Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,587
- 235,442
Mimi najipaje presha kwa ujinga wa watu wachache wasiotaka kutumia hela kusajili.Captain Marvelous kwema? Ile hoteli aliyowaambia klopp msha book tayari?
Yule kivuruge Saint Anne yupo kweli? Embu njoo ugonge hata like nijue bado uko hai sis.
choza choza nimeona unataka ulikimbie hili timu lako, hehehehee njoo pale city tu maana klopp & FSG are there to stay.
Mechi ijayo ikiwezekana amchezeshe huyo babu yake dakika zote 90 ili watuchape vizurihii timu bana, safi sana,
klop kuna wakati anakua kama kachanganyikiwa, upo chini tena home unamwingiza milner?
anyway ndio uzuri wa kuwa bahili
Kiukweli jana nilitamani tupigwe wiki ili fans waliopo huko waliamshe dude πMechi ijayo ikiwezekana amchezeshe huyo babu yake dakika zote 90 ili watuchape vizuri
Kwa jinsi tulivyo anza vizuri nihalali bando liende [emoji1787][emoji1787]Najutia bando langu jana
wachezaji waliopigwa saba walikuwa England na waliokuwa Bora walikuwa kwenye club world cup wakitafuta kombe kubwa na kuacha mbarara zitafute FA , Nikukumbushe Liverpool ilikuwa Bora sio ilijiita, jiulize kwa Liverpool hiyo team yako ata sare iliweza kupata ?Kuna vitu havitakiwi kutushangaza. Liva ikiwa inajihesabia ni bora kabisa ikapigwa 7 na Villa, so hizi 5 na mnavyotapatapa mi sioni kama tunatakiwa kushangaa
Klopp is a confused fella... Anatia huruma hivi hata hakufanya homework yake vyema ajue kwa hawa Madrid aka nyeupe nyeupe hua hawana papara na hili kombe hata uwafunge ngap they won't panick kirahisi rahisi...Itabidi atu refund hela zetu sisi tulio book hotel [emoji1]View attachment 2525922
Ila duh zama zile tulifaidi mno na kweli tulikua bora saba pale ilitakiwa kikosi kiimarishwa kwa smart buying lakini ma Yankees walipiga ela na kutulia kimya majuu huku Klopp akiachwa alete maajabu na sasa ameishiwa mbinu na wachezaji wameishiwa mbinu kimsingi we are done.wachezaji waliopigwa saba walikuwa England na waliokuwa Bora walikuwa kwenye club world cup wakitafuta kombe kubwa na kuacha mbarara zitafute FA , Nikukumbushe Liverpool ilikuwa Bora sio ilijiita, jiulize kwa Liverpool hiyo team yako ata sare iliweza kupata ?
Klopp hamna kocha mule, hana mbinu zozote zaidi ya ku motivate wachezaji tuuCaptain Marvelous kwema? Ile hoteli aliyowaambia klopp msha book tayari?
Yule kivuruge Saint Anne yupo kweli? Embu njoo ugonge hata like nijue bado uko hai sis.
choza choza nimeona unataka ulikimbie hili timu lako, hehehehee njoo pale city tu maana klopp & FSG are there to stay.
Umeandika vitu vingi kwa mara moja hadi sijakuelewa.wachezaji waliopigwa saba walikuwa England na waliokuwa Bora walikuwa kwenye club world cup wakitafuta kombe kubwa na kuacha mbarara zitafute FA , Nikukumbushe Liverpool ilikuwa Bora sio ilijiita, jiulize kwa Liverpool hiyo team yako ata sare iliweza kupata ?
Ama ni kweli Klopp hua na nuksi na msimu wa 7 kwa sababu kama jana aliingiza full kikosi na pia benchi lilikua limetulia hawezi kusema wala kusingizia chochote zaidi tumezidiwa kila mbinu...hii timu bana, safi sana,
klop kuna wakati anakua kama kachanganyikiwa, upo chini tena home unamwingiza milner?
anyway ndio uzuri wa kuwa bahili
Liverpool hua wanajitapa kwamba European night pale Anfield hua ni moto fire hivyo kupigwa zile goli na muda wote kipindi cha pili kuonyesha tutaongezwa la 6 ilikua ni aibu kubwa sana...Kuna vitu havitakiwi kutushangaza. Liva ikiwa inajihesabia ni bora kabisa ikapigwa 7 na Villa, so hizi 5 na mnavyotapatapa mi sioni kama tunatakiwa kushangaa
Inabidi hata tuwe wa mwisho ili watuachie Liverpool yetuSoon mtasikia klabu Liverpool ipo tena sokoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
FSG mbona wanatunyoosha bila Super League yao hawa hawana mema...
YNWA