Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Nasimama na Gunners kwenye ubingwa hapa nasubiri mwaliko wa kusherekea ubingwa wenu kutoka kwa DullyJr na Aaron Arsenal .Acha maneno ya ajabu ajabu. Season iishe Sasa hivi wakati Gunners Bado tunataka kuenjoy?
Actually ikiisha Leo itakuwa poa sana.
Maisha yanakwenda kasi sana ndugu. Tujipange yajayo msimu wa 2023 2024.Si vibaya kukumbushana binadamu tumeumbwa kusahau [emoji23] Saint Anne Captain Marvelous View attachment 2547837
FSG hua hawana historia hio ya kununua June na January bila kua wameuza wachezaji ni nadra sana wakakope kwa ajili ya uwekezaji, wao ni timu ijiedeshe yenyewe bila mkopo wa wamiliki na ndio wanafeli sana...Nyinyi shida yenu kuu wachezaji wamechoka wametumika Sana nilitegemea mtafanya usajili wa nguvu kama tulivyofanya sisi lakini hamjafanya
Machozi hahaha ohooo kwa mwendo huu kuna wasiwasi wa kukosa Big 4 tujikute na Chugga hukooo Conference League lol hapo mapato yatakua yameshuka sana na pia inakua tatizo kuvutia vipaji kwa sababu wengine wao wanataka Champions League tu wacheze sio huko mchangani.Kumbe tulimnyuka 9
Basi angalau tumewahurumia nao wapate kifutia machozi
Hata wakisema ligi iishe leo itakuwa poa . Tungependa tuendelee kidogo Ili Liverpool waingie top 4 na Newcastle huku manyumbu na Tottenham wakitoka ila hapo kuna risk ya sisi kuiachia nafasi ya kwanza piaNasimama na Gunners kwenye ubingwa hapa nasubiri mwaliko wa kusherekea ubingwa wenu kutoka kwa DullyJr na Aaron Arsenal .
YNWA
Kuna wakati wachezaji hata hawaoni Champions league kama kipaumbele. Pogba alienda ManUtd, sisi tuliwapata kina Jesus, Mudy kaenda Chelsea...Hata wakisema ligi iishe leo itakuwa poa . Tungependa tuendelee kidogo Ili Liverpool waingie top 4 na Newcastle huku manyumbu na Tottenham wakitoka ila hapo kuna risk ya sisi kuiachia nafasi ya kwanza pia
Kama lile goli tumefungwa na hivi vitotoFSG hua hawana historia hio ya kununua June na January bila kua wameuza wachezaji ni nadra sana wakakope kwa ajili ya uwekezaji, wao ni timu ijiedeshe yenyewe bila mkopo wa wamiliki na ndio wanafeli sana...
Wapo tayari kuuza hisa kadhaa hata kwa £500m ili Klopp apewe mshiko wa maana kuingia sokoni kwani kikosi kimeshatumika, kimechoka, kinahitaji damu changa kuchanganya na waliopo.
Msimu huu tunafeli sana kwenye defence transition mpira ukishapita kati kati under presa ya kweli kweli kuja kwetu basi hakuna mchezaji mwenye uhakika nini afanye kuzuia goli sio VVD, Fabinho, Trent wala Konate inakua ni aibu Klopp anajishika kichwa tu... Hapo ndio tatizo lilipo na Klopp amejaribu sana kutoa maelekezo lakini wachezaji wanafanya kinyume chake. Hata Klopp amechoka sana aisee. Msimu huu nadhani ugenini EPL tumeshinda mechi 3 tu hii hakumbaliki kabisa.
Nwa better days next season may be. Ni kuweka hope alone.
YNWA
Angalau hao wamiliki wanyonya damu wanaweza itelekeza timu.Machozi hahaha ohooo kwa mwendo huu kuna wasiwasi wa kukosa Big 4 tujikute na Chugga hukooo Conference League lol hapo mapato yatakua yameshuka sana na pia inakua tatizo kuvutia vipaji kwa sababu wengine wao wanataka Champions League tu wacheze sio huko mchangani.
Kile kipigo kinaweza kutugharimu parefu sana.
