Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sema dogo unautafuta umaarufu kwa nguvu kwenye huu uzi kama OlaChuga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bora nawe umemgundua,anatautafuta umaarufu wa olachuga kwa nguvu na hawezi kuupata kutoka kwetu .......humu aliekubalika ni olachuga peke yake yeye anatwanga maji kwenye kinu hawezi kupata heshima yetu km mtani anaefurahiwa
 
My secret admirer
Our Handsome Matip[emoji7][emoji91]

LFC[emoji3590]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Namuona leo yupo cool ruler wako Mr No Content.

Akaze HB wako maana hili ndio kombe pekee la ndani angalau tunaweza kupata kwa kua hatupo Carabao na EPL ndio kama unavyoona, hivyo leo laizma kusonga akomae na vijana wake pale nyuma na leo ndio senior CB asimamie shoo shoo tutoke salama.

YNWA
 
Hatatuangusha

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Haya sasa
KumekuchaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wataanza ooh "what a boy"!
At the age of 24 ,
-100 assists
-Sijui nggapingapi goal.. ili mradi tu wakapambe.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘Ila kwa umri huo na amecheza gemu 250 hakika nampa big up sana dogo..

YNWA
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji106][emoji106][emoji106]Ila kwa umri huo na amecheza gemu 250 hakika nampa big up sana dogo..

YNWA
Ka kawaida sana
Ni vile tu kanapata airtime

Kama Trent wa ajabu, na Mbappe tutasemaje?
Sema tangu kalivyofuga Ras nikahamishia mahaba yote Kwa Matip.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…