Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,913
Mbappe yupo Farmers League aje ligi ya wanaume wa shoka.Ka kawaida sana
Ni vile tu kanapata airtime
Kama Trent wa ajabu, na Mbappe tutasemaje?
Sema tangu kalivyofuga Ras nikahamishia mahaba yote Kwa Matip.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Uliona lakini anavyowapelekea moto hao wanaume wa shoka kutoka England?Mbappe yupo Farmers League aje ligi ya wanaume wa shoka.
YNWA
😂😂😂😂😂He is the best deal you got Madam, like him or not he is going nowhere 🤣🤣🤣🤣mapema umkumbali the better.
Itafutwe solution nzuri eneo la kiungo mbona dogo atatisha sanaView attachment 2472492
Yes I Believe in Nunez ije mvua ije jua ama barafu ama upepo nasimama na wewe dogo jembe la ukweli sana.
YNWA
Hatutaki[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]He is the best deal you got Madam, like him or not he is going nowhere [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mapema umkumbali the better.
YNWA
Hapana sijaona😂😂😂Uliona lakini anavyowapelekea moto hao wanaume wa shoka kutoka England?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana sijaona[emoji23][emoji23][emoji23]
YNWA
Hakuna cha atatisha wala NiniItafutwe solution nzuri eneo la kiungo mbona dogo atatisha sana
Dirisha lipo wazi ngoja tusubiri Klopp atakuja na jibu gani..Itafutwe solution nzuri eneo la kiungo mbona dogo atatisha sana
Mbappe aje Big Boys League asijifiche huko.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo umeamua unibishie tu Bobby[emoji23]
Nunez ana damu ya Kunguni kwako sio kwa chuki hizoHakuna cha atatisha wala Nini
Angekuwa ashatisha
Mbona mwenzie Diaz ashatisha mapema tu
Ana damu ya kawaida tu ila ni mchezaji wa kawaidaNunez ana damu ya Kunguni kwako sio kwa chuki hizo
Moto atakaopeleka si wa nchi hiiMbappe aje Big Boys League asijifiche huko.
YNWA