Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
π€π€π€π€π€π€π€ Yaaani nyie hapo ndio mtoe mvua ya magoli aaa wapi sahau ndugu yangu.Sisi hapo tunatoka siku siyo nyingi. Ngoja mweiz wa tatu ufike tutafungulia mvuwa za magoli kila timu itakayokutana na Chelsea itajuta.
πππNa aliongoze mkataba nadhani yupo mpaka 2026 au 2025 lol sijui hawa wachezaji wakiongeza mkataba kwanini hua wa hovyo sanaaa.Gomez tumepigwa wallah
Ila hao watoto wameanza kuupiga mwingi
Ujio wa Gapko ni kama umeamsha ari kwa Nunez.
Wapigwe tu hakuna namna.Hawa hawawezi kamatia hapa hadi mwisho
Wataenda maporomokoni zaidi[emoji23][emoji23][emoji23]
ππππKlopp alivyoambiwa ile January 2018 kwamba hana kipa wa kuchukua ubingwa wowaote alimtetea sana Karius kiasi dogo akajiona ni modern day Dida... Sasa ile fainali ndio Klopp akaelewa kwamba alifanya kosa kutomsikiliza home boy wenu Gary Nevile.Huyu jamaa alijua kuwaumiza kwenye ile fainaliπππHope atakua kwenye kiwango kile kile
He[emoji23][emoji23][emoji23]Na aliongoze mkataba nadhani yupo mpaka 2026 au 2025 lol sijui hawa wachezaji wakiongeza mkataba kwanini hua wa hovyo sanaaa.
Gakpo na Nunez ndio future yetu pale mbele haya ya sasa ndio itakua mode of business .
YNWA
Huyu jamaa akimaliza msimu huu na akaendelea,basi mganga wake atakuwa na nguvuWapigwe tu hakuna namna.
Tetesi Mourinho aliwakataa Ureno kwa sababu alijua fika huyu bwana Potter hatapaweza pale Chelsea hivyo Mourinho ametega chap kurudi darajani kuokoa msimu wao.
YNWA
πππππGomez, Keita na Matip wako kua Liverpool mpaka leo wakiwa na rekodi za kutisha hua ni kitendawili.He
Nani huyo alimuongeza mkataba?
Hii timu Kuna muda inatia hasira hadi unatamani uwangonge makofi watu.
Huyu mpira anajua ila shida ubishoo mwingi.
Waondoke asee..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Gomez, Keita na Matip wako kua Liverpool mpaka leo wakiwa na rekodi za kutisha hua ni kitendawili.
YNWA
Akina Chugga wanapiga ramli rasmi jamaa atemwe maana ameshindwa kabisa wachezaji wake waamshe na changamoto kubwa ni kuunganisha mfumo bila kutegemea uwezo wa mchezaji mmoja mmoja endapo hilo atafanikisha basi wataambulia kucheza Conference League..Huyu jamaa akimaliza msimu huu na akaendelea,basi mganga wake atakuwa na nguvu
Kumchukua jamaa ilikuwa ni maamuzi mabovu kuwahi tokea[emoji1787][emoji23]Akina Chugga wanapiga ramli rasmi jamaa atemwe maana ameshindwa kabisa wachezaji wake waamshe na changamoto kubwa ni kuunganisha mfumo bila kutegemea uwezo wa mchezaji mmoja mmoja endapo hilo atafanikisha basi wataambulia kucheza Conference League..
YNWA
ππππππUtadhani Klopp anakatiwa commission kiasi pale.Waondoke asee..
Yanatunyonya tu[emoji23]
Some wishes are better let off aisee. Imagine hii timu yao angekuwepo Thomas pale mbona kingeelweka tu.Kumchukua jamaa ilikuwa ni maamuzi mabovu kuwahi tokea[emoji1787][emoji23]
Yaani wanaruka majivu wanakanyaga moto[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akiwabakisha hao itabidi tumtume Bro wetu MosDef amtengue miguu na mateke hakuna namna.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utadhani Klopp anakatiwa commission kiasi pale.
Kazi ipo.
Klopp amesema juzi mabadiliko makubwa sana yaja Liverpool japo hajui atapewa kiasi gani cha ela lakini anasema mabadiliko hayakwepeki na pazuri kasema wenye timu wanajua anataka nini... Ila Klopp bangi ukute pia Milner yupo kwenye listi ya mapendekezo yake.
YNWA
Tuchel angekuwa amewapeleka mbali sana tuSome wishes are better let off aisee. Imagine hii timu yao angekuwepo Thomas pale mbona kingeelweka tu.
YNWA
ππππππUtadhani Klopp anakatiwa commission kiasi pale.
Kazi ipo.
Klopp amesema juzi mabadiliko makubwa sana yaja Liverpool japo hajui atapewa kiasi gani cha ela lakini anasema mabadiliko hayakwepeki na pazuri kasema wenye timu wanajua anataka nini... Ila Klopp bangi ukute pia Milner yupo kwenye listi ya mapendekezo yake.
YNWA
π π π π Milner bila shaka ndio dalali wa Klopp kusaini Liverpool 2015. Bila Milner naamini huyu Klopp asingetua Liverpool otherwise utajiuliza Milner ana nini ambacho hana Gini au wengine ambao wamesepa Liverpool huku babu 37 + akiedelea kuupiga mchache sana na akisubiri mkataba mpya...Yani Milner ana uhakika kuwa atapewa Mkataba wake wa Mwaka 1