake Trent kule nyuma Aloo
Na kaka ake Robertson anakuja kukabia katikati anaacha upande wake empty na simlaumu anajaribu kufanya kazi za mid Maana hawakabi Sasa
Hendo yule mzee namchukia maisha yangu yote na sijui Ana Uchawi gani
Acheni ujinga nyie.Ukitaka uamini hilo angalia dortmund walivyofungwa na bayern they kept pushing mwanangu walipush kinoma
Mpaka wakafunga goal mbili lakini unaona players gave their all
Halafu Kuna wachezaji wetu wamechoka wanakula tu mshahara na soseji pale AXA training Ona Trent mishavu imejaa tu Sasa hivi
Acha ujinga wewe.Kwa jinsi mnavyocheza ,nachelea kusema tatizo la Liverpool sio MF tu Ni tatizo kubwa zaidi ya Hilo
Liverpool mmefikia hatua hata kukaa na mpira hamuwezi Tena
VVD amebaki kutuma wenzie,
Kuna uwezekano mkubwa ikawachukua hata misimu miwili kurejea kwenye ubora
π π π Alvarez ni moto na Pep hakutaka mambo mengi sana kasema dogo aongezewe mshahara na mkataba mpaka 2027/28 kwa sababu kampa Pep anachokihitaji... Pep hua hana brake ya maneno alisema laivu bila chenga kama Grealish anahitaji kua na uhakika wa namba basi lazima ajitume kuanzia kushambulia na defence na jana dogo kampa MOTM ya nguvu sana kuna ile block alitoa kwa Salah na ingepita ile pasi Jota huyoo kashafunga lakini Grealish alikimbia kuhakikisha sio Liverpool 2 na wao 0 hii inatokana na Kipara kua mkali na kuwatia bench underperformers regardless ya bei.. Hayo yalimkuta Mahrez na Grealish na mwishowe wakaelewa kwamba chini ya Kipara hakuna mzaha ni working hard pale hakuna ustaa hata KDB hua anakula bench hii ndio tofauti ya Klopp na Kipara... Klopp muda wote hawezi kuwapa wachezaji positive criticism yaaani anawa pamper muda wote anatakiwa aseme bila kupepesa macho as long as ni healthy criticism mchezaji anaelewa tu...Msimu ujao utaona Calvin Philips atakavyowaka dadeki hamataamini na huyu dias mnaona kappa aisee mtashangazwa Sana.
Na yule dogo juao Alvarez yule ni dangerous zaidi ya haaland Ile ni kitu ingine pale
And that's pep
Acha ujinga kaka.Kama tunawaza katika kichwa kimoja mkuu na mie niliwaza hivyo hivyo sema weee umeechambua vizuri
Acha ujinga kaka.Gundogan yuko free msimu huu
Ila kocha anawaamini kina milner na Ox.
Hii timu tuna safari ndefu.