Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

🤓🤓🤓🤓Kila mchezaji mkuu ana bei yake na Chelsea walifika bei kwa Torres tukawa hakuna namna zaidi ya kuuza na maisha yasonge.. Usisahau hata huyo Surez alijaribu kufosi move ya Arsenal baada ya Wenger kutoa ofa ya 40m+1cents 😁😁 ikabidi Henry aulize huko Emirate wanavuta ya wapi.
Niseme tu kwa mtazamo wa kila mmoja atakavyo wa rate yuko sahihi kwa kua hawa ma strika waliitedea haki baji ya Liverpool...
Torres enzi hizo alikia msumbufu ajambo yaaani na mabeki wengi wastaafu walimchagua kua tishio.

YNWA
 
Ni kweli mkuu ila jamaa dah alituacha tukiwa wabovu sana bora hata Suarez aliacha kuna uafadhali.

Yeah El Nino alikuwa mzuri ila nilikuwa nampenda zaidi kwenye game vs Man United alivyokuwa anampindua Vidic. Ilikuwa karibu kila match Vidic anakula umeme.

Goli langu bora kwa Torres kuna msimu mmoja nahisi 2009/10 au wa 2008/09 vs Blackburn Rovers alipokea pass akiwa amelipa goli mgogo akaushusha kwenye freezer aka turn akaachia volley ya maana.

 
Salah ana EPL ngapi?
 
Ile penati pale liva kuna mutu anaeza piga?! Ule ufundi siyo wa kitoto mkuu.
UEFA watupe kombe letu tu
Kweli Chugha man umeishiwa yaaani mpaka unafurahia ushindi wa penati hahaha.
Haya sogea sogea kwenye EPL msimamo angalau upate kushiriki Conference League.

YNWA
 
Nando hakua mtu mzuri sana kunako kufumania nyavu... Vidic, Evra, Terry nk wote hao watakwambia yule mwamba alikua kama kaa la moto.

Alipata ushauri mbaya kuodoka vile kiasi mpaka leo anaonkena judas kiasi fulani lakini kipindi alivaa uzi wetu alitukonga nyoyo zetu haswa... Upande mwingine nae alichangie hii timu kuangukia mikononi mwa FSG kwa kua pesa ya kumnunua kutoka AT ilikopwa nadhani benki Uswisi na haikulipika kwa wakati mpaka kupelekea moto kwa wale ma Yankees akina Gillet..

Kingine El Nino huyu huyu kwa kucheza soka safi mwaka 2008 walijitokeza Waarbu kutaka kununua Liverpool lakini Gillet wakapata tamaa na kudai nadhani £2 billions wale waarabu kutoka a Abu Dhabi wakala kona mazima.

Hilo goli murwa sanaaaa.

YNWA
 
Alivyokuwa anashake hands na Klopp
Nikadhani ako siriazi..
Kumbe hakuna kitu🤣

Wazee wa gengeni pressing bana😂
Akiyanani ,nicheke mie🤣🤣
 

Attachments

  • IMG_20230310_125559_954.jpg
    429.1 KB · Views: 13
  • IMG_20230310_125605_962.jpg
    587.5 KB · Views: 9
  • IMG_20230310_125604_345.jpg
    563.9 KB · Views: 11

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…