Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Akili nyingi mkuu , umefanya utafiti wa kutosha nilikuwa nashangaa kwa timu kama liverpool Elliott anapataje nafasi ya kwanza wakati EPL imesheheni MFs wenye kasi na nguvu , Hapo ndio walipokuwa wanatupiga bao , na pia nilikuwa natamani tupate beki mmoja wa kati ambaye atachukua nafasi ya GOMEZ bila kusahau back up ya TAA.

Kusajili wachezaji wa gharama kubwa sio ishu kuna wachezaji wazuri kwa kloop ambao wana range kwenye 35-50 sijui ni paundi au nini lakini ni ivyo .
 
250 million pounds that is such a gigantic amount too high to be feasible
IF, tukifanikiwa kumpata Jude, itakuwa si chini ya £100-120m, na kama tukiamua ku-follow up our gentleman agreement kwa Mathieus Nunes, Wolves will demand £44-50m, na pia tukisema tuachane na number 6/8 (Caicedo, Fofana, Kone, Ugarte etc), tutake our chance kwa Mount, Chelsea will want more than £40m, considering mpaka summer, atakuwa kabakiza 12 months kwenye mkataba wake, so kwa hao MFs watatu, inakuwa si chini ya £200m, hapo toa suala la. kutafuta number 6/8, tumpe nafasi Bajcetic, siyo mbaya, but kwenye summer ambayo TALENTED MFs kama Caicedo & Kone wanakuwa wapo sokoni, itakuwa ni uzembe kutompata hata mmoja wao.

Then, ni LAZIMA tutafute a young CB, Matip needs a replacement, hata kama akibaki, we cant afford kuanza msimu mpya a 2 injury prone CBs.

Then tunahitaji, RW, Salah will be 32 next year, we need kuanza kum-rotate, pamoja na number kuwa ya attackers tulionao, hatuna reliable right wing zaidi ya Salah.

na nimeweka hiyo 250m, assuming tutauza baadhi ya players, na kwa kikosi cha sasa, ni wachezaji wachache wanaoweza kuleta pesa nzuri, ambao ni Kelleher na Fabinho, but would you sell Fabinho kama tukiamua kubaki na Bajcetic tu? the answer is NO, you need to sell Fabinho kama kuna good replacement ipo lined up.

Ox, Keita, Milner, even Firmino, kama wakiondoka, wataondoka for free.

You think how much tunaweza pata kwa an injury prone Matip? at 31 years of age?

Nat Phillips, mpaka leo tumeshindwa kumuuza, so as a club tupo kwenye tight spot, unless tumuweke Salah on the market, which is impossible.

and, kwa club kama LFC, £250m ni peanuts, ukizingatia hatujawa na big window kwa zaidi ya miaka 6 sasa, na kama tungekuwa na good squad planning, tusinekuwa tunalazimika kuwa na budget kama hizi kwenye signings, hii ni juu ya FSG, na they MUST deliver.
 

We have never seen our own FSG open to such kind of expenses per window and I am not seeing in a future if I'm not wrong and I personally somewhat be by their side against such expenses 250 million pounds such a huge amount per single window

There are consequences for using half of our annual turnover just for one window my MosDef i could have mentioned them here but i think everyone sensible knows those

I might have some ill perceived thoughts but I'm one of those opposing buying a player for 70 million pounds these are ridiculous reaps for our inflated Football transfer Market of today UNLESS we are another Real Madrid
 
Elliott ni very good player, but siyo mchezaji wa aina ya mpira wa Klopp, ndiyo maana bado tunahangaika kum-adjust kwenye team, kama RCM or RW.

But, i think he will around for a long time at LFC.

We need a CB to replace Matip, Keep Gomez as a 4th choice, VVD, Konate, new CB and Gomez.

Then, plan za kum-phase out VVD zianze for the next two summers.

Back up ya TAA, ni Ramsay, but unfortunate, career yake at LFC imeanza na mkosi wa. injuries, though our medical team ni ya kulaumiwa, amefanyiwa operation now, atakuwa out for the season.
 
Unawaza kama mimi tatizo lugha tu ndio tofauti MKUU , Atuwezi kutupa pesa kama chelsea kwa dirisha moja.
 
