Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,584
- 235,438
Kitu inayofanya Liverpool iendelee kubaki Uefa ni masaa tu nayo yamekaribia kuisha[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie nyumbu wote mliojaa humu ndani
Nawaambia Liverpool ni Chama kubwa na mapema sana tunaibuka kidedea
Sasa tukishashinda jiandaeni
Nitadeal na mtu mmoja baada ya mwingine.
Leo Liverpool tunaua mtu 4
Endelea kukaa tuNimekaa pale[emoji1371][emoji1371][emoji1371][emoji2093]
Ubishi ubishi ππKaka una roho ngumu kweli kweli.
Anyway its not over until its over
Yaani ndugu yangu acha tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2552996
[emoji23][emoji23][emoji23] Saint Anne njoo huku umuone Milner akiweka rekodi mpya ya mchezaji mzee zaidi kutoka Nchi ya Malkia kucheza Uefa.
YNWA
ππππππππππππUsiumwe bhana ni maisha ya mpito aisee... Ila Klopp ana kifua yaani hapa mpaka Milner atafutiwe mkataba mpya kwa nguvu yotote ile.Yaani ndugu yangu acha tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nazidi kupata magonjwa ya moyo Mimi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mechi ngumu kama Madrid ni ya kumuanzisha Milner kweli?
Dah.
Hebu ngoja tuone.
Wakijikaza tunatoboaView attachment 2553002
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hii ngumu kutekeleza jamani angalau ingekua pale machijioni Anfield tungekuwa na ahueni fulani kwa hii knock out.
YNWA
Yaani huyu Milner mganga wake ni kiboko[emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiumwe bhana ni maisha ya mpito aisee... Ila Klopp ana kifua yaani hapa mpaka Milner atafutiwe mkataba mpya kwa nguvu yotote ile.
Au Miss Liverpool huyu Milner atakua msoma nyota wa Klopp aisee ndio maana anakoma nae mazima.. Ngoja siku ale nyekudu kwa kucheza karate ndio Klopp atauchuna kama vile hakumpanga yeye.
YNWA