Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Acha kumdhalilisha Captain wangu tafadhali[emoji23]
Milner hayupo sawa na Hendo kiuwezo.

Kwa kweli mpira wake mguuni kama ulivyosema,Klopp pekee anauelewa.
 
Mimi bado nasimama na VVD kwenye lile goli.
Hivi baada ya ile cross kupigwa,uliona akina Trent,Konate,Robbo wakifanya chochote?
Yawezekana VVD anaboronga ila kwa lile goli hapana aisee.
 

Mimi binafsi, VVD amenitoka kabisa msimu huu Mkuu.

I thought he was a good. leader, but dude is full of arrogance, ni kama Trent tu wanahisi wame-complete football kabisa, lile goal la Bournemouth liliniuma sana, sana yaani, ni goal jepesi ambalo lilikuwa linazuilika kabisa.

kina Daniel Agger, walikuwa wanaweza kuua kwaajili ya team, na. walikuwa ni SUPER TALENTED, VVD amekuwa naive & arrogant, ni aibu kuona a kid konate anajaribu ku-step up kuliko VVD, kwenye game ya Bournemouth alikuwa anamlaumu Konate kwa kumchezesha Dango Ouattara onside, wakati he was his MAN, na pia uliona Trent alivyofail kum-track Billing kabisa, he didnt even try.

Sven Botman & Bruno Guimaraes, wote wangekuwa LFC players kama FSG & Klopp wangekuwq serious, Botman ni FSG's fault, Bruno ni Klopp's fault.
 
Aiseee
Ila pamoja na yote ,wewe na Klopp mnampenda Milner aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Duh Bro unamuonea Trent jamani [emoji3064]
Kwanza yule dogo ni mfia timu.

Akipewa nafasi hayo yote mbona ataweza tu.
 
Dogo ndo Captain wetu aisee
Tunamtaka huyohuyo
 
Uchawi upo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuendelee kuhesabu tu maumivu na vipigo..
Sijui kama tutakuja kuwafunga Madrid kweli kwa 1St Eleven ya kina Milner[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni kweli at times unahitaji well tamed speaker kwenye dressing room especially when the going get tough that i support maana EPL is full of surprises and sometimes players are broken kabisa so having that big brother figure motivating the others is essential kwa uimara wa timu with that said i do believe tunao hao wachezaji ambao probably have learnt kutoka kwa Milner maana moja ya nguzo ya kumbakisha ni sababu anakua kama role model ya other players.. Tunae Allison, Thiago na Henderson hawa naamini wanaweza kabisa kusimamia yale ambayo sasa anafanya Milner na tukasonge mbele.

Real Madrid waliwatema Ronaldo na Ramos very influential players na waka survive bila changa moto kwa sababu that was well planned in advance na hilo hata Klopp is supposed kua na plan ya how to evolve past era ya Henderson, Milner, VVD nk ili ajenge continuity ya philosophy yake na kikosi imara but haya mambo ya kusajili MF mmoja kwa miaka mitano ni kujiadalia bomu tu hakuna kingine ndio maana tulipo sasa sishangai sana kwa this has been coming... The last 2 senior signing of MFs are injury prone and here we are with the current form perhaps only FSG are surprised...

YNWA
 
Acha kumdhalilisha Captain wangu tafadhali[emoji23]
Milner hayupo sawa na Hendo kiuwezo.

Kwa kweli mpira wake mguuni kama ulivyosema,Klopp pekee anauelewa.
Msome MosDef vyema dogo acha papara haha hawa watoto wa Malkia nadhani kwa kua ni ma natives na lugha kwao inpamba fresh wana kazi ya ziada kwa kumsaidia Klopp kule vyumbani ama mazoezini ama kwenye mikutano ya wachezaji wanakua ndio motivational speakers na jambo muhimu sana unahitaji sana hicho kipengele ili ustawi wa timu upatikane ukumbuke Klopp kuna baadhi ya majukumu hua anawaachi ma Kapteni wake hivyo Le Kapteni na Le Kapteni msaidizi upo uwezekano tukawa nao msimu ujao pengine kwa Klopp kutazama hakuna mchezaji wa kuvaa majukumu ya Milner anaona amamhitaji kwa kazi maalum nje ya uwanja au hata ndani ya uwanja.

