Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu any day of the week nitamchagua Klopp awe kocha wa Liverpool maana pamoja na changamoto za kufanya kazi na FSG huyu mzee ame deliver kadri awezavyo bila kulalamika kivile mpaka pale sasa amefika mwisho wa kuna punching bag ya FSG... Juzi wakati anaulizwa kuhusu usajili alitoa jibu moja linafikilisha sana kwamba mchezaji alinunuliwa lazima klabu itazame namna ya kuirejesha hio ela aidha kwa kuuza ama kuachia wachezaji wengi ili wage bill ipumue maanake ni kwamba mzee hata amtake Enzo kama hio ela hakun plan ya kuirejesha basi huyo Enzo atamsoma kwa Fabrizo... Imagine hizo fact huku unashidana na Barcelona ya Uingereza maana ukumbuke wenye maamuzi pale Ethad walikua ni waajirlwa wa Catalan kwa nyakati moja na Pep hivyo wana upeo na ushawishi mpana sana sokoni nk.. Nimeyasema sio kwa kutetea hii hali ya sasa mbali uelewe Klopp has tried his level best kufanya kazi na hawa Yankees n the man being pound for pound manager ana deserve better back up kutoka kwa umiliki wa timu.

Ishu ya Nunez ni raw gem kabisa, ametoka Uruguay akacheza Spain baadae msimu mmoja Ureno na sasa Liverpool kwa maneno ya Klopp anasema hata Lewandoski alikua kama Nunez lakini leo hii ni strika safi kabisa ndio maana Klopp hakosi imani na huyu dogo.

Jambo pekee lenye kuleta maswali ni upangaji wa kikosi kama leo kwanza alijua fika Brentford has nothing to lose hivyo hatapaki basi aafu anaweka 2 pedestrians Konate na Tsimikas hapo alichemka mapema tu.

With Brentford, Brighton na Wolves hua hakuna kulala hua wanashambulia kama timu na kuzuia kama timu.. Klopp should have been wiser

Fabinho jamani nini kimemkuta.

YNWA
 
Mosdef bruv, natambua mchango wako humu but one of the things I've noticed about you is you're so biased about Arsenal, ni mara kibao nimeona ukimrate pochettino / Ten hag highly kuliko Mikel Arteta. Now bro, time is unbearable. Kwa haya yako ya kwanza inakureveals wazi, tunaupa muda nafasi yake sisi Arsenal fans.
 
Brentford against traditional top 6 teams in 2022/23 season
  1. Brentford 4-0 Man United
  2. Brentford 3-1 Liverpool
  3. Man City 1-2 Brentford
  4. Brentford 2-2 Tottenham
  5. Brentford 0-0 Chelsea
  6. Brentford 0-3 Arsenal
Tuwape Arsenal pongezi kubwa, ni wao tu pekee waliobeba point zote 3 kutoka kwa Brentford
 
Unauza Mane unanunua Nunez!!! Hiyo ni akili au matope?
 
Ten hag dirisha la kwanza kapewa €250m kazichezea Kununua yule Anthony ,timu haijulikan inacheza style gan ,
 
1 EPL in 8 yrs, Mikel akichukua itakua ni aibu kwa klopp na vijana wake, maana hata spending zake sio ghali kama klopp

Kuhusu kulinganisha alivoanza lewa na Nunez, haijustfy kwamba ndio atakuja kuwa kama lewa, mpaka sasa keita ni deadwood ila klop hawezi admit hilo sanasana atampambapamba tuu

Klop hana gut hata ya kuwagusa baadhi ya wachezaji, mfano ni VVD, huyu mwamba amechoka sio siri ila klop hana huo uthubutu kumuweka bench

Angalia city pale anavyowarotate Stone, laporte, Ake, Akanji, Dias, ( hapa wala rekodi za dunia hazikuvujwa kuwasajili

ni vile tuu hakuna kocha aliyepo nje anayewenza kuitransform liverpool kwa sasa
 
I have seen the rise and fall of Liverpool Fc under Jurgen klopp

They were real wonderful years

Moments that I will always cherish in my life

They are moments that happen once or twice in a lifetime
Watching my team winning uefa and epl consecutively ooh man those were big moments

We have reached our end it will take years where we will be back again as a team that opponents players fears the noises of Liverpool fans singing Allianz Allianz we will be back it will take many years maybe Swalehe will already be married with someone at that time and I will be a grandpa [emoji23]

But we will be back

YNWA, I FUCKING LOVE THID CLUB.
 
Ten hag dirisha la kwanza kapewa €250m kazichezea Kununua yule Anthony ,timu haijulikan inacheza style gan ,View attachment 2467465
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyu fundi tokea alivyowachomekaga lile bao hamuishi kumchukia.
Arsenyani punguzeni makasiriko kwa Anthony la sivyo mechi ijayo anakuja kumaliza pakti moja peke yake hapo Emirates ndio mtashika adabu.
 
EPL imekuwa Hondo hondo, Man city hawawezi kushinda mechi 3 mfululizo, Liverpool kapoteza identity, Chelsea wanacheza kama walevi,Man u ni kama sunflower mpaka jua liwake utaona ua likipendeza,Ligi anaongoza Arsenal vitu ni vululu vululu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…