Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Duuh huyu kocha anasajiliwa Chelsea kutoka Brighton alikua ana nuru na 'kijana' fulani hivi amazing lakini ndani ya muda mfupi yupo hoi kachoka haswa yaaani h haelewi kama yupo ndotoni ama namna gani.

YNWA
 
We are finished we mzee πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Miss Liverpool ebu tulia bhana.

YNWA
Nitampiga mdogo Ako spana hadi uingilie katiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Pooor Nunez 😁
Kwanza nilikuwa sijaona,kamejichora hadi kwenye vidole,unadhani Kuna mpira hapo?πŸ˜‚

I am missing you Bobby
 
We are finished we mzee πŸ˜‚
Yes we are being by passed by lower level opponent is just plain naked truth how far we have gone back as a team..
Main point to remember
#Firmino false 9 no longer works he used to defend from the front,

# Trent coverings grounds to defend n create is no where his usual class i guess msimu huu ana assist moja tu EPL utaona dogo alivyochuja huku akiwa responsible tukifungwo goli zaidi 4 kupitia his awkward marking n awareness.

#VVD losing his super instinct especially where to put his body or leg or when to anticipate proper opponent forward moves.

#Thiago lacking proper combination pale kati as both or all every player Klopp has thrown has down ward trajectory..

#Fabinho amezeeka haraka sana sio kwa kuchuja kule. Kwa hali hii huyu naona safari haipo mbali kama Real bado wanamhitaji.

# Diaz Jota Firmino being out of the doctors room aint doing us any favours..they are the 1st line of defence as we play.

#that we have Ox, Milner, Henderson and we let go Mane, Gini is one hell of mistake that th Liverpool transfer gurus made.

#lacking a proper system we keep moving from 4 3 3 to 4 2 3 1 nk hii nayo haijaleta utulivu kwa wachezaji.

#transfer cant solve all issues we are facing but definitely we need all round MF

YNWA
 
Nitampiga mdogo Ako spana hadi uingilie katiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Pooor Nunez 😁
Kwanza nilikuwa sijaona,kamejichora hadi kwenye vidole,unadhani Kuna mpira hapo?πŸ˜‚

I am missing you Bobby
Yaaani atakavyokuzima mdomo ndio utaelewa huyu ni mfupa mmoja na Surez the Vikings πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

YNWA
 
Hivi mko na uhakika kama hii ni Liverpool yetu?
Aiseee,mechi ya juzi imenipa machungu mnoπŸ₯Ί
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…