Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
😂😂😂😂Ishakua historia aisee pointi muhimu 3 zimepotea hivi hivi huku Newcastle na Tottenham wakishinda na kufanya hizi mbio kuzidi kunoga zaidi...Siyo kwa mpaisho ule dah!
Mwamba ametuangusha sana🥺
Heri kipa angedaka
Yaani hadi nikajiuliza😂😂😂😂Ishakua historia aisee pointi muhimu 3 zimepotea hivi hivi huku Newcastle na Tottenham wakishinda na kufanya hizi mbio kuzidi kunoga zaidi...
YNWA
Wapo Kama hawapo aisee.Mabeki wanatakiwa wawe kama Ramos, Daniel Agger, Skirtel nk sio hawa wa kwetu wanaogopa hata kuchafuka bhana wanakimbia kwa kutegeana.
YNWA
Kaangalie tena utaona VVD alikimbia akachoka akasimama klosi ikipigwa na kutoa kwa Billing hakufanya kosa.Mimi niliona efforts za VVD
Alijitahidi sana kukimbia kumkaba adui
Hadi akazidiwa na kupiga.
Kasheshe ipo huku Konate kajitupa chini
Trent anafanya utalii yupo mbali kabisa,,jamaa wanajimwaya mwaya wote mbele ya Allison
Dah!🥺
Mimi kwa kweli naona alijitahidi sanaKaangalie tena utaona VVD alikimbia akachoka akasimama klosi ikipigwa na kutoa kwa Billing hakufanya kosa.
Ilikua ni collective mistake.
YNWA
Kwa bahati mbaya naamini halitakua goli la mwisho kufungwa kwa staili ile yaani msimu huu tuna hali tete sana pale nyuma.Wapo Kama hawapo aisee.
Ile goli tumefungwa mwa uzembe wao🥺
Hata ingekuwa mm pale ningefunga..
Wamekaa mbali kule kabisa aisee hii timu🥺
😂😂😂😂Presha naona ilikua kubwa sana kwake.Yaani hadi nikajiuliza
Au man u walimloga Salah wetu jamani chaa🥺
Ile penati hata ningekupa wewe Bobby usingepiga vile aisee!
Hata mimi nisingepaishia kule mbali.
Tulivyopigwa lile goli mapigo ya moyo yakaenda mbio😂😂😂😂Presha naona ilikua kubwa sana kwake.
YNWA
Tobaaa😂Kwa bahati mbaya naamini halitakua goli la mwisho kufungwa kwa staili ile yaani msimu huu tuna hali tete sana pale nyuma.
YNWA
Kesho Uefa tupo ugenini pale Bernabeu usikose kutazama pengine ndio Champions League yetu kushiriki ya mwisho mpaka msimu wa 2024 2025 maana kwa hali inavyokwenda upo uwezekano kabisa tukakosa Big 4.. Klopp ni kama amechoka na hii hali anatamani tu June 2023 aanze upya kusuka kikosi chake.Tobaaa😂
Siangalii tena mechi
Kesho Uefa tupo ugenini pale Bernabeu usikose kutazama pengine ndio Champions League yetu kushiriki ya mwisho mpaka msimu wa 2024 2025 maana kwa hali inavyokwenda upo uwezekano kabisa tukakosa Big 4.. Klopp ni kama amechoka na hii hali anatamani tu June 2023 aanze upya kusuka kikosi chake.
YNWA
Kwa bahati mbaya naamini halitakua goli la mwisho kufungwa kwa staili ile yaani msimu huu tuna hali tete sana pale nyuma.
YNWA
Dooh[emoji3064][emoji3064]Kesho Uefa tupo ugenini pale Bernabeu usikose kutazama pengine ndio Champions League yetu kushiriki ya mwisho mpaka msimu wa 2024 2025 maana kwa hali inavyokwenda upo uwezekano kabisa tukakosa Big 4.. Klopp ni kama amechoka na hii hali anatamani tu June 2023 aanze upya kusuka kikosi chake.
YNWA
Labda data zinamwonyesha pale kati pakiimarishwa basi na kwingine kutakua imara lakini ukumbuke kingine Klopp hajasema wapi ana imarisha hio June 2023. Hii MF inatajwa kwa kua Milner, Keita na Ox mikataba yao inaisha.. Tetesi Milner anaweza kubakishwa kikosini kwa mwaka mmoja tena.Uti wa mgongo wa timu umekufa.
CB DM ST (center of the team)
Kumbuka tulikua na prime VVD (cb) Gini/Fabinho (DM) Bobby (ST fols 9) hii chaini ilikomesha wengi. Embu tazama form yao na bado wapo kwenye hiyo cheni.
Utaona jinsi tumepwaya kwenye UTI wa mgongo wa team.
Ukija kwenye flanks tunapwaya kutokana na uti umeshajifia pia,.
Priority ya Klopp ni Jude and Nunes ila sijui kwa nini hajigusi kwenye CB DM and RB.
Usichoke sana Miss Liverpool tumeipenda wenyewe.Dooh[emoji3064][emoji3064]
Hahaha nadhani afaute staili ya ETG pale Manchester United baada ya kipigo nadhani Brentford wakati msimu huu mzunguko wa kwanza kocha alikua kama mbogo kwamba hawakimbii bila mpira wala wakiwa na mpira hawakimbii hivyo mazoezini huko ilikua ni kukimbia tu hakuna kingine mpaka pale alivyoona sasa wanaelewa anachokitaka na kweli kuanzia hapo wakawa bora baada ya muda mfupi.If i were Klopp ningetafuta saikolojisti mmoja matata anakaa na wachezaji masaa manne wanakula darasa tu.
Nikitoka hapo namwalika Stevie G mazoezini, wakitoka hapo ni tizi tu.
[emoji19][emoji19]Usichoke sana Miss Liverpool tumeipenda wenyewe.
YNWA