Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
๐๐๐๐๐Hapana Milner asepe tu kwanza wage bill ipumue ili usajili mpya waje kuchukua nafasi yake kwenye mshahara kwa sababu kwa sasa mapato ya klabu karibu zaidi ya asilimia 70 yanaingia kwenye kuedesha klabu hivyo hatuna hio luxury ya kumbakisha babu kikosini huku tuko hitaji kusajili angalau wachezaji watatu.. Kwa mfano unadhani Jude akitua Liverpool ataingia na mshahara huu wa akina Nunez wakati anaona pale Ethad dogo Haaland anapata mkwaja mrefu ajabu japo upo kwenye bonus na yeye ata demand kuanzia ยฃ300k kwa wiki na ma bonus kadhaa sasa kwa staili hio babu Milner atakua mzigo kwa payroll...Nimemsoma bro
Nimemuelewa sana
Na Mimi naunga hoja mawazo yake,
Kama Milner anabaki basi wampe cheo chochote,awe hata Haji Manara wa timu yetu๐
Ila siyo tena yeye kuingia front kucheza.
Milner miโ tena
Adui ukishindwa kupambana naye ungana naye tu.๐๐๐๐๐Hapana Milner asepe tu kwanza wage bill ipumue ili usajili mpya waje kuchukua nafasi yake kwenye mshahara kwa sababu kwa sasa mapato ya klabu karibu zaidi ya asilimia 70 yanaingia kwenye kuedesha klabu hivyo hatuna hio luxury ya kumbakisha babu kikosini huku tuko hitaji kusajili angalau wachezaji watatu.. Kwa mfano unadhani Jude akitua Liverpool ataingia na mshahara huu wa akina Nunez wakati anaona pale Ethad dogo Haaland anapata mkwaja mrefu ajabu japo upo kwenye bonus na yeye ata demand kuanzia ยฃ300k kwa wiki na ma bonus kadhaa sasa kwa staili hio babu Milner atakua mzigo kwa payroll...
Wafuatao mpaka sasa wanatakiwa washaambiwa wasepe
Milner
Keita
Matip
Ox
Firmino
Hawa mkopo
Jones
Fabio.
Doak
Hawa kuuzwa
Salah๐๐๐๐๐typing error.
YNWA
Ngoja nitaanza kufatilia na mambo mengine.
Kwa sasa nipo kwenye stage ya shabiki unprofessional ambaye sielewi chochote zaidi ya kuangalia tu mechi.
Pengine ndo maana nalialia๐คฃ๐คฃ
You can't be serious ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHawa kuuzwa
Salah๐๐๐๐๐typing error.
Muondoe Matip wangu jamani๐๐๐Wafuatao mpaka sasa wanatakiwa washaambiwa wasepe
Milner
Keita
Matip
Ox
Firmino
Mimi hata sijui๐คฃKwenye dressing room kuna mambo mengi sana.
Sasahivi ikitokea mechi yoyote na Madrid mimi namwachia tu Mungu๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃunadhani ule mziki wa Real Madrid tungeuweza wapeee... Wenyewe washajimilikisha Uefa haha kwao its means more.
YNWA
True brother haya mambo tuliyasema sana enzi zile Watford wanatupiga na kuvuja rekodi yetu ya kua invincibles na tukatolewa na El Cholo Uefa, hizi discussion zilikuwepo kwa upana hivyo kwa sasa ni mapitio matatizo yale yale sasa yamekua worse kwa kua kwanza umri wa wachezaji wetu bora umesogea sana na pia mahasimu wetu mmoja baada ya mwingine wa narejea kwenye ubora tazama Arsenal, Manchester United kwa namna moja wamejitahidi sana ku address mapungufu yao sokoni na pia kupata walimu sahihi hivyo vita ya EPL sio tena Klopp vs Kipara mbali wengine sasa wameamka huku kuna back bencher Newcastle nae anaonyesha ela za waarabu zikitumika vyema wanataka a piece of the most sort Big 4 spot...Klopp kajiharibia sana kaka, but unakumbuka yote haya tulikuwa tunayaongea miaka mitatu nyuma, ni aibu sana, bado tunayaongelea now, ni aibu sana.
