Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,585
- 235,438
DahView attachment 2553002
🤣 🤣 🤣 🤣 Hii ngumu kutekeleza jamani angalau ingekua pale machijioni Anfield tungekuwa na ahueni fulani kwa hii knock out.
YNWA
Hao bado watoto kwetu sisi tuna vitu vingi sana vya kupigia kelele wabebe kwanza hata Uefa ndo waje kuanza kupigishana mdomo na sisi.View attachment 2553000
Duu allypipi huyu ndugu kweli noisy neighbour ebu waini pale Napoli mazima kwa Victor Osimen naamini mtakua na jambo lenu kuwazima kelele.
YNWA
Leo tunaua mtu 5,hatutaki mazoea na makima sisiLeo mnapigwa na aggregate itakua kubwa katika historia ya mashindano
Mavuvuzela fc
Umesaau neno moja la muhimu sana mkuu kuongea kuwa,Mnashinda njaa.Liverpool tunashinda hii game ila sina hakika kama tuna mtoa mwamba
Mkomi tu hawa ni Madrid sio nyumbu.Sijui tuwafunge saba kama wale nyumbu[emoji16]
Ila leo matano yanatosha
Endelea kukaa tu
Sasa nyie nyumbu mnadhani mtapoza machungu yenu
Yaani ndugu yangu acha tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nazidi kupata magonjwa ya moyo Mimi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mechi ngumu kama Madrid ni ya kumuanzisha Milner kweli?
Dah.
Hebu ngoja tuone.
[emoji3589]YNWA [emoji3590]