Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Jota, Gakpo, Nunez na Diaz wana mengi ya kujifunza kutoka kwa Salah ukitazama EPL dogo anakupigia wastani wa mechi 35+ katika misimu minne iliyoisha hapo ukiweka UCL, Mechi za kimataifa, FA na Carabao utaona hakika dogo anajua kujilinda na majeruhi.

YNWA
 
Salah jana kacheza dynamically aisee maana alikuwa anadefence na kushambulia walishindwa kuelewa wamkabe vipi [emoji1787][emoji1787], kila wakishika mpira manjesta liva nao hawakuwa nyuma ku recover na kupeleka mashambulizi.
Kama ujuavyo Liverpool wachezaji wengi hung'ara wakicheza kama unit hivyo jana likua ni mfano bora wa collective attack na collective defence bila kutegeana.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…