Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hapo ndo shida, wafalme ni wale wale hawagusiki
 

😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Kutoka kucheza fainali 2 na mmoja akiwa ndio bingwa mtetezi wa World Club Cup na mwingine akiwa bingwa wa FA na Carabao na sasa wote wanapambana kubakia angalau top 10 jamani mbona maisha sio fair 😂😂😂

YNWA
 
Kaka mkubwa heshima yako, sisi Arsenal hatuna muda wa kuombea mwingine a-slip tunachotaka ni wao washinde mechi zao na sisi tushinde mechi zetu kisha tukutane May kwa mahesabu
 
We can only dream at Liverpool



In the meantime MF wetu wapo slow motion mode😂😂😂hawapeleki mashambulizi wala hawazuii mashambulizi..
We are damn cursed 🤬 yaaani timu imejaa ma babu babuka na hawana msaada kwa sasa...

As they say chenye mwanzo hakikosi mwisho too good mwisho wa hawa ma veteran umefika wakati timu inakwenda kuuzwa hivyo sitegemei kuona Klopp akaleta mahaba yake kwa underperforming players mapema sana waonyeshwa mlango hakuna tena mambo ya spending within the budget hatutaki kusikia blabla za Klopp...

Hii hali ukiitazama sana utaona Klopp kajiletea mwenyewe hii balaa yaaani alikomaa vipi Milner, Salah, Henderson wapewe nyongeza mikataba mipya aafu akawaacha Mane na Gini ambao kwanza kila msimu walicheza sio pungufu ya mechi 35+ za Epl na jumla hawakukosa mechi 50+ kwa msimu ukiweka humo International, EPL, Carabao, UCL na FA.
Yaaani kwa miaka yote hii Kieta hajaanza hata mechi 50 EPL na unasikia eti walitaka kumpa mkataba mpya jamani hivi vigezo gani vinatumika haswa ambazo Gini alikosa na hawa wengine wanavyo...

Klabu ipo hoi kwa kua na Meneja asiemsikivu

YNWA
 
Klopp on his days can make you dream n dare dream big but akiwa kwenye bad patch its real bad patch inakua like boys dont even do sessions betwee games like they sleep n wake up siku ya mechi... Yaaani unajiuliza what drills did they perform to prepare for Brighton game hakuna cha maana zaidi kua kuaibishwa na Mc Allister, Caiceido na Lallana without th3 guys sweating yaaani ilikua aibu kuangalia ile game.. We played like there is no MF... Sasa unaposikia Klopp anasema haingii sokoni aidha ni tactic kuzuia bei za wachezaji zisipandashwe akionekana kama yupo desperate ama la ni ngumu kumwelewa kabisa...

Actually tukumbushane Wards aliwasilisha majina yafuatayo June 2022 kwa Klopp Mathew Nunes, Enzo na Fabio Viera.. Kwa Fabio Viera kulikua na kipengele kwamba Porto watawapa Liverpool kipaumbele endapo tutamhitaji tena kwa bei powa chini ya £20m.. Enzo bei ilikua 12m mpaka £20m na wote hao Klopp akasema HAPANA kisa tu wamo ma veteran wake ambao alijua fika walifeli mpaka akapeleka ofa kwa Tchouameni ni kwa sababu alijua uwekezaji ulihitajika MF. Lakini Klopp huyu huyu January hii bado haoni kama anahitaji usajili wa MF jamani huyu mzee avae miwani tuwe pamoja.

Tumeipenda wenyewe

YNWA
 
Kaka mkubwa heshima yako, sisi Arsenal hatuna muda wa kuombea mwingine a-slip tunachotaka ni wao washinde mechi zao na sisi tushinde mechi zetu kisha tukutane May kwa mahesabu
Ubora pekee haukufanyi ushinde TITLE, unahitaji LUCKY, na a lot of good calls kwa upande wako.

Pep Guardiola, amekuwa akipigana vikumbo kwa Title Races katika maisha yake yote ya Ukocha (senior level), na pia at City ana wachezaji wa kutosha ambao wana uzoefu kwenye title race, so ni LAZIMA Arsenal atengeze a wider gap kama anataka kuwa 90% sure.

The night is still young, WC inadanganya watu, mzunguko wa pili wa EPL bado hata hujaanza, kuna 20 games to go, you cant allow City akusogelee kwa gap ya points 2-5, ni hatari, na pia United are a big threat now, game ya Sunday ni muhimu sana kwenu, mkipoteza, italeta taswira tofauti sana kwenye league.

So ni LAZIMA, uombee City a-slip up, same to United pia, maana United wakiwafunga Sunday, wanakuwa ni serious title contender, it takes few DRAWS kupoteza TITLE, na it takes few injuries kupoteza TITLE, so unahitaji LUCKY, we beat City to a title kwa kufanikiwa kutengeneza a very huge gap, na tulitumia bad patch yao vizuri, hizi title races zingine ambazo tuliacha watukaribie, zote tuliishia kupoteza, ndiyo maana unakuta unafika points 92-97, bila TITLE.

and kitu kingine, kama bad patch ya City itaendelea, United may fancy their chances, lazima watahisi wanaweza kuwamudu kwenye title race, hence ndiyo maana nasema ikitokea City akishida his 2 games now, na united wakawafunga, mtakuwa mnakaribisha pressure kubwa sana.

Newcastle pia, wakishinda this weekend, na bado hamjaenda St James Park, itakuwa ni presha pia kwa jicho la tatu, maana Howe nae ana outside chance, siiweki Newcastle kwenye title race, but ataleta ugumu sana, SANA. especially kwa form aliyonayo sahivi.

So, you NEED to beat Man United this sunday, na UOMBEE City a-drop points katika hizi games zake mbili.


Good Luck.
 
Tumechezea vichapo vingi this season, but ile game ya Brighton ilikuwa ni worst coached match chini ya Klopp.

sometimes, unaweza dhani kuwa players. have stopped playing for him, but playing Thiago as a 10, na kutaka Henderson aendelee ku-cover ground na ku-press kama zamani katika physical form aliyonayo sasa, huwezi kuwalaumu kabisa, hili suala ni la Klopp.

nakumbuka kuna game, Bajcetic alifanya aggresive interception, na Klopp akam-pump sana, sasa anataka kina Hendo, Thiago, Fabinho wafanye hivyo, hawawezi kwa sasa, Thiago is 31 na ni tempo setter/holding maestro, Fabinho is. 29 and you can see he's physically done kwenye 433, so as a coach, you need to come up with a plan, not trying to go toe to toe na teams ambazo zina young core & restless runners, kwenye game ya City he played a compact 442, na it worked, why going back to 433? its not working, hakuna runner kwenye MF, drop it, lazima Henderson awe kwenye starting 11? play 442, kuna Fabinho, Thiago, Keita & Elliot, ni wazuri kwenye 442, hatuna personell ya kucheza 433 now, hatuna legs kwenye MF.


au try hata 4231, Fabinho & Thiago kwenye pivot, Salah, Carvalho & Gakpo behind Nunez, whats the harm?

Back to 433, kina Nunes wakija in the summer, now its not the time for it.

nina uhakika, kama tukicheza 442 against Madrid, we will blow them away, maana Jota atakuwepo, he fits kwenye 442 like a glue.

But, Captain atakuwa tayari kuwa dropped? i hope embargo ya jana imetuonesha the new Klopp.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…