Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

a6712689-3577-43b7-b356-bc6a5e675c6b.jpg
 
Liverpool have now kept 4 @premierleague clean sheets in a row.

Liverpool 2 Everton 0
Newcastle 0 Liverpool 2
Crystal Palace 0 Liverpool 0
Liverpool 2 Wolves 0

Clear defensive tactic change in the last few weeks.

Virgil van Dijk & Stefan Bajčetić playing a big part #lfc
 
Kwa hio miss Liverpool unasema Anfield Le Captain gemu ya Manchester United atulie kwa benchi...

Kwa sasa mwenzio nipo tayari kwa matokeo yoyote kwa hali tulionayo sina cha presha wala nini...

Mara Pap Klopp akaibuka na kikosi cha a kazi kazi
Allison
Trent Konate VVD Robertson
Bajectic Fabinho
Salah Gapko Jota
Nunez

YNWA
Safi .....hayo maviungo ya kiingeleza yakae nje
 
RB, hajawahi kuwa better coach than Klopp, na haitakuja kutokea.

Coach ambaye ameshinda kila kombe alilo-compete for the last 5 years under sell to buy policy, hawezi kuwa Overrated.

Benitez alikuwa na hali mbaya ipi? alianza kugombana na kina Gillet, soon walivyo-introduce approach mpya ya kwenye transfer market (sell to buy)

Time ambayo Benitez alikuwa na ugumu zaidi ya Klopp, ni kushinda CL na depleted squad, but through out his tenure he had PRIME Gerrard, Torres, Alonso, Mascherano, Luis Garcia, Riise, Reina, Kuyt, Aurelio, Crouch, Benayoun, Baros, Cisse, Finnan,etc, these are WC talents, as soon as Gillet & Hicks walivyoanza kuuza our star players, ndiyo ukaanza ugomvi baina yao na Benitez (and i was on Benitez side),

How many talented stars, FSG wameuza kwenye tenure ya Klopp? mbona Klopp halalamiki?

Wakati mgumu aliopitia Benitez at LFC ni msimu wake wa mwisho baada ya kina Alonso kuuzwa, na. ndiyo hiki kipindi alianza kugombana na kina Gillet waziwazi, mpaka wakamfukuza, and majority ya LFC fans walikuwa upande wa kina Gillet, sisi tuliokuwa upande. wa Benitez, ndiyo now tunashangaa fans wanaotaka Klopp aondoke now bacause ya hii sleep-up, kitu gani kilitokea baada ya Benitez kuondoka? ilituchukua miaka mingapi mpaka kupata the right man? kwanini mnasahau kirahisi sana?

And, yes Benitez failed to win the league with PRIME Gerrard, SG prime years ilikuwa under Benitez, na alimpa Benitez FA Cup, CL and UEFA Super Cup kwa kipindi cha miaka mitano, Klopp hakupata pleasure ya kuwa na SG, his captain is Jordan fucking Henderson, Yeah Klopp won the 1 PL, ni absurd and laughable, but what about Benitez? failing to win the league with Reina, Hypia, Agger, Carragher, Mascherano, Alonso, SG, kuyt, Torres, Benayoun, Luis Garcia, Riise, Riera etc, should be LAUGHABLE too, but ukiwa real fan huwezi kucheka kwa vitu kama hivi, because its FOOTBALL, RAFAEL BENITEZ, is my LEGEND, but nae alikuwa na flaws zake, kama ilivyo kwa klopp, ni kawaida, these are human-beings.

Again, mimi ni mkosoaji mkubwa sana wa Klopp, SANA, sidhani kama kuna mtu humu anazidi posts zangu nilizokuwa namkosoa na ninazoendelea kumkosoa Klopp, but i will NEVER want him OUT, and na zaidi siwezi kumuita manager aliyenipa PL title baada ya miaka 30 ya kusubiri, Overrated. its disrespectul.
Klopp ni best Sana aisee ni vile klopp Kaja wakati mbaya wa man city but believe me klopp angeshindana na kile kibabu Fergie angekipasua Kila msimu aisee
 
Mwamba huyuapa nahisi anataka kwenda madrid au BarcelonaView attachment 2534726
Barcelona walishafilisika.. Labda hao Real Madrid, Manchester City ndio wanauweza wa kumnasa Khvicha ama akae pale pale alipo mpaka Barcelona waweke vitabu sawa kumnasa na ishu kuu ni raisi wa Napoli ni mgumu sana ku dili nae alishasema bei yake ni £100m na hana haraka ya kumuuza hivyo lazima apewe donge nono akumbali kuuza.

YNWA
 
New Castle pamoja na mpira wao mwingi mzuri wanaoucheza msimu huu,wamepigwa na man u , tena goli 2 kwa sifuri
Wote tulishuhudia namna vijana wanapambana kurudisha.

Sasa eti mmekaa mnasubiri tushinde dhidi ya utd kwa hii timu yetu iliyojaa vikongwe waliojichokea
Akina Milner.
Nyie jadilini mbinu zote, assumptions zoteila tulipofikia ,kushinda ni sawasawa na ngamia kupenya katika tundu la sindano.

Mimi nipo palee

Eti tunaweza maliza top 4
Top four unamtoa nani pale juu kwa hili pira goigoi la kina hendo?
Tunarudi kulekule matopeni maporomokoni namba kumi huko
Let me tell you one thing about us Liverpool fans

We are made to believe that's us

If you are not believing then you are not part of us

Our hearts are simply made of steel

There were hard times than this, hard times that made some of us cry

But we hold our heads up continuing with the journey of believing

You have to believe that at the end of the Rod there is a golden sky
YNWA
 
Let me tell you one thing about us Liverpool fans

We are made to believe that's us

If you are not believing then you are not part of us

Our hearts are simply made of steel

There were hard times than this, hard times that made some of us cry

But we hold our heads up continuing with the journey of believing

You have to believe that at the end of the Rod there is a golden sky
YNWA
Best quote of the year 2023.

Never give up.

YNWA
 
We keep believing

I am the only one who believes tunapindua matokeo bernabeu 😂😂 Salah anafunga hattrick tunatoa yale mazungu

I keep believing I keep believing we are Liverpool " the believers
😂😂😂😂😂😂Dokta hii ndoto yako bab kubwa sana aisee.

May the winning angels be with us.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom