Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

View attachment 2542577

Woow. Tough one.
Mine will be
Salah
Torres
Surez

YNWA
tatizo walicheza era tofauti aisee,
mine will be Suarez, Salah, Torres,

era ya suarez tulikua na timu mbovu ajabu, mbovu kweli kweli....

era ya Torres tulikua na 1st 11 superb , nje ya hapo yalikua magarasa.... pia klabu haikua na utulivu kabisa kwenye mgt,

era ya Salah timu ipo vizuri kila idara, hata yeye amekua na mwendelezo mzuri wa kiwango!
 
Yeah ukiweka ubora wa vikosi vya tangu Torres, Surez na sasa Salah kuja tofauti kubwa sana... Torres alicheza na prime Gerrard akiwa kwenye form.. Surez the viper huyu timu haikua na utulivu kabisa lakini alipambana vya kutosha single handily...
Salah amecheza chini ya Kocha bora na pia akiwa na prime Mane na Firmino pembeni yake na kumsaidia kuleta numbers za kutosha.

YNWA
 
View attachment 2542577

Woow. Tough one.
Mine will be
Salah
Torres
Surez

YNWA
Suarez.
Salah
Torres

Suarez namrate zaidi kutokana na workrate yake uwanjani. Tukiachilia mbali masuala yake ya kinidhamu jamaa alikuwa complete footballer.

Ana kuoffer kila kitu, ana press balaa, dribbling zisizoeleweka ila anachana msitu hivyo hivyo, magoli ya kushangaza.

Suarez ni mchezaji mfia timu. At his best angefanya lolote team yake ishinde.

Salah is magical. Sihitaji kumuelezea.

Torres will forever be JUDAS to me. 🚮
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…