Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Huku kumtaja Milner jamani kweli leo Klopp atampanga tu maana anavyosakwa acheze ili mtuchape safii maana kwanza kachoka kingine huyu soon atakula umeme huyu.Hiyo ni kuongeza tu confidence kwa wachezaji maana kwenye ligi kumfunga Liverpool akiwa nyumbani huwa ni ngumu sana.
Hata mimi shabiki tu mechi ya leo naiona ni ngumu japokuwa United tupo kwenye muendelezo wa matokeo mazuri na Liverpool ikisuasua ila North-West Derby pale Anfield ni mechi ya tofauti kabisa.
Tukiondoka na points 3 nitaamini kweli Liverpool imeisha.
Babu Milner weee!!! 😂
Itapendeza akipigwa ili wakati ujao awe na heshima...Akawaulize wenzie waliowahi kuidharau Anfield Atmosphere
Klopp mwenyewe anakwambia unawezaje kumuanzisha captain wako benchi?Milner ana uzoefu wa kuwafunga Manchester United eti [emoji1787][emoji1787].. Khaa iwe Milner vs Rashford wewe unataka kumtoa maini Milner sio bure...
Henderson ni kiongozi mzuri na muhamasishaji mzuri sana uwanjani so they say wale wanaomtetea asa unajiuliza who needs that wakati tunataka stat proof za nini amefanya uwanjani yaaani bure kabisa.. Kapotea Fabinho nae Henderson kapoteana ina maana dogo anatembelea nyota za wengine huyu.. Klopp atampanga akidhani anaweza kutoa tena assist kama ile ya last season ambayo naona hua anaota kabisa maana hata yeye hakuamini kama ni assist mpaka anafunga Salah lile goli.
Endapo Klopp ataingia na MF Henderson Fabinho Keita basi mapema ETG ushindi ni wake kwa kua hawa viwango kama vipo sawa kwa sasa.
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2537792
Kwa hio baada ya kushinda Carabao huyu anajiona ni Fergie mzee wa hair dryer aisee haya maneno yake ajitazame sana ana safari ndefu sana.
YNWA
Na wa kuwagusa hayupoWala hawana mpango wa kujigusa mpaka waguswe
😂 😂 😂 😂 😂 😂 Klopp sijui ni dalali ama vipi yaaani like serious eti Kante i hope hizi ni jaja za kambi ya Kante kuwakamua vilivyo Chelsea watoe mshahara mnono tunahitaji kabisa kuodokana na hawa wagonjwa wanatufelisha sana kwa kua tuna bench dhaifu tunakosa like for like substitution kwa mfano pale MF nani sasa ana output ya Thiago...hakuna kabisa.Hahahaaaa we muache anyatie nyatie tu yakimkuta shauli yake [emoji23][emoji23] sisi niwashabiki tu ila mwenye kibarua niyeye. Arthur melo sijui kacheza game ngapi tu [emoji1787][emoji1787]
Hahaha wala huumwi Miss Liverpool kwa hali yetu kama unavyoijua kumbali kila hali na siku zinasonga ujue June 2023 itafika tu tuone Klopp na ma Yankees wanaingia aje sokoni kujenga kikosi cha ushindi...[emoji23][emoji23][emoji23]
Sema huyu baba ni mbaya.
Sijui atakuja na mbinu gani
Ila tutamkomesha.
Wakishinda leo nitaugua[emoji119].
Kiwango cha mpira cha Henderson ni kama mafua ya vumbi yaaani pale unasema yamekata unashangaa haya hapa tenaa kwamba anatoa assist muda huo huo ukisema aa huyu wa nini atoke njeee basi kismati kinatua kwake... Hatuweza kutegemea kismati kama kile aisee huku kuna askari kanzu pale Casmiro anakimbiza mpaka kivuli lol kazi ipo.Klopp mwenyewe anakwambia unawezaje kumuanzisha captain wako benchi?
Tusubirie tu maumivu hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema Kuna muda huwa linabahatisha[emoji23]
Hadi unashangaa kuwa huyu kafanya hivi ni Hendo kweli?
[emoji23]Kiwango cha mpira cha Henderson ni kama mafua ya vumbi yaaani pale unasema yamekata unashangaa haya hapa tenaa kwamba anatoa assist muda huo huo ukisema aa huyu wa nini atoke njeee basi kismati kinatua kwake... Hatuweza kutegemea kismati kama kile aisee huku kuna askari kanzu pale Casmiro anakimbiza mpaka kivuli lol kazi ipo.
YNWA
Nyie mpigeni tu ili sisi tukifungwa huko mbeleni isiwe rahisi sana yeye kutufikia. Hata hivyo sisi tunaelewa kuwa Kila mtu apambane na Hali yake ndiyo maana vijana wetu wanapambana haswa kushinda hata tukiwa goli 2 nyumaKila mtu apambane na mechi zake sio mtegemee tumpige man u ili nyie mpande, na bora tupigwe tu [emoji23][emoji23]
Ety mshinde ! Wew bibie upo serious kweli au unaota!Shughuli ipo.
Ila mpira wa united kwa sasa ni mkali sana
Na hayachoki yaani.
Timu yetu ikicheza kawaida kama tunavyofanya utani na akina Hendo,tutachapwa.
Tukijikaza sana labda tunaweza pata draw au tukashinda.
Tulia kwanza, hii inaitwa usiempenda kajaView attachment 2537792
Kwa hio baada ya kushinda Carabao huyu anajiona ni Fergie mzee wa hair dryer aisee haya maneno yake ajitazame sana ana safari ndefu sana.
YNWA
Mkuu mbona ten hag kaja na ajax hapo na alipoteza hayo ni maneno yakuwatia nguvu tu vijana wake ya kumpapasa jogoo.Akawaulize wenzie waliowahi kuidharau Anfield Atmosphere
Dah huo uwanja wenu sijui kuna nini.View attachment 2537702
Anfield ipi wanaozungumza hii hii ambayo hua wanapigika mara kibao ama nwa kwa hali yetu sasa wakikomaa sana wanaweza kutoka na chochote...
YNWA
Waaa LVG alitujulia sana akiwa na prime Mata ilikua shinda sana hakua ja stress mechi vs Liverpool...Dah huo uwanja wenu sijui kuna nini.
Hata kipindi cha SAF, tulikuwa tukija hapo.
Kushinda sana ni Goal 2.
Tofauti na hapo Sare na Kipigo.
Kocha ambae alijitahidi hapo ni LVG, mdutch.
Labda na ETH atafanya kama LVG.
🤣🤣🤣🤣View attachment 2538035
Kumbe ni Liverpool damu sawa game ni saa 1
Hii mechi imekuja mapema sana aisee yaaaaani tunaanza dalili kurudi angalau pazuri lol Manchester United huyu hapa duuh bad timing kabisa.Tulia kwanza, hii inaitwa usiempenda kaja