Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,470
- 32,919
🤣🤣🤣Tumecheza UCL mfululizo chini ya Klopp kiasi tumesahau kwamba kuna mechi za Alhamisi, Europa na Conference League zinafana aje...Waondoke.
Kama vipi tuinunue tu timu wenyewe😆
Sitaki kuamini tunakwenda kucheza Europa😭
Dogo alishajiona ni invisible 🤣🤣kumbe SL walikua na jambo lao.Football world si so fun
After tough game,bro yupo anakula ugali hapa Uyole Mbeya😂😂😂
After a very tough game,bro has now decided to change his carrier from footballer to Electrian😭🤣Dogo alishajiona ni invisible 🤣🤣kumbe SL walikua na jambo lao.
YNWA
Uliona lile goli walivyomfunga?Dogo alishajiona ni invisible 🤣🤣kumbe SL walikua na jambo lao.
YNWA
Mimi sielewi hata zinafanana aje hakiyanani🤣🤣🤣Tumecheza UCL mfululizo chini ya Klopp kiasi tumesahau kwamba kuna mechi za Alhamisi, Europa na Conference League zinafana aje...
YNWA
Kumbe mechi ijayo tupo na bwana Pep kipara😁🤣🤣🤣🤣🤣Msimu uliopita tulikua na amani sana aisee kwa sababu Manchester United na Arsenal walikua hukooo wanapambana nani atacheza Conference League hivyo hata mtaani kulikua hakuna kelele walijikumbali hali ndio kama ilivyo.. Sasa msimu huu wamerejea kwa kishindo kwa pamoja tena mbona tunakoma aisee na vile tumepoteana ndio kabisaaaa wanatuchapa na ma utani, kejeli kama zoteee haha mpira bhana ukiwa na hasira na presha unaweza rusha ngumi..
Next match ni April tutakua ugenini Ethad kwa Kipara sasa hapo ni hawa vijana huko timu ya Taifa zao warejee wakiwa wazima wa afyaa ili tuanze kuisaka Big 4 kwa kishindo.
YNWA
Kama ambavyo Sancho hakua na value ya £70m na ndio hivyo hivyo huyu Jude hana mpira wa kununuliwa kwa £130m lakini kwa vile ni wajukuu wa Malkia bei inakua predetermined affair kwa magazeti ya ubea wa michezo na mawakala wao kutengeza habari za kutakiwa na Real Madrid nk ili BvB wakomae na bei yao ili dogo apigwe mnada kwa highest bidder.Jude ni mchezaji wa kawaida ambaye yupo overated sisi tumecheza dhidi ya Dortmund zote mbili ni mchezaji ambaye hana uwezo wa kudominate game, sio mbunifu wa kiwango Cha juu Cha pasi, sio mkabaji mzuri ukabaji wake ni wa kawaida nashangaa sijui kwanini thamani yake inatajwa kuwa ni paund million 100? Yule ni mchezaji wa paund million 15-20 hana vitu exceptional kwenye uchezaji wake bruno wa newcastle ni Bora by far kuliko huyo jamaa
Captain Marvelous
Sisi kama FSG tunasema hatuna hela ya mchezo namna hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama ambavyo Sancho hakua na value ya £70m na ndio hivyo hivyo huyu Jude hana mpira wa kununuliwa kwa £130m lakini kwa vile ni wajukuu wa Malkia bei inakua predetermined affair kwa magazeti ya ubea wa michezo na mawakala wao kutengeza habari za kutakiwa na Real Madrid nk ili BvB wakomae na bei yao ili dogo apigwe mnada kwa highest bidder.
Kama ni kweli lazima amunum Muingereza pale Liverpool basi aje Declan Rise ambae ni ana afadhali kwa kua ana experience ya kucheza Premier League kwa muda mrefu.. Napata wasiwasi huyu Jude ni Sancho aliechangamka, imagine dogo Sancho pale Manjesta anakula £300k+ kwa wiki aafu ndio anacheza vile yaaani sijui ni kupagawa na ela ama Ligi ngumu hata haeleweki japo ETG amejaribu sana kumrudisha Sancho yule wa BVB lakini bado bado sasa miss Liverpool chukulia atue Jude aje aanze kusinzia huku macho yote yakiwa kwake tuone combination ya Jude, Nunes na Joao
Palhinha... Klopp kama kweli ana nia ya kusahau haya maumivu wala asihangaike sana kusaka wachezaji nje ya Uingereza kwa sababu pale pale wapo wachezaji wazuri wenye uzoefu safi wa Ligi design kama Gini, Mane, Robbo, VVD, Ox hawa walikuja na kukiwasha safi kwa kua walikua na uzoefu wa kutosha wa EPL...
Kazi ipo.
YNWA
FSG mitano tenaKazi na dawa[emoji23][emoji23]View attachment 2555693
Team yenu inatakiwa ifanyiwe uboreshwaji mkubwa kama hamtafanya hivyo msimu ujao utakuwa mgumu sana kwenu maana chelsea, City,man u na Arsenal watakiwasha na watafanya usajili mzuri wa kuimarisha kikosiKama ambavyo Sancho hakua na value ya £70m na ndio hivyo hivyo huyu Jude hana mpira wa kununuliwa kwa £130m lakini kwa vile ni wajukuu wa Malkia bei inakua predetermined affair kwa magazeti ya ubea wa michezo na mawakala wao kutengeza habari za kutakiwa na Real Madrid nk ili BvB wakomae na bei yao ili dogo apigwe mnada kwa highest bidder.
