Tukumbushane umri wa hiki kikosiHiki kikosi mababu wote waondolewe aisee.
Ni aibu🥺
FSG have failed Klopp. Imagine a prime Klopp working for Roman at Chelsea lol they could have conquered to unprecedented levels man.They are too busy milking the club too much we have had enough of their nonsense
We cant afford that grief they cause we have have had enough those thirty years when we were cursed to not have our hands on even a single EPL championship
😂😂😂Tukumbushane umri wa hiki kikosi
Milner 37 years
Henderson 32
Thiago 31 years
VVD 31 years
Fabinho 29 years
Salah 30 years
Firmino 31 years
Alisson 30 years
Robertson 28 years
Matip 31 years
Gomes 25 years
Konate 23 years
Keita 27 years 😂😂
Diaz 26 years
Cody 23 years
Trent 24 years
Elliott 19 years
Nunez 23 years
Jota 26 years
Tsimikas 26 years
Fabio 20 years
Ox 29 years
Jones 21 years
Ramsey 19 years
Adrian 36 years
Wachezaji wa team 10 wapo na miaka 30 plus. Hii ni taa nyekudu balaa kwa wamiliki kuelewa ushindani wa EPL sasa umerejea juu baada ya corona hakuna tena mambo ya Liverpool na Manchester City kuwaburuza wengine yaaani kwa sasa hata ubingwa wa Ligi ni ngumu kutabiri utatua wapi.. Huku FSG wakitegemea miujiza ya Klopp ituvushe kama alivyo fanya miaka yote akiwa na hawa wachezaji wazee na waliochoka.. Mambo yamebadilika sana timu zimeshatujulia tusipewe muda wa kupumzika kwa kua wachezaji hawana tena ari basi tunalegea na vipigo chap.
We are in for a tough ride.
YNWA
kona tulipiga moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hichi kitu nilikisema kuwa klopp sio tatzo, tatzo ni hao FSG wanatuuza. Jamaa hatoi pesa kuingia sokoni ila wanataka kuvuna pesa.Klopp kawauza wamiliki kasema £45m ndio ilikua bajeti pekee dirisha hivyo klabu haina ela ya kuingia sokoni tena yaaani hata Klopp kasema bila ku pepesa maneno pesa haipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaaaaani tuna wamiliki wa ajabu sana. Yaaani pesa yote ya bajeti imekwenda kwa Cody sasa cha kujiuliza huyu Cody mbona hatumhitaji dirisha hili na wamemnunua wa nini kama pesa ilikua ni hio tu. Bure kabisa maamuzi ya ajabu kwa kua ela haipo hii ingewekezwa MF na sio pale mbele.
Hali iko wazi kwa sasa hatuna majeruhi MF wote ni wazima kabisa lakini mkuu umeona jana Klopp katoa kituko mfumo ulifeli 4 3 1 2 yaaani Thiago acheze 10 ilikua worst gamble jana..
Kwa kweli waadamane tu labda watatoa angalau pesa anunuliwe mchezaji mmoja box to box.
Suluhisho ni hii timu iuzwe tu hakuna namna... Natazama namna uongozi wa Chelsea wanavyompa sapoti amateur coach Potter sokoni huku wakiwa hata kombe la kahawa hawakashinda lakini haijawazuia kuingia sokoni kujenga kikosi tena ununuzi wa kimkakati wakitazama umri.. Liverpool we so doomed tuna pound for pound manager lakini wamiliki wameshindwa kabisa kumtumia vyema kuzoa makombe mengi kwa proper backing anavyohitaji Klopp.
#FSGOut
YNWA
Hichi kitu nilikisema kuwa klopp sio tatzo, tatzo ni hao FSG wanatuuza. Jamaa hatoi pesa kuingia sokoni ila wanataka kuvuna pesa.