๐๐๐๐๐King Salah yupo yupo unless aamue mwenyewe bila Uefa hayumo Beach Town.You can't be serious ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Akiondoka Salah nakufwaa๐คฃ๐
Muondoe Matip wangu jamani๐๐๐
๐๐๐๐Muulize allypipi wao walishazoea huko Europa atakupa dodoo zote muhimu.Adui ukishindwa kupambana naye ungana naye tu.
Mimi naunga mkono hoja
Milner mi โ tena hadi atakapochoka.
Ngoja mwaka huu nione hizo conference sijui Europa league zinafanana aje๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐
Nafwaa๐คฃ๐คฃ
Matip wangu jamani๐๐๐๐๐King Salah yupo yupo unless aamue mwenyewe bila Uefa hayumo Beach Town.
Matip hahaha kabaki na shingo yake ya msomali koko inavyokuvuruga haha
YNWA
Hivi huyu MosDef ukute ndio kocha msaidizi yule Pep nani nani sijui na hasemi๐๐๐๐True brother haya mambo tuliyasema sana enzi zile Watford wanatupiga na kuvuja rekodi yetu ya kua invincibles na tukatolewa na El Cholo Uefa, hizi discussion zilikuwepo kwa upana hivyo kwa sasa ni mapitio matatizo yale yale sasa yamekua worse kwa kua kwanza umri wa wachezaji wetu bora umesogea sana na pia mahasimu wetu mmoja baada ya mwingine wa narejea kwenye ubora tazama Arsenal, Manchester United kwa namna moja wamejitahidi sana ku address mapungufu yao sokoni na pia kupata walimu sahihi hivyo vita ya EPL sio tena Klopp vs Kipara mbali wengine sasa wameamka huku kuna back bencher Newcastle nae anaonyesha ela za waarabu zikitumika vyema wanataka a piece of the most sort Big 4 spot...
We have gone backwards to 2015 and losing influential figures kwenye staff is way too much to take, na kuja kusikia Edwards, etc felt they couldn't do thier job without kuingiliwa ama kusikilizwa inaonyesha where we are as a club...
Above all kusikia Ward alimtonya Klopp about Enzo Fernadez akiwa Argentina na hakusikilizwa really paint a very bad picture no wonder nae ameona bora asepe zake.
YNWA
๐๐ฟ๐๐ฟNo way Mount hapana huyu atulie alipo... If we are going for Jude basi awe ni huyo huyo mtoto wa Malkia, for now since we need quick adaptation kwa new recruit i would rather buy from within EPL kuliko kutoka nje ya EPL kwa kua going by past buys wachezaji wengi tuliosajili from within hawakua wambaya kwetu hata Ox was superb kabla ya ile injury yake vs Roma UCL ooh boy has never been same again hivyo supposing Klopp anapewa ยฃ200m na suppose atauuza wachezaji kadhaa ikifika ยฃ230m, basi kama huyu Jude lazima atue tununue hiviAntony was not a Statement signing for Utd, STATEMENT signing ya United itakuwa ni FDJ au Kane/Rice, na kama waki-pull off signing ya Victor Osimhen, pia itakuwa statement signing.
Hakuna big club ambayo ilikuwa serious na Antony, he wasnt ready for the step up, ni big fee signing, but ni project player, he needs time, FDJ/Kane/Osimhen/Rice ni transformative signings, zinakupeleka next level in a second, hawa wote ni hot commodities kwenye market now.
Jude wont be our only signing in the summer, concern ni ishu ya Nunes/Mount, we want 3 MFs minmum, sasa kama anakuja Jude (IF), we need to choose between Nunes & Mount, ujue Mount kabadilisha Agency now, na suala la mkataba mpya na Chelsea limekuwa na ukakasi, na Klopp nadhani ameshaongea na wazazi wake pia, Nunes kulikuwa na gentleman agreement na Jorge mendes, sasa kama tuki-move out kwenye deal ya Nunes, itabidi tufanye deal na mteja wake, mwingine (maybe Ugarte)
But, MF ya Jude, Nunes & Mount hai-make sense kabisa, it should be Jude + Nunes/Mount + Destroyer.
I think we will get 4 players max in the summer, 3 Mfs and 1 LCB
For the reported bugdet ya ยฃ200m, tunauwezo wa kupata 3 MFs.