Kama ni kweli lazima amunum Muingereza pale Liverpool basi aje Declan Rise ambae ni ana afadhali kwa kua ana experience ya kucheza Premier League kwa muda mrefu.. Napata wasiwasi huyu Jude ni Sancho aliechangamka, imagine dogo Sancho pale Manjesta anakula £300k+ kwa wiki aafu ndio anacheza vile yaaani sijui ni kupagawa na ela ama Ligi ngumu hata haeleweki japo ETG amejaribu sana kumrudisha Sancho yule wa BVB lakini bado bado sasa miss Liverpool chukulia atue Jude aje aanze kusinzia huku macho yote yakiwa kwake tuone combination ya Jude, Nunes na Joao
Palhinha... Klopp kama kweli ana nia ya kusahau haya maumivu wala asihangaike sana kusaka wachezaji nje ya Uingereza kwa sababu pale pale wapo wachezaji wazuri wenye uzoefu safi wa Ligi design kama Gini, Mane, Robbo, VVD, Ox hawa walikuja na kukiwasha safi kwa kua walikua na uzoefu wa kutosha wa EPL...
Kazi ipo.
YNWA
Mpe heshima yake Maguire bhana ni Kapteni Maguire 🤣🤣🤣... Muda una ishu za ajabu sana kwa kua Klopp kashanunua wachezaji wengi tu pale pale EPL na hakuna hata mmoja aliemwangusha ingekua jambo njema kwa kuimarisha timu anunue pale aanze na Nunes kutoka Wolverhampton na Mr Tackling Jaoa Palhinha kutoka Fulham hawa wawili mbona MF inakua sorted kwa miaka kadhaa na uzuri hakuna wa kuzidi bei ya £50m...beki atue pale Southampton Mohammed Salisu na ule ukuta utakua jiwe sio ulivyo karatasi sasa hivi.Sisi kama FSG tunasema hatuna hela ya mchezo namna hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akwende tu
Sisi hatupigwi kizembe [emoji13]
Wameona tupo desperate they want to take it as an advantage.,wametukosa.
Dogo mpira wake wa kawaida sana
Ile world cup wasitumie kama kigezo Cha kutupiga,
Wedi cup hata Le Captain wetu Hendo na Magwaya waliperform vizuri sana.
Ninachoweza kumpa heshima nacho ni urefu tuMpe heshima yake Maguire bhana ni Kapteni Maguire [emoji1787][emoji1787][emoji1787]... Muda una ishu za ajabu sana kwa kua Klopp kashanunua wachezaji wengi tu pale pale EPL na hakuna hata mmoja aliemwangusha ingekua jambo njema kwa kuimarisha timu anunue pale aanze na Nunes kutoka Wolverhampton na Mr Tackling Jaoa Palhinha kutoka Fulham hawa wawili mbona MF inakua sorted kwa miaka kadhaa na uzuri hakuna wa kuzidi bei ya £50m...beki atue pale Southampton Mohammed Salisu na ule ukuta utakua jiwe sio ulivyo karatasi sasa hivi.
Huyu Jude atue tu Manchester United wao wana uwezo huo kununua ma bench warmers kwa bei ghali kwa mfano Maguire, Sancho, Martial. Sisi hio pleasure haipo kwa kua FSG bado wamo wamo.
YNWA
Huyu yuko busy kama zimamoto wa kukwepa below 16 pale CIVE kwenu.Ninachoweza kumpa heshima nacho ni urefu tu
Jamaa ni mrefu Sana, I think ndio tallest player pale unyumbuni FC.
Huyo Jude aende huko akawape stress za pesa nyingi mpira sisimizi..
Akaungane na wenzie akina Anthony.
Tupate wadhamini kidogo. View attachment 2556086
Leicester city walimfanyia vibaya Man u kwa le captain Maguire [emoji1787][emoji1787]Mpe heshima yake Maguire bhana ni Kapteni Maguire [emoji1787][emoji1787][emoji1787]... Muda una ishu za ajabu sana kwa kua Klopp kashanunua wachezaji wengi tu pale pale EPL na hakuna hata mmoja aliemwangusha ingekua jambo njema kwa kuimarisha timu anunue pale aanze na Nunes kutoka Wolverhampton na Mr Tackling Jaoa Palhinha kutoka Fulham hawa wawili mbona MF inakua sorted kwa miaka kadhaa na uzuri hakuna wa kuzidi bei ya £50m...beki atue pale Southampton Mohammed Salisu na ule ukuta utakua jiwe sio ulivyo karatasi sasa hivi.
Huyu Jude atue tu Manchester United wao wana uwezo huo kununua ma bench warmers kwa bei ghali kwa mfano Maguire, Sancho, Martial. Sisi hio pleasure haipo kwa kua FSG bado wamo wamo.
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu yuko busy kama zimamoto wa kukwepa below 16 pale CIVE kwenu.
Sasa si nakujua.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hiyo Cive umeitoa wapi lakini [emoji13]
Kitambo sana info kule.
[emoji15]Sasa si nakujua.
Ngoja nikae kimya kwanza[emoji16]
Unakumbuka wakati anasajiliwa walikua wanajilesi eti ni bora kuliko VVD 🤣🤣🤣🤣 nae akapata bichwa kwamba ni bora zaidi ya VVD basi akaanza kulewa sifa na kusahau kujituma kazini mwshowe yule pale sasa ni chaguo sijui la nne au ngap...Kapteni Maguire kwa kufosi mkataba mpya anapita mle mle alikooita Le CP Henderson kwamba PSG wanamtaka dirisha lijalo wamsajili🤣🤣🤣yaaani like serious kwamba nguli Luis Campos ndio amhitaji dogo Maguire pale lol labda kibiashara lakini kimpira ndio wanazidi kujiweka mbali kuchukua Uefa.Leicester city walimfanyia vibaya Man u kwa le captain Maguire [emoji1787][emoji1787]