Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
🤣🤣🤣🤣Hua nikimuona Milner nawaza hii ni mechi 'kweli' ama ni mechi ya kirafiki maana babu kashachoka ilikua wepesi sana angeachiwa June 2022 maana msimu ukiniuliza contribution yake Liverpool uwanjani sioni.. Zaidi ya kula wachezaji pinzani viatu huku marefa wanaona hata huruma kumpa kadi wakati mwingine...Sisi tumeng'ang'ania kumjaza sifa Klopp anayewapanga akina Milner na Hendo
Na tunapigwa Kila siku,hakuna mabadiliko
Ila tumeng'ang'ania kusema in Klopp we believe
Kweli uchawi upo[emoji119]
Ila nashangaa humu wanasema Klopp kocha mzuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hua nikimuona Milner nawaza hii ni mechi 'kweli' ama ni mechi ya kirafiki maana babu kashachoka ilikua wepesi sana angeachiwa June 2022 maana msimu ukiniuliza contribution yake Liverpool uwanjani sioni.. Zaidi ya kula wachezaji pinzani viatu huku marefa wanaona hata huruma kumpa kadi wakati mwingine...
Msimu uliopita Milner alisabisha sare na Chelsea kwa kumla kiatu Pulisc wakapiga mpira wa adhabu kuokolewa ukatua kwa Kovic dogo akanyoosha moja ya goli murwa sana last season mpaka pale Milner alikuwa wa kutemwa kwa sababu yeye na Henderson nadhani kwa makosa yao kushababisha magoli itakua zaidi ya goli 10 hapa Liverpool..
Klopp tulipo ameyataka mwenyewe kung'ang'ania wachezaji wachovu..
Kama akitemwa hakika hana wa kumlaumu.
YNWA
Imani kwamba Klopp anaweza kutuletea mafanikio zaidi ni kwasababu Klopp amefanya kazi chini ya wabahiri FSG akishidana na Pep mwenye sapoti ya oil billions na hakika Klopp amejitahidi sana sana kuleta ushindani mpaka Kipara kusema hajawai kua na upinzani mkali katika maisha yake ya Ualimu kama ilivyo kua Manchester City vs Liverpool...Ila nashangaa humu wanasema Klopp kocha mzuri
Uzuri wake Nini wakati tunapigwa kila siku na amekaza fuvu?
Alipotufikisha inatosha aisee , tunamshukuru.
Aje apokee mwingine.
Aondoke tu[emoji599] NEW: Mohamed Salah is described as being one of the 'main candidates' that would consider leaving Liverpool in the summer should they fail to secure Champions League football. #lfc [fichajes via liverpool echo]
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Yeye mwenyewe yuko happy na kutowezeshwaImani kwamba Klopp anaweza kutuletea mafanikio zaidi ni kwasababu Klopp amefanya kazi chini ya wabahiri FSG akishidana na Pep mwenye sapoti ya oil billions na hakika Klopp amejitahidi sana sana kuleta ushindani mpaka Kipara kusema hajawai kua na upinzani mkali katika maisha yake ya Ualimu kama ilivyo kua Manchester City vs Liverpool...
Sasa mashabiki tunatazama kwamba je Klopp nae akiwa sapoti ya pesa kama Kipara basi upo uwezekano akafanya makubwa sana Liverpool.
By the way ni probabilities zote hizi hatuna uhakika lakini binafsi nasema Klopp abakie ana awezeshwe sokoni kwa FSG kuuza hisa kadhaa kwa mwekezaji atakaeweza kuleta pesa za usajili..
YNWA
Ina maana tuna makengeza...Yeye mwenyewe yuko happy na kutowezeshwa
na anajiona Baba miujiza, na amewakumbatia magarasa
Aiseee huo ubora sijui mnauonaje kwake[emoji1787]
Klopp is Liverpool manager in the wrong time under FSG... Hawa ma Yankees ilitakiwa wamuajili Conte na kweli angewavuruga maana mzee hua mtu wa speaking his mind hanaga cha kupoteza wala maneno matamu matamu tofauti kabisa na Klopp ambae muda wote yeye husimama na FSG hata pale inaonyesha aki speak his mind itamsaidia sana Klopp wala hutamskia..