The thing is, FSG wanajishaua ku-consider offers zilizoko mezani, sasa kama wanaona offers za kununua LFC, haziwatoshi au hawataki kuzizingatia, it means bado wanajiona wana uwezo wa ku-run LFC, na team ilivyo-sasa inahitaji PESA nyingi sana ili ku-compete tena, maana tusipowekeza itatuchukua years and years tena kuanza ku-compete, so they NEED to INVEST.

Market imeharibika sana kwasasa, football market ilianza kuwa ngumu baada ya zile 2 transfers za Neymar to PSG and Pogba to United, muelekeo wote wa matumizi ya usajili ulianza kubadilika kuanzia hapo.

Na kama kulikuwa na initiative zozote zile za kuzuia kinachoendelea sasa kwenye MARKET, Bohely & Chelsea wametia mchanga, Enzo na Mudryk kwa nearly €200m, hakuwezi kusaidia kushusha au kupunguza/kuweka usawa kwenye dhana nzima ya usajili wa wachezaji, the so called SELLING clubs zimeona kilichofanyika this january, so you cant expect kupata. mchezaji ambaye anahitajiwa pia na Chelsea/Man City/United/PSG etc, for CHEAP, ni lazima pockets zako ziwe kubwa, we walked away kwenye deal ya Caicedo baada ya Chelsea kuingia, sasa tutakuwa tunakimbia kila deal?

Idea ya Smart signings ni nzuri sana, getting players for cheap kabla hawaja-blow up, kama wanavyofanya Brighton or other teams in Europe, kumekuwa na lawama kuwa LFC scouts hawafanyi kazi yao ipasavyo, hence tunakuwa tuna-miss players kama Caicedo/Enzo etc, but ukweli ni kuwa players wote hawa washakuwa suggested/presented kwa club kabla hawaja-move kwenye clubs zingine, but Club inakuwa inaogopa ku-take risks, na siyo LFC tu, ni clubs kubwa zote ulaya.

RISKS ZIPI?

kwanza, phase ya kufanya smart signings, ni wakati una-build team, hence wakati Klopp anatengeneza his team, haikuwa shida sana kutafuta hizi smart signings, au waweza sema. risk signings, Karius, Robertson, Matip, Gini, Mane, Salah, etc, hizi zote zilikuwa ni risk signings, na ilikuwa ni rahisi kufanya hivi, kwasababu team ilikuwa inatengenezwa, we were not competing at higher level, team ilikuwa inakuwa taratibu, na tulivyoanza anza kuingia kwenye phase ya pili ya kuanza ku-compete, baada ya kutengeneza MSINGI, ndiyo tukaongeza kina VVD, FABINHO, ALISSON etc, ambao walikuwa ni GAME CHANGERS.

Sasa kwa sasa LFC, tupo kwenye phase ya 3, phase ya mwisho, ambayo ni FINISHED ARTICLE, kwamba tupo kwenye top chain, NOW, hatutengenezi team, bali tunatakiwa kui-KARABATI team, we are NOT building a team, we are REBUILDING a team, hence tunahitaji THREE-FOUR PROVEN talents.

Jude, Caicedo, Kone, Fofana, Ugarte, Nunes, Fiorentino Luis etc, ni young talents but tayari ni proven, wanacheza mpira at highest level, so huwezi kuwapata for cheap, you need to pay huge money to get them.

Risk ya kwenda South America au France kutafuta cheap talents inafanyika ukiwa unatengeneza team au team ikiwa finished article ambao unakuwa una-uwezo wa kuzikuza hizi talents taratibu.

Brighton, wananunua kina Mitoma, Caicedo kwa cheap prices, kwasababu hawana pressure ya kushinda trophies, so ni rahisi kuwaacha kina Caicedo wai-evolve bila pressure, at LFC now unamuona Carvalho? huwezi kumuona now because Klopp ana pressure ya Ku-deliver, he NEEDS to win games now, so kumpa nafasi Carvalho akue now, itakuwa ngumu sana, same na Elliott, ambaye mpaka leo tunahangaika kumtafutia a perfect role.

Klopp alikuwa anaamini kuwa huu mwaka utakuwa ni wa kuwa-adjust kina Carvalho, Elliott, Bajcetic etc, because hakutegemea hii SLEEP-UP.

