Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Goli la leo la Mitoma dhidi ya Liverpool lilikuwa zuri sana ila Victor Osimhen alidesa akaboresha hilo goli akafunga zuri zaidi dhidi ya AS Roma
Salah naye alishafungaga goli kama hilo na lilipendeza kweli
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Yani kumuuza mane sijui ilikuwa tamaa au ni Ego ya kochaa kudhani angemuongezea mshahara angefaidi sanaaa... Ona sasa timu imevunjikaaa anaanza kuteseka kuijengaa upyaa
Ataijengaje timu kwa kuwakumbatia Henderson, 50yrs Milner na Keita? Ile timu ifumuliwe walete vijana sio kukomaa na akina Matip, Fabinho.
Timu ivunjwe ile walete proper Right back maana TAA yule ni midfilder, walete CB mmoja, pia wasajili Attack midfilder 1. Hapo timu atleast itatengeneza nafasi sio kukomaa namibabu ya miaka 50
 
Hivi huyu Gapko kweli ndio hajapiga shuti hata moja dakika zote 90!!!!????

ON TARGET [emoji777]
OF TARGET [emoji777]
BLOCKED. [emoji777]


Aiseeeehhh hawa waholanzi hawajatufanyia uhuni kweli????
 
Tatizo pia ni klopp, wakicheza tunaoita wazee tunapigwa, wakiwekwa vijana kina jones, elliot, bajetc, crvalio tunapigwa, TAA na Gomez tukumbuke ni vijana lakini bado tunapigwa

Fergie hakua ananua wachezaji watano kila usajili ila kila mwaka ni wa kwanza au 2

Timu huwezi singizia eti ipo hivi kisa ilimuuza Mane, fergie aliuΕΊa inform Cr7 na akaendelea kuchukua EPL

Pep aliuza Sane, akaondoka Aguero timu ikabeba Epl tena points 90+ bila striker
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Duh kwa mzuka huo utapata presha Miss Liverpool.

Kwa sasa jikaze tu uangalie highlight..

Klopp na vijana wake wakiwa bora wanakua bora kweli kweli mpaka wanapachikwa majina kama yote World Beaters nk na wakipoteana wanapoteana kweli kweli kama sasa nadhani jana ni gemu ya 9 wanapoteza msimu huu hii ni pigo kubwa sana.

YNWA
 
Maskini hili timu limeshaanza kukuzeesha mrembo, kwa jinsi unavyokunja sura dakika zote 90 timu inapokua uwanjani tayari imekusababishia uso wako kujaa makunyanzi.
Ushauri wa bure kwako ni bora uhamie zako Nyukesto mapema ili urudishe tabasamu na ile haiba yako ya awali.
Saint Anne kwa kipindi hiki hauna tofauti yoyote na binti mrembo anayemng'ang'ania mwanaume mlevi chakari ambae kila akitoka kilabuni anamshushia kipondo heavy mpaka anang'oka meno.

End of an era.
 
Ngoja tuone
Labda kutakuwa na mabadiliko,tuwape muda wageni.
Kwa msimu huu sioni hawa wazee wakitupa msaada sana kusaka ushindi kila wakihojiwa wanaahidi mema ushindi lakini mechi ikija ndio hao hao wanapoteana.

Akihojiwa Milner Henderson Robertson Trent nk wanatuahidi kuja na majibu uwanjani lakini kinachofuata ni kipigo hakuna jipya...

Msimu huu tusidkize tu Arsenal apate ubingwa wake sie tusibiri timu iuzwe tu tupate mkwaja kujenga kikosi.

YNWA
 
Tatizo siyo fsg

Tatizo ni aged team

Tulikumbatia sana brexit

Tia maji tia maji kama mwanamke wa ngomani
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti kuwazima Madrid [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Jamani Kapteni ni mzima kabisa lakini anasugua benchi na halalamiki kwa kua anajua anatuvusha mazima Champions League πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...

YNWA
 
Ntakua kama Chalii OllaChuga Oc mzee wa LiveScore🀣
 
Ntakua kama Chalii OllaChuga Oc mzee wa LiveScore🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Chugga man hata Livescore hatumii tena hicho kifua hana alishasepa... Hayupo FA hayupo Carabao na EPL nafasi ya 9 wakati alituaminisha humu huu msimu wake anakuja moto fire sanaaaaa.

Ila hatuchekani wote tunachechemea ni kitubua na andaziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…