Ingekua bora kuuza mazima lakini ikishidikana basi hata hio partial payments itakua bora tu kwa hali tulionayo tunahitaji usajili June 2023
*Rignt Centre Back mmoja
*Central Midfielder mmoja
*Holding Midfielder mmoja
*Right Midfielder mmoja maana upande huu hua anacheza Henderson na hatoi ulinzi wa kutosha kwa Trent matokeo yake dogo anakua toasted.
*Right Winger ambao ni dynamic kucheza across the front all fonts.
Muda utasema mpaka June 2023 wawe wameuza otherwise kwa mara nyingine tena tutegemee msimu ujao utakua mbaya zaidi ya msimu huu wa sasa kwa sababu pia Newcastle, Manchester United, Manchester City, Arsenal, Chelsea, Tottenham watanunua kujiimarisha zaidi.
YNWA
Hizo teams zote zikishafikisha 40 points, zita-relax/slow down, maana zitakuwq safe kabisa from relegation zone, midtable clubs zote huwa zinaanza season kwa target ya kufikisha 40 points.
Klopp was stupid Jumanne alifanya mambo ya kitoto Sana I don't know what's wrong with him right now
Man wakati mwingine hizi media zina gossip za ajabu sana imagine eti Liverpool are waiting on the wings kumnasa Kante like serious Kante huyu ambae msimu huu hana hata gemu nne huyu si atakua Thiago, Matip kind of situation nwa lets just hope na camp ya Kante wanaleta hizi taarifa ili Chelsea walegee design kama Henderson na stori yake ya kwenda PSG bla bla....Tunahitaji £300m, minmum.
Hizi links za Mason Mount, ndiyo zinanipa shaka sana, tunaweza kuwa na bad window, kama Mount akija.
Maana, Mount akija, it means Fabinho & Henderson watakuwa forced kubaki, pamoja na Bajcetic & Thiago, i mean siyo mbaya kama Fabinho akibaki, but sina uhakika kama anaweza kurudi kwenye form yake, ni bora tu-captalize sahiv kwa kina Caicedo, Kone, Ugarte etc, kuliko kuendelea na Fabinho next season, maana kama tuki-sign Jude, Nunes & Mount, tutakuwa hatuja-solve chochote kwenye eneo la DM, ambalo ndiyo BASE ya kiungo, Bajcetic is 18, we cant plan our next season with him at DM, NOT YET, na hatuwezi ku-plan our next season na the current Fabinho at DM, ingeeleweka kama angekuwa kwenye 26-27, but he will be 30 nex season, na yupo katika mbaya sana physically, kila nikimuangalia, sioni hata chembe chembe za Fabinho tunayemjua, na kinachomuangamiza zaidi, ni kupoteza pia confidence, i know he will be decent again akiwa surrounded na World Class players kwenye MF, but knowing FSG itakuwa ngumu sana kuleta new 6 kama Fabinho akibaki, and we cant risk kuacha kina Kone waende clubs zingine.
But, Jude-Mount & Nunes, wont solve anything, Thiago & Fabinho will still start a lot of games
Plan was to sign Jude for the RCM spot, ambapo Elliot & Henderson watakuwa rotational players kwenye hilo eneo, then sign Nunes at LCM, huyu ni long-term Thiago replacement, so kama akija next season atakuwa ana rotate na Thiago at LCM, then sign a mobile 6 (Caicedo & we have been in talks with Kone camp for quite sometime now, ndiyo maana nashangaa hizi new plans za Mount), Mount ni RCM, it means anacheza kwenye eneo la Jude, unless kama Klopp atataka kubadilisha game ya Mount, but sioni Mount akija LFC kuwa bench player, its either tu-abandon deal ya Nunes ili Mount awe moulded at LCM, maana Mount, Jude & Nunes, hai-make sense, especially ukizingatia wachezaji wanaobaki next season.