YNWA
Arsenal mwaka wenu huuHata wakisema ligi iishe leo itakuwa poa . Tungependa tuendelee kidogo Ili Liverpool waingie top 4 na Newcastle huku manyumbu na Tottenham wakitoka ila hapo kuna risk ya sisi kuiachia nafasi ya kwanza pia
Cha kuzingatia Sana Ni SABA [emoji23]Huoni kama hapo ni saba kwa mbili?
Unadhani ipo sawa na hii?View attachment 2547996
Endelea kujitoa ufahamu😂Cha kuzingatia Sana Ni SABA [emoji23]
Hata mimiNasimama na Gunners kwenye ubingwa hapa nasubiri mwaliko wa kusherekea ubingwa wenu kutoka kwa DullyJr na Aaron Arsenal .
YNWA
Konate anacho weza ni man to man defence ila kukimbiza hajui [emoji1787][emoji1787][emoji1787]FSG hua hawana historia hio ya kununua June na January bila kua wameuza wachezaji ni nadra sana wakakope kwa ajili ya uwekezaji, wao ni timu ijiedeshe yenyewe bila mkopo wa wamiliki na ndio wanafeli sana...
Wapo tayari kuuza hisa kadhaa hata kwa £500m ili Klopp apewe mshiko wa maana kuingia sokoni kwani kikosi kimeshatumika, kimechoka, kinahitaji damu changa kuchanganya na waliopo.
Msimu huu tunafeli sana kwenye defence transition mpira ukishapita kati kati under presa ya kweli kweli kuja kwetu basi hakuna mchezaji mwenye uhakika nini afanye kuzuia goli sio VVD, Fabinho, Trent wala Konate inakua ni aibu Klopp anajishika kichwa tu... Hapo ndio tatizo lilipo na Klopp amejaribu sana kutoa maelekezo lakini wachezaji wanafanya kinyume chake. Hata Klopp amechoka sana aisee. Msimu huu nadhani ugenini EPL tumeshinda mechi 3 tu hii hakumbaliki kabisa.
Nwa better days next season may be. Ni kuweka hope alone.
YNWA
😂 😂 😂 😂 Beki huyu hata hatishi ana baby face vile lol.. Tupate beki kama Ramos sura ya kazi kaziKonate anacho weza ni man to man defence ila kukimbiza hajui [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sometimes bhana hata akina Messi na CR7 wanakuaga na siku kama ile ya Salah ambapo mambo yanagoma kwenda.Angalau hao wamiliki wanyonya damu wanaweza itelekeza timu.
Waje wengine wenye mapenzi mema,watutoe matopeni.
Ila mimi namlaumu Salah,
Ile penati heri kipa angedaka..kuliko kule alikopiga.
Siyo kwa mpaisho ule dah!Sometimes bhana hata akina Messi na CR7 wanakuaga na siku kama ile ya Salah ambapo mambo yanagoma kwenda.
YNWA
Ila Konate HB.😂 😂 😂 😂 Beki huyu hata hatishi ana baby face vile lol.. Tupate beki kama Ramos sura ya kazi kazi
YNWA
Hivi je kama VVD angefanya follow up akakimbia mpaka ile klosi inapigwa unajua isingempita lakini alisimama kama wengine na huu ndio umekua ugonjwa wao kuna muda wana switch off wakati muhimu sana na mara nyingi tunafungwo nwa Klopp ana kibarua kigumu sana kuingia Big 4 msimu huu mambo ni magumu sana kwake.Kama lile goli tumefungwa na hivi vitoto
Trent ,Robo, wote wapo pale na sijui walikuwa wanazuia Nini.
Heri VVD kidogo alipambana ,
Vitoto vikapiga mpira,Konate akaukosa akadondoka
Wenzangu na mm akina Trent wanakula Bata tu
Goli tayari.
Mabeki wanatakiwa wawe kama Ramos, Daniel Agger, Skirtel nk sio hawa wa kwetu wanaogopa hata kuchafuka bhana wanakimbia kwa kutegeana.Ila Konate HB.
Angalau VVD ana nywele kama cyborg kidogo anatisha.
Mimi niliona efforts za VVDHivi je kama VVD angefanya follow up akakimbia mpaka ile klosi inapigwa unajua isingempita lakini alisimama kama wengine na huu ndio umekua ugonjwa wao kuna muda wana switch off wakati muhimu sana na mara nyingi tunafungwo nwa Klopp ana kibarua kigumu sana kuingia Big 4 msimu huu mambo ni magumu sana kwake.
YNWA