Na strange-case nyingine kuwa, Bajcetic ilikuwa acheze role ya kwenye Cups tu, but sleep-up imepelekea apate nafasi kubwa kwenye first team, na anafanikiwa kwasababu ana experienced players around him, sasa imagine ndiyo unafanya re-build, unamnunua Bajcetic for £2m, anakuja LFC, ambayo haina Thiago, Fabinho, Henderson etc, how anaweza ku-cop?

Hence, we dont need risk signings now, na hili suala la smart signings tulilizungumzia kipindi kile wakati LFC tupo ON TOP, but tukaonekana ni wapiga kelele, kipindi kile kama tunge-sign hawa kina Caicedo, wangepata nafasi nzuri tu ya ku-adjust bila pressure kwasababu team ilikuwa inafanya vizuri, Takumi ilikuwa ni smart signings, na kwa £7m alifanya vizuri, he's the reason we won 2 trophies last season, but kwasasa hatuwezi, we need HIGH PROFILED PLAYERS, kurudi ON TOP, hence we need to SPEND BIG.
 
Ni good squad addition, kama tutaongeza other 3 reliable MFs.

But, at Chelsea mpaka sasa ana-demand £300k p/w, remains to be seen, sisi tuta-offer kiasi gani, maana numbers anazotaka Chelsea, ndiyo anazopata Salah at LFC, na we had to break our wage stracture kumpa. Salah huo mshahara.
 
Bora kununua kimafungu mafungu ili hata tukiingiliwa hatuangui kilio kuliko unatumia pesa nyingi kwa magarasa tena hatari unatumia pesa nyingi hivyo ndani ya dirisha moja
Bad planning.

LFC ni moja kati ya club 5 tajiri duniani.

As fans tusiwe na mindsets kama za fans wa Westham au Aston Villa, we are supporting a very big club, mindsets kama hizi ndiyo zimefanya FSG wa-sign 1 MF kwa kipindi cha miaka MINNE.

LFC started to win big trophies under Klopp, baada ya ujio wa VVD (75m), Alisson (66m), Fabinho (50m) etc, hakuna shortcuts kwenye mpira, world class talents haziwezi kuwa cheap hata siku moja, kama Klopp angeendelea kubaki na Karius/Mignolet, au Lovren/other cheap CBs, Henderson at 6, tusingekuwa na kombe lolote lile mpaka leo.

Ni signings za kina VVD ndiyo zilitupeleka next level, we need to SPEND.

City, Utd, Arsenal, Chelsea, Newcastle ni our rivals now, these are 4 strong teams, signings za mafungu haziwezi kutupa uwezo wa ku-compete na hizi teams, this summer hizi teams zote zitakuwa kwenye market kutafuta WC stars, we need to do the same, if anything msimu huu umeonesha kuwa, Klopp cant do miracles kila siku, he needs to be BACKED.
 
BREAKING: Liverpool owner John Henry says that he is NOT selling Liverpool Football Club. #lfc [liverpool echo]
Theres no fan pressure ya wao. kuuza, fans, especially local fans bado wanawa-support.

But, on the other hand, £4bn ni big ask, but akitokea mtu wa kulipa, they will take it, but at the moment offers zilizopo on the table hazijatosha kwa mahesabu yao.

na suala analosema JWH, la kutafuta investor kwaajili ya Summer rebuild, ni LAZIME liwe MUST, again kama wameamua kubaki, they need to everything they can kuhakikisha kuwa Klopp anakuwa backed in the summer.

Na suala la JWH kutegemea/kutafuta investors kwaajili ya ku-rebuild kikosi in the summer, inaonesha ni jinsi gani walivyo useless owners, na huo Mkopo ambao investors watatoa wote utalipwa na Club, kama linavyofanyika suala la stadium expansion now.

na ikitokea, investor kakosekana, (kama waarabu walivyojitoa), then we are doomed, forever.
 


Aisee huyu dogo Bajectic kwa kweli ameeleweka mpaka kwa wenye timu baada ya kuona dogo anawaokolea mapene ya kutosha kuingia sokoni hatimae FSG wasema hawauzi mazima klabu mbali wanauza hisa kadhaa.

Je nini kimepelekea jamaa kubadili msimamo au je hii ni danganya toto ama huu ushindi wa Newcastle na Everton umewapa ahueni kwamba tunaingia Big 4 ili kushiriki UCL na hatimae kuambulia pesa za Uefa msimu ujao...

Mambo ni mengi muda ni mchache.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…