Jude - ยฃ110m
Nunes/Mount - ยฃ40-50m
Maybe, Ugarte ambaye ana release clause ya ยฃ52m
Assuming kwamba upfront fee ya Mount/Nunes itakuwa ni ยฃ20m, na iliyobaki ni over the course of their contracts.
Keheller, Phillips & other academy sales itasaidia ku-fund a CB, get Goncalo Inacio, his price range is good, and his upfront fee itakuwa ni very affodable.
I really want Jude at LFC mkuu, he's everything we need at RCM, engine kama ya prime Henderson but with TALENT, he's only 19.
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ Nani the Brain Hahaha ama...Hivi huyu MosDef ukute ndio kocha msaidizi yule Pep nani nani sijui na hasemi๐๐๐๐
Wwe utakua umeungana na Chugga man kule LiveScore... VVD asingesimama ile klosi isingefika kwa Billing kwa kua sasa alisimama Dango Ouattara kuchungulia alimuona Billing akiwa kwenye nafasi bora kabisa akampa pasi mpaka hapo hao wengine walishachelewa i guess walidhani kama VVD angekomaa nae mpaka mwisho aidha atoe kona ama aokoe klosi isifike kwa Billing.Mimi bado nasimama na VVD kwenye lile goli.
Hivi baada ya ile cross kupigwa,uliona akina Trent,Konate,Robbo wakifanya chochote?
Yawezekana VVD anaboronga ila kwa lile goli hapana aisee.
Kwa sasa nakupa ushauri mapema hamia kwa dogo Gakpo haha huyo ni kama mdogo wake Matip utatulia tuli ๐๐๐Matip wangu jamani
Mpira siuoni kabisa mguuni,naishia kuona shingo tu๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Huyu kaka ukute ni kocha huko uingereza na watu hamsemi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nani the Brain Hahaha ama...
This is his field, am always humbled getting nondo kutoka kwake in black n white bila chenga.
YNWA
Yaani Bobby hapa mimi nitabaki na msimamo wangu uleule [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wwe utakua umeungana na Chugga man kule LiveScore... VVD asingesimama ile klosi isingefika kwa Billing kwa kua sasa alisimama Dango Ouattara kuchungulia alimuona Billing akiwa kwenye nafasi bora kabisa akampa pasi mpaka hapo hao wengine walishachelewa i guess walidhani kama VVD angekomaa nae mpaka mwisho aidha atoe kona ama aokoe klosi isifike kwa Billing.
YNWA
Yule mtoto ana hatari๐ฅ๐ฅKwa sasa nakupa ushauri mapema hamia kwa dogo Gakpo haha huyo ni kama mdogo wake Matip utatulia tuli ๐๐๐
YNWA
Yaani assumptions zako huwa zinanichekesha๐๐๐๐ฟ๐๐ฟNo way Mount hapana huyu atulie alipo... If we are going for Jude basi awe ni huyo huyo mtoto wa Malkia, for now since we need quick adaptation kwa new recruit i would rather buy from within EPL kuliko kutoka nje ya EPL kwa kua going by past buys wachezaji wengi tuliosajili from within hawakua wambaya kwetu hata Ox was superb kabla ya ile injury yake vs Roma UCL ooh boy has never been same again hivyo supposing Klopp anapewa ยฃ200m na suppose atauuza wachezaji kadhaa ikifika ยฃ230m, basi kama huyu Jude lazima atue tununue hivi
1st opinion
Jude
Nunes
Palhinha
2nd opinion
Jude
Kone
Nunes
3rd opinion
Jude
Gravenberch
Nunes
Nakomaa na Nunes kwa kua hata bei was almost agreed to below ยฃ60m.
Mount is overrated kuja kulipwa over ยฃ250k kwa wiki hapana atulie alipo.. Tunahitaji kind of new Sheriff Fabinho in town sababu Jude wi be paying higher up the pitch hivyo tunahitaji a progressive tackler with an eye for quick pass na Mount hayumo in that category...
Mara pap FSG wanapata wawekezaji wapya then tunakwenda full throttle kwa wawili ama mmoja
Khvicha ๐๐๐dream signing
Pellegrin
Barela
Diaby
Florian
YNWA