Assume, tume-wasign (ASSUME), Jude, Mount, Nunes, our MF options next summer zitakuwa ni;
Thiago
Fabinho
Bajcetic
Jude
Mount
Nunes
Curtis Jones
Harvey Elliott
Jordan Henderson
Hii MF, bado ina-lack a compact/Ball. winner/press-resistant/destroyer/Mobile & FIRST PASSER from our DM zone, meaning we need a DM, Fabinho can still do a job at DM especially kwenye suala la Ku-win balls & as a first & last destroyer, but his lack of physical presence will cost him katika ku-engage/being compact kwenye our first & second lines of press & different phases, read/counter transitions za opponents, getting out from FIRST PRUSSURE situations, second half against Madrid we lost everything kwenye MF, baada ya Carlo kuamua ku-double up players on Fabinho, put Valverde on his tail, minimizing his turns, ball receiving channels, and put first pressure on every ball anazopokea Fabinho, and it was easy because Fabinho is not mobile, ingekuwa easy kidogo kama Thiago angekuwepo ambaye huwa ana-engage sana in the middle because ya his positional awarness, but AGAIN, Fabinho had Henderson at RCM, so i think Fabinho will do good akiwa na young & hungry MFs around him, but we cant take risks, na kikubwa zaidi tu-captalize kwenye hii market now, kuna a lot of number 6s wapo sokoni, at a very good price, and good age.
Klopp need new fresh mind assistant huyu Lijnder itakuwa anaumezea mate ukocha mkuu baada ya Klopp.
Kuna mahali niliandika Klopp needs new assistant. Kile kitabu alichoandika kuhusu pressing sikutokea kumuamini tena jamaa.
Even 4-2-3-1 inaweza kuleta positive results kuliko hiyo 4-3-3. I wish someone to open Klopp’s mind to ditch 4-3-3 until he gets fresh powerhouse legs.
Kante, even for free itakuwa ni very BAD deal.Man wakati mwingine hizi media zina gossip za ajabu sana imagine eti Liverpool are waiting on the wings kumnasa Kante like serious Kante huyu ambae msimu huu hana hata gemu nne huyu si atakua Thiago, Matip kind of situation nwa lets just hope na camp ya Kante wanaleta hizi taarifa ili Chelsea walegee design kama Henderson na stori yake ya kwenda PSG bla bla....
Mount is overrated hana cha kutuongezea kwa sasa kwa kua tunahitaji dynamic signing ambazo watafanya makubwa pale kati kujenga spine ya team na Mount sio huyo mchezaji..
Klopp naona kila akiulizwa mipango ya June 2023 yupo really positive kwamba changes are coming from outside angalau aidha kama ndio anatupoza akijua fika ni danganya toto ya FSG basi hii itamgharimu parefu sana huyu babu... Hatutaki maneno mbali tunataka vitendo...
Media kadhaa wanakoma usajili wetu June 2023 ni Jude, Barella, Nunes hao kwa kweli kwa kua ndio chaguo la mwalimu as per different gossip.
YNWA
Salah wages were deserved.Tumefanana fikra hii team namba moja wa wakuhojiwa ni Kloop nilimpuuza tangu alivowekewa ndita na mchezaji akanywea na hakumtoa tena.
La pili hili naamini nipo pekee kifikra ya kwamba morali ya team imeshuka baada ya kuonekana mtu mmoja ndo kaleta hayo mafanikio na kupewa anachotaka hafu wengine kupuuzwa wakajiondokea kuna wachezaji pale wanamsaidia Mane kuhuzunuka kwa siri sisi tunaona viwango vimeshuka kumbe tija ya mwili ndo imeshuka.
Najua ni kawaida kutofautiana mishahara ila kuna mzingila nirafiki na mengine yanaumiza wengine.
Kloop si mwalimu wa mpira ni msimamizi tu
[emoji28][emoji28]
Kinampa kiburi walipita top players wakashindwa kuchukua PL ila yeye kabeba.
Mchezaji mwenye babati ya kuvaa LiverBird kifuani mpaka sasa na Captain Armband.
View attachment 2532116
OllaChuga Oc vipi tena Darajani hali naona haisomeki kila kukicha bora ya jana.
YNWA