Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klop hataki kukubali kuwa usajili wa Keita aliingia choo cha kike, hataki kabisa kukubali
 
Mwaka mmoja tuu umepita tangu
Tucheze fainali ya carabao
Fainali ya fa
Points 90+ epl
Miezi 8 tangu tucheze final champions league


Ina maana ndani ya mwaka tuu hii squad ndio imezeeka ghafla hivo?

Tatizo sio umri, labda fatique na tactics
Ilikuwa imezeeka hata katika hizo fainali
Ni vile upepo wa bahati ulikuwa upande wetu.

Hukuona tulianza kupiga ramli Gerrard akiwa AV,amfunge Kipara ili tupite?


Kikosi kimezeeka na kimechoka.
Wanacheza non stop hakuna kupumzika.

Mtu kama VVD au TAA anapumzika siku akiumia tu.
 
Uzee ni factor ya mwisho

Hata Madrid iliyotufunga ilikua na wazee wengi tuu kina benzema, kroos, modric, carvajal, marcelo , nk

Aliyefungisha goli ni kijana kabisa TAA

Timu lazima ichanganye damu
 
Liverpool's next 10 fixtures:

• Wolves [A] - FA Cup
• Chelsea [H]
• Wolves [A]
• Everton [H]
• Newcastle [A]
• Real Madrid [H] - Champions League
• Crystal Palace [A]
• Manchester United [H]
• Bournemouth [A]
• Real Madrid [A] - Champions League

Thoughts? 🙄
 
Uzee ni factor ya mwisho

Hata Madrid iliyotufunga ilikua na wazee wengi tuu kina benzema, kroos, modric, carvajal, marcelo , nk

Aliyefungisha goli ni kijana kabisa TAA

Timu lazima ichanganye damu
Kikosi cha Madrid mwaka jana kilikuwa na wazee lakini bado kilikuwa na mabadiliko

Angalia sasa kikosi cha Liver.
Ni kilekile kilichocheza na Madrid 2019/2018.

Kuchanganya damu muhimu, ila si hivi tunavyoichanganya sisi.
 
Chelsea have nearly spent the same amount (£468m) in the last 6 months as Liverpool have spent (£500m) in the last TEN transfer windows, dating back to the summer of 2018.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
OllaChuga Oc
 
Arsenal lini? Nawatamani sana liverkuku
 
Gary Neville:

“Liverpool have got new owners coming in. If Jürgen Klopp can get £250m from new owners and he spends it wisely as he has over the last 7 years, he’s going to be empowered to transform that team. I don’t see him thinking ‘this is the end’.” [Sky]

I think Joyce will crash twitter if he tweets FSG [emoji1666] [emoji1203] Liverpool with new owners [emoji23]
 
‏يا اخوان رسائل كثيره جدا وصلتني وانا ما اقدر ارد على الجميع ولكن باختصار : الاتفاق تم بين fsg وشركة او عدة شركات قطريه والاجراءات سوف تبدأ بنقل الملكيه والاعلان قريب

إذا كان بإمكان أي شخص في قطر رؤية هذا ، يرجى شراؤنا
 
Klop hataki kukubali kuwa usajili wa Keita aliingia choo cha kike, hataki kabisa kukubali
Klopp aka Miracle Worker wa FSG.. Too bad wachezaji wake wengi wamefika mwisho wanahitaji alete new players new ideas sio business as usual...

Ukitazama mechi alizocheza Keita tangu atue Liverpool kwa hio misimu mitano ni wastani wa mechi 20 za ligi kila msimu yaaani na ndio namba 8 wetu wearing iconic namba 8 jezi yenye heshima hii haikumbaliki na bora hata hizo mechi chache alizocheza angetuletea magoli na ma assist mengi mengi lakini muda mwingi hua anasidikiza tu.

Gini alicheza wastani wa mechi 36 za Epl kila msimu ratio ambayo mpaka anaodoka wachezaji waliokaribia hio ratio ni Mane na Firmino hivyo tukisema anguko la Klopp ni kung'ang'ania wachezaji wagonjwa na dhaifu ajue ni hana pakutokea kwenye hili zaidi akumbali kuingia sokoni, Klopp ana kawaida ya kukomaa kwa vile target yake kuu ni Dortmund amng'oe Bellingham lakini aelewe kwa hali ilivyo sio huyu dogo alone anaweza kututoa tulipo.

YNWA
 
Kuna watu wanasema mwaka jana tu tulikuwa tunagombania vikombe vyote haiwezekani mwaka tu tuwe hoi lakini kumbuka hata mwaka jana tu Arsenal walikuwa hoi leo wako juu. Kama mshabiki wa Liverpool tuwe na subira huu msimu tupigane tu tupate nafasi ya CL lakini shida yetu kubwa hatuna pesa ya kwenda kumwaga kama wenzetu tuombe tupate owner atakaye invest big maana hakuna tena mchezaji wa Mil 30 siku hizi na mishahara kama ya Tamisemi ni lazima tulipe vizuri watakuja tu, jina tunalo Liverpool team kubwa tupiganie tu tuwe club inalipa vizuri kama wenzetu ili watu waje. Klopp anafaa sana abaki ila lazima pesa team ijengwe upya kama wachezaji wa 4 tu top players inatosha.
 
[emoji599] EXCLUSIVE BREAKING NEWS: Qatar’s full acquisition of Liverpool Football Club is ‘99% done’.
We have been told that fans ‘will not have to worry’ about the transfer budget this summer, and that the new ownership are ‘desperate’ to bring in ‘footballing superstars’. #LFC [emoji15][emoji837] https://t.co/UH9w1HMjL0
 
Mpaka kufikia huko,tayari tupo conference league....WASAJILI AISEE DIRISHA HILI
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…