Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi ile Cheltako ilyojichokea tushindwe kuifunga kweli YNWA [emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Mo salah hat Trick [emoji91][emoji91][emoji91]
 
LIVERPOOL FC:
Klopp on spending:

"We are in pretty good hands - we know the responsibility we have. We can't worry too much. You don't need to build a new team every year. You have to allow players to develop and we have a few of those players." #lfc [lfc]
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]

Msome hapo Kloop Captain Marvelous [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu Mzee sasa anachanganyikiwa yaaani team ina wastani wa ma babu wote wale ikiwa nafasi ya 2 kati ya timu ishirini kuwa na kikosi chenye wazee wengi aafu anakwambia eti ana wachezaji wa kukuza kisoka kuliko kuingia sokoni..

Mbona Henderson amekua nae kwa miaka 7 sasa na yuko vile vile hajabadailika yupo stagnant...

Hao anaosema anawaedeleza sasa ni akina nani kwa sababu Jota Nunez, Diaz, Trent ndio wachezaji pekee wa kikosi cha kwanza walio chini ya miaka 27. Sasa hapo angefafanunua kama alimaanisha akima Elliott, Fabio, Doak nk ambao hao wanahitaji muda zaidi kuhimili ushindani Epl na UCL.

Aache maneno mengi huyu mzee hatuna solutions from within but solution from outside... Solution ni kuingia sokoni. Pazuri matokeo pekee wapi tunalamiza msimu huu yatawapa pigo kubwa FSG kukosa pesa ya champions League msimu ujoa ambazo zinachangia kipato kikubwa sana klabuni. Ifahamike vyema Liverpool wanatumia asilimia 62 ya mapato yao kulipa mishahara na Champions League ni nguzo kuu kuingiza pesa za maana Liverpool... Hii utawachapa vyema hawa FSG. Wamezoea Klopp kuwabeba sana na bahati wengine kama Arsenal, Manchester United walikua wamepoteana muda mrefu sasa wamerejea ki ushindani haswa hivyo hakuna tena business as usual.

YNWA
 
Wamexhoka kufanyaje? Si wametoka mapumzikoni week mbili zilizopita?
Wametumika misimu mitano bila benchi la maana kuwasaidia wacheze dakika 60 nu sub.. Hili anguko la sasa usije ukadhani limekuja ghafla hapana dalili zilikuwepo muda tu lakini wamiliki na kocha hua wanajificha kwenye kichaka cha small squad matokeo yake ndio haya sasa.. Katika miaka mitano FSG wamesajili Midfielder wawili tu Thiago na Kieta amboa kwa pamoja hua wanapishana wodini ni wagonjwa wakati wanahitajika hawapo. Je kwa muda huo wa miaka mitano kwamba hawakuona wachezaji wengine wa maana ama walituchomesha mahindi kuhitaji dili ngumu haswa unasikikia Valverde na Tchouameni ambao Real Madrid walituwai.

Kwa Midfield chaguo la kwanza ya Liverpool ina umri wa miaka 94 😁😁😁 wote kwa pamoja. Ambao ni Henderson, Thiago na Fabinho. Sasa hao watakimbizana kila baada ya siku 4 mechi unadhani huo uwezo wanao. Tembelea YouTube utazame mechi tulizofungwo msimu huu utaona magoli mengi ni makosa yaliyosababishwa na wachezaji wetu lakini kwa kua benchi ni dhaifu mwalimu anawapanga hao hoa kila mechi na kusababisha tufungwe kwa makosa yale yale...

YNWA
 
Half a season gone

Kukumbatia madingi kumetucost

Ntaangalia mwakani
Jurgen Klopp on Firmino out of contract in June: “I want Firmino to stay here. He knows about the situation and what we think of him. There is no problem. He’s great but I don't know 1000% what his plans are”. [emoji599][emoji837] #LFC

“James Milner? He is an incredibly important player”.
Dingi lingine hlo li Milner [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…