Betis ni timu ya kawaida ambayo Real Madrid ameshindwa kumfunga hata goli moja kwenye mechi yao ya mwisho La League sio?Manjesta anacheza kwa kubahatisha bahatisha ,huo mpira alikuja nao Conte msimu uliopita ukampeleka had UCL league wachambuz uchwara wakasema na usajili alioufanya msimu huu Basi atagombea EPL , Sasa hivi anajipanga kutimuliwa
EPL haitaki janja janja ,ndio maana manjesta kulambwa 7 hakubahatishwa , Vs Betis ni sababu timu ya kawaida ,ila walishazawadiwa goals 2 na Degea , makosa ambayo Liverpool waliyatumia .
Nishasema arsenal mngecheza na Nyie uo mpira wa ujanja ujanja hata msimu mmoja mngekuwa na UCL na ueropa hata moja.Manjesta anacheza kwa kubahatisha bahatisha ,huo mpira alikuja nao Conte msimu uliopita ukampeleka had UCL league wachambuz uchwara wakasema na usajili alioufanya msimu huu Basi atagombea EPL , Sasa hivi anajipanga kutimuliwa
EPL haitaki janja janja ,ndio maana manjesta kulambwa 7 hakubahatishwa , Vs Betis ni sababu timu ya kawaida ,ila walishazawadiwa goals 2 na Degea , makosa ambayo Liverpool waliyatumia .
Usichojua Madrid msimu huu yupo ovyo Sana ,na Madrid wanajipanga huenda Carlo akatimuliwa au kuondoka mwisho wa msimuBetis ni timu ya kawaida ambayo Real Madrid ameshindwa hata kumfunga goli moja kwenye La League sio?
[emoji1]Nishasema arsenal mngecheza na Nyie uo mpira wa ujanja ujanja hata msimu mmoja mngekuwa na UCL na ueropa hata moja.
Nyie mpira wenu mzuri umewapa nini miaka yote Iyo
No EPL Cup 18 years
No ueropa for life
No ucl for life
Uo mpira mzuri mnachezea nani hata uefa mna miaka mingapi mjaenda.
Ok tuseme tuachane na yote hayo Kwanini mjacheza uefa miaka yote hiyo.
Sisi tumeanza kutengeneza timu miaka mitatu hii ,Arteta eraNishasema arsenal mngecheza na Nyie uo mpira wa ujanja ujanja hata msimu mmoja mngekuwa na UCL na ueropa hata moja.
Nyie mpira wenu mzuri umewapa nini miaka yote Iyo
No EPL Cup 18 years
No ueropa for life
No ucl for life
Uo mpira mzuri mnachezea nani hata uefa mna miaka mingapi mjaenda.
Ok tuseme tuachane na yote hayo Kwanini mjacheza uefa miaka yote hiyo.
Madrid kule laliga kashachoka ,au hujui hata Carlo yupo kikaangoni ?Betis ni timu ya kawaida ambayo Real Madrid ameshindwa kumfunga hata goli moja kwenye mechi yao ya mwisho La League sio?
Maneno yenu hayo tushayazoea, Ukisema Madrid amechoka na Liverpuuuhh utasemaje?Madrid kule laliga kashachoka ,au hujui hata Carlo yupo kikaangoni ?
Wenger alikuwa na mpira mzuri ila ujawai msaidia kubeba hata ka uefa kamoja.Sisi tumeanza kutengeneza timu miaka mitatu hii ,Arteta era
Emery alipoleta mpira Kama mnaocheza manjesta hakuchukua muda alitimuliwa
Uefa kabeba Di Mateo lakin hajawahi Tena kurudi kwenye raman ya sokaWenger alikuwa na mpira mzuri ila ujawai msaidia kubeba hata ka uefa kamoja.
ππ aaah royal mantle wapi bhanaaa. Oh well. You can call a spade a very big spoon...πππSio gauni inaitwa 'Royal Mantle'
YNWA
Baada ya kushinda saba mukawaaminiππHawa mbuzi kila siku kutuchania mikeka tu