[emoji599] NEW: There is no chance Jurgen Klopp will be sacked, despite Liverpool's dismal run of form of late. He remains the club's priority and there is an insistence that problems will be solved alongside him. #lfc [@FabrizioRomano]
Bado dirisha lipo wazi na wachezaji wazuri wapo ni wao kutoa ela hakuna namna.Hichi kitu nilikisema kuwa klopp sio tatzo, tatzo ni hao FSG wanatuuza. Jamaa hatoi pesa kuingia sokoni ila wanataka kuvuna pesa.
😂😂😂😂😂Ukitaka kujua maajabu yapo ni pale unasoma eti Klopp alikomaa Keita apewe mkataba mpya jamani duniani wenye bahati wapo kama Henderson, Milner, Salah na sasa Keita...😂😂😂
Keita weka 40 bwana
Klopp naye amekariri akidhani tutapata Tena sandakalawe.
😂😂😂Babu babuka tangu aache kuvaa miwani amekua anaona maruerue mazoezini maana anachoona huko kwa hawa wachezaji akija kupanga kikosi tunachokiona uwanjani hakieleweki kabisa...Huyu babu naye mvuta bangi tu.
Kukubaliana na wamiliki kwamba pesa hazipo ndio bangi zenyewe.
Waondoke wote,wakatafute sehemu nyingine watakayoendeleza kufanya upumbavu wao.
Kabla ya ujio wa FSG walikuwa wapi kiubora?Liverpool fans are now calling for a protest against their owners
Wamexhoka kufanyaje? Si wametoka mapumzikoni week mbili zilizopita?We will recover...
Ni lini ni ngumu kujua...
Hawa wachezaji sio ma robot wamechoka.
YNWA
Hii timu hii[emoji174][emoji23][emoji23][emoji23]Babu babuka tangu aache kuvaa miwani amekua anaona maruerue mazoezini maana anachoona huko kwa hawa wachezaji akija kupanga kikosi tunachokiona uwanjani hakieleweki kabisa...
Muda utasema hii shoo shoo itaedelea mpaka lini...
Who will blink first Klopp or FSG.
Klopp too loyal kwa FSG
Klopp too loyal kwa wachezaji
Klopp sio brutal n lethal kudili na hawa wachezaji seniors.. Kwani Thiago na Henderson hata wakiwa wazima na wapo out of form hawawezi kukaa bench jamani.. Mbona hii ni rahisi sana tena sasa kuna sub 5 hivyo watatumika tu.
YNWA
Huyo Klopp na FSG lao moja.Arsenal naona anang'ara na vijana wake huko, tuje kwetu sasa klopp kakumbatia mizee wakati kunatim zinasajili vijana. Henderson, Milner na Keita out ikiwezekana FSG out sijui hawa FSG wamempa nn klopp maana sio kwakutetea ujinga.
KwakweliHuyo Klopp na FSG lao moja.
Wote waondoke.
Mwaka mmoja tuu umepita tanguTukumbushane umri wa hiki kikosi
Milner 37 years
Henderson 32
Thiago 31 years
VVD 31 years
Fabinho 29 years
Salah 30 years
Firmino 31 years
Alisson 30 years
Robertson 28 years
Matip 31 years
Gomes 25 years
Konate 23 years
Keita 27 years [emoji23][emoji23]
Diaz 26 years
Cody 23 years
Trent 24 years
Elliott 19 years
Nunez 23 years
Jota 26 years
Tsimikas 26 years
Fabio 20 years
Ox 29 years
Jones 21 years
Ramsey 19 years
Adrian 36 years
Wachezaji wa team A 10 wapo na miaka 30 plus. Hii ni taa nyekudu balaa kwa wamiliki kuelewa ushindani wa EPL sasa umerejea juu baada ya corona hakuna tena mambo ya Liverpool na Manchester City kuwaburuza wengine yaaani kwa sasa hata ubingwa wa Ligi ni ngumu kutabiri utatua wapi.. Huku FSG wakitegemea miujiza ya Klopp ituvushe kama alivyo fanya miaka yote akiwa na hawa wachezaji wazee na waliochoka.. Mambo yamebadilika sana timu zimeshatujulia tusipewe muda wa kupumzika kwa kua wachezaji hawana tena ari basi tunalegea na vipigo chap.
We are in for a tough ride.
YNWA