Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hoja sio Kutambulishwa, Hoja ni pale unaposema Ni mchezaj aliyewika kwenye world cup tu,
If uko twitter na unafatilia habar utaona jina la Enzo halijaanza leo kutajwa kisa world cup, bali world cup imewafanya watu wengi ndio wamfaham zaidi

Ni sawa na Leo hii Gvardiol kila mtu amemjua zaidi baada ya world cup na interest imekuwa kubwa ila before hapo Chelsea walisubmit hadi bid ya 89M summer ikawa rejected,
 
 

Attachments

  • 8579BC17-2894-44CF-BBC8-5CECC1C15811.jpeg
    99.9 KB · Views: 17
Ndugu zangu majogoo, najua kuna wale ambao hamkupata muda wa kuangalia ligi hadi inasimama na ata kama mlipata basi ni game chache

Hivo wapo ambao hawajui team Yao imefikaje fikaje kwenye nafasi iliyopo, sasa basi Leo super sports wameamua kurudia highlights za mechi zote ambazo zimepigwa hadi ligi inasimama

Haya wewe ulie nyumbani hebu fanya kutune 223 ili ujionee imekuaje majogoo wapo hapo walipo, na Kwa upande wetu majogoo saiz tupo kwenye game hii
 
Hiki ulichokiandika hapa ni habari mbaya sana na ya kuogopesha kwa shabiki yoyote wa Arsenyani hapa duniani.
MosDef nakuomba niko chini ya miguu yako shabiki yoyote wa Arsenyani akiuliza au kuhoji chochote kuhusu Manchester United tumia busara kubwa mno kumjibu kwa kumuonesha Man Utd ni timu ya kawaida sana pale England, Sio giant team kama wao jinsi wanavyoifikiria, na pia imezidiwa kwenye nyanja zote na timu ya AsaniWali.
Haya majibu uliyompa Aaron Arsenal ni majibu ya kuumiza roho mno na kuzitesa nafsi za mashabiki wa Arse8 popote pale walipo.
Mimi kama shabiki wa Man Utd nasema haya maelezo yote aliyoyatoa MosDef kuhusu Manchester United hayana ukweli wowote na yapuuzwe ili yasije yakaleta madhara makubwa zaidi ya kinafsi na kiakili kwa mashabiki wa timu ya Academy Football Club (AFC)
Kuna mashabiki wengine nasikia wamegoma kula tokea waliposoma maelezo haya kuhusu Utd, mimi binafsi nawashauri muendelee kula kama kawaida maana alichokiandika MosDef ni propaganda tu zenye lengo la kuwashusha ari ili mpoteane kule kileleni.
Mkuu MosDef unatufaa sana kua katibu mwenezi kule Unyumbuni.
 
10 hug bado hajafikia hata alichofanya Ole guna sosha

Na hapo ametumia £240m dirisha moja tu

 
Why Liverpool mnapenda Sana kumfananisha huyu Nunez na Gabriel Jesus kila huyu Dogo anapozingua

Kwanini msikubali huyu Nunez Ni average player na Kuna uwezekano tukawa tumepigwa?

Nunez Bei yake full package Ni €100m

Jesus full package Bei yake Ni €50m

Profile , umuhimu katika timu Huyo Nunez hawez kumfikia Jesus ,

Nunez Ni mchezaji aliye shine msimu mmoja tu benfica, Liverpool kwa tamaa zao wakapigwa €100m

Kwenye usajili Ni kawaida kupigwa ,Nunez ana poor first touch,hajiamini ,

Nunez ajitetee mwenyewe asifananishwe na wengine , Ni mchezaji wa €80-100m

Hatutegemei utetezi mwingi
 
Kanapiga punyeto
Dokta Happy Boxing Day... Mbona huyu dogo jamani mnakosa imani nae mapema hivi....

Ana 23 tu hawa akina Salah, Mane walitua wakiwa wamekomaa zaidi huyu japo ana miaka hii bado nipo imani nae.

Hawa wachezaji hua 'wanachanganya' kitofauti tazama akina Messi, Gerrard, Ronaldo nk hawa walinganya mapema zaidi.

Nina imani kubwa sana na Nunez kwanza anajua kujiseti nafasi za kufunga ama kutengeneza nafasi kwa wengine, kwa kutumia nafasi hizo ana rekodi powa kabisa ya Ligi.. Mtihani uliopo kwake sasa ni kutumia hizi ziwe magoli hilo akifanikisha atakua bonge la strika na mpaka hilo afanikishe tuwe na subira nae.

Time will tell am super positive.

YNWA
 
Shida ni kuuza Mane na kuchukua haka katoto[emoji3064]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Labda njia pekee ya kumfanya Nunez shine hapo Anfield ni kumchezesha kama beki tu, kama vipi akamatie mikoba ya Virgil van Dijk[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila Nunez ni bonge la mchezaji, hiki anachopitia kwa sasa naimani ni upepo tu, ila atakapokuja kukaa sawa ataimbwa kama anavyoimbwa Mo Salah kipindi hiki.
 
Huyo VVD is past his best man bora Nunez is coming to shine soon. Sishangai timu kuwekwa sokoni maana hawa FSG wanatazama kusuka hiki kikosi kina hitaji £250m kuweza kupambana tena ubingwa wa EPL wanaona bora wauze.. Kushindwa kwa Super League kwa hawa FSG ni pigo kubwa sana kwao. Wamepiga hesabu zao na kuona hakuna wachezaji wa kuuzwa kuwekeza kikosi hakuna zaidi aidha wauze klabu mazima ama wauze share kadhaa ama wapate mkopo Yaaani wamekamatika kweli.

YNWA
 
Shida ni kuuza Mane na kuchukua haka katoto[emoji3064]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂😂Mane duh nishamsahau maana kumkumbuka kwamba FSG waliuchuna wakidhani atakumbali kupewa centi ilikua bad move.... Imagine kama Mane kama angetulia na kizazi kijacho Nunez akatua ingekua bomba sanaaaaa. Nwa hayo yashapita tuwe na utulivu tu kwa sasa na waliopo 😅😅😅...


YNWA
 
Tangu kuumia kwa Diaz huyu dogo Nunez ametumika LW na kimsingi anajitajidi sana kwanza alikotoka alikua focal point Benfica pale mbele sasa akatua na kujikuta kuna mfumo tofauti na kule wakati anaanza ku settle CF majeruhi kwa Jota na Diaz na hatimae kujikuta sasa ni LW akicheza kwa bidii haswa sana kashatengeza nafasi kadhaa kwa Salah na wengine..

Boy has 23yrs whom am i to say he ain't be a hit EPL wakati bidii naziona haswa. He is his biggest critic. He ain't satisfied with his performance at all, his facial expressions tells its all.

Kwa kweli msimu huu loss of form na majeruhi yametudhiri parefu sanaa.

YNWA
 
Mimi sijasahau
Na nitaendelea kumlaumu Klopp

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Unai Emery on Liverpool:

“I started playing against them in 2016 in the Europa League final during their first season with Jurgen Klopp. We won a very good match." #lfc [avfc]

Emery: “Since then, I lost. I haven’t won again – sometimes a draw with Arsenal – but it’s always a very difficult match. They’re a difficult team with the amazing way they play. Last year, I played against them with Villarreal in the Champions League and we lost two times."

[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…