Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi tuna wachezaji wangapi jumla??
Kweli katika waliopo wooote hamna anayeweza kubeba mikoba ya Milner ya uhamasishaji?
😂 😂 😂 😂 😂 Anahmamishisha nini kwa nafasi hii ya nje ya Big 4 ina maana nae mzigo tu hana jipya uhamashishangi wake umepitwa ja wakati kabisaaa.

YNWA
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Anahmamishisha nini kwa nafasi hii ya nje ya Big 4 ina maana nae mzigo tu hana jipya uhamashishangi wake umepitwa ja wakati kabisaaa.

YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata tungekuwa nafasi za juu
Yaani yupo pekeyake anayejua kuhamasisha?
 
Anamsaidia TAA ubavu wa kulia au siku dimba likihitaji mvurugaji bila kujali pasi itapelekwa wapi baada ya kupokonya mpira.
Kijiji hakikosi wazee.
We will never walk without Milner
Kwa kua wazee mpirani ni over 30 years basi hao tunao wa kutosha kwa mfano yupo Captain mtarajiwa Allison, Fabinho soon, Robertson soon, VVD, Salah, Thiago hao wote ni ma over 30 ama wanaingia 30 hivyo kijiji kina wazee wa kutosha kabisa.

#BILA MILNER INAWEZEKANA#

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom