Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

HT. Bounemouth 1-0 Liverpool. Kama liverpool sijaona chochote cha maana kwa dk 45 za kwanza. Elliott leo ndio flop kabisa. Robbo na TAA ile mikimbio yao sijaona kabisa. Gapko dah dk 45 hizi hamna kitu kafanya. Nategemea mabadiliko kipindi cha pili. Jota kama yupo bench pale aingie tu Nunez apumzike.
 
Sawa nakutakia ushindi kusonga mbele ndugu...
Upande wetu hatuelewi ni namna gani tutasonga maana duh tunakwenda ugenini Bernabeu sio mahala rahisi kivile lakini tutapambana tuone tutambulia kipi baada ya mechi.

YNWA
Ile mechi huna cha kupambana maana kumpiga madirid bao nne na wao wasipate bao ni uwongo. Apo mujiandae na msimu ujaoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Liverpool msimu huu wabovu

Manjesta ni timu mbovu inayofichwa na form uchwara

Kaangalie mech na Real Betis ,manjesta alifanya makosa mengi Sana kiasi kwamba ukazuka mjadala mkali wa Degea ,ila kwakuwa walikutana na timu ya kawaida ,utaambiwa manjesta wapo vzr
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…