Milner mmoja tenaaa.

YNWA
 
Aisee,
Motivational speaker bila mpira wowote mguuni inatupeleka Europa🤣🤣🤣
 
Tukimnunua pekeyake kwa hela hiyo akiyanani tutapata kizunguzungu🤣🤣🤣🤣🤣
Labda wamwage hela kama mchele ili wanunuliwe na wengine wa kutosha

Vinginevyo tutaenda kujutia
 
😂 😂 😂 😂 Madrid hawa chini ya prime Gerrard walichapika sio kwamba hawafungiki la hasa, kama ile fainali in terms of real threat aa they felt the heat lakini kama ujuavyo mpira ni mchezo wa kutumia nafasi hata iwe moja itumie vyema na ndio walivyo fanya Madrid pale Paris one chance well executed n goal scored... Hii ya msimu huu its was written in tye stars kwa udhaifu wa kikosi uliopo kwa sasa ingekua really super lucky to pass past Real Madrid...

In layman eyes kama hatuwawezi Nottingham Forest, Leeds, Bournemouth nk unadhani ule mziki wa Real Madrid tungeuweza wapeee... Wenyewe washajimilikisha Uefa haha kwao its means more.

YNWA
 
Nimemsoma bro
Nimemuelewa sana

Na Mimi naunga hoja mawazo yake,
Kama Milner anabaki basi wampe cheo chochote,awe hata Haji Manara wa timu yetu😊
Ila siyo tena yeye kuingia front kucheza.

Milner mi✊ tena
 
Yaani ni huzuni🥺
Mimi kama shabiki, maumivu ni makali eti misimu yote 2 mfululizo wanatufunga.

Naungana tu na Trent kulia
I've given up 🙌
 

Antony was not a Statement signing for Utd, STATEMENT signing ya United itakuwa ni FDJ au Kane/Rice, na kama waki-pull off signing ya Victor Osimhen, pia itakuwa statement signing.

Hakuna big club ambayo ilikuwa serious na Antony, he wasnt ready for the step up, ni big fee signing, but ni project player, he needs time, FDJ/Kane/Osimhen/Rice ni transformative signings, zinakupeleka next level in a second, hawa wote ni hot commodities kwenye market now.

Jude wont be our only signing in the summer, concern ni ishu ya Nunes/Mount, we want 3 MFs minmum, sasa kama anakuja Jude (IF), we need to choose between Nunes & Mount, ujue Mount kabadilisha Agency now, na suala la mkataba mpya na Chelsea limekuwa na ukakasi, na Klopp nadhani ameshaongea na wazazi wake pia, Nunes kulikuwa na gentleman agreement na Jorge mendes, sasa kama tuki-move out kwenye deal ya Nunes, itabidi tufanye deal na mteja wake, mwingine (maybe Ugarte)

But, MF ya Jude, Nunes & Mount hai-make sense kabisa, it should be Jude + Nunes/Mount + Destroyer.

I think we will get 4 players max in the summer, 3 Mfs and 1 LCB

For the reported bugdet ya £200m, tunauwezo wa kupata 3 MFs.

Jude - £110m

Nunes/Mount - £40-50m

Maybe, Ugarte ambaye ana release clause ya £52m

Assuming kwamba upfront fee ya Mount/Nunes itakuwa ni £20m, na iliyobaki ni over the course of their contracts.

Keheller, Phillips & other academy sales itasaidia ku-fund a CB, get Goncalo Inacio, his price range is good, and his upfront fee itakuwa ni very affodable.

I really want Jude at LFC mkuu, he's everything we need at RCM, engine kama ya prime Henderson but with TALENT, he's only 19.
 
Ngoja nianze kufwatilia stori wanazoongeaga huko kambini

Kelele zote hizi, sijawahi hata kufwata anachoongeaga mwamba Milner babu wa timu yetu.
 

Klopp kajiharibia sana kaka, but unakumbuka yote haya tulikuwa tunayaongea miaka mitatu nyuma, ni aibu sana, bado tunayaongelea now, ni aibu sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…