🤣🤣🤣🤣
Hivi hamjakazoea kaputin tu🤣🤣🤣
Kazi yake ni kukorofusha kila jukwaa
Halafu timu itakayopeeform vizuri hiyohiyo ndio anashabikia🤣🤣🤣🤣
Nadhani huwa anafanya tu kama utani,nothing serious.Nina experience na watu wenye tabia za kuandika matusi au kutukana mitandaoni, matatizo yao huwa yana vyanzo vyake. ikiwemo
1. enzi za utoto alikuwa anageuzwa kichekesho labda alikuwa mnene au mwembamba sana, alikuwa na muonekano mbaya Meno, masikio pua au mdomo hivyo watu walikuwa wamemfanya kichekesho
2. wazazi wakali sana na wenye upendeleo kwa watoto
3. kutopata upendo au zawadi kutoka kwa mzazi hii huleta tabia kama hizi za kutukana
4. malezi ya mzazi mmoja n.k hizo zote ni sababu huwa zinapelekea hata mtu akiwa mtu mzima huwa na tabia za ajabu ikiwemo ukorofi, kutukana sana mitaani au mitandaoni
Hata kama sio serious lakini kwa tabia za kutukana hadharani nadhani wazee wa mwaka 2060 watakuwa ni wa hovyo sanaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nadhani huwa anafanya tu kama utani,nothing serious.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata kama sio serious lakini kwa tabia za kutukana hadharani nadhani wazee wa mwaka 2060 watakuwa ni wa hovyo sanaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bei yake + mshahara liverpool hapo mpaka wauzwe watuMwenyewe alishasema anataka Liverpool
Kwani Senegal kipa wao nani.Nyie matakataka kipa lenu limeshindwa kuwa shujaa. Bado uefa tunalisubiri tulitoboe
Tetesi ni kwamba atakua nje msimu wote huu hili ni pigo kubwa sana kwetu kwani hata mfumo na upana wa kikosi utatugharimu kuisaka Big 4 na kumalizana na Los Blonco...Luis Diaz has suffered an injury setback and has left the #LFC training camp in Dubai. He hasn't featured for the Reds since suffering a knee problem in the 3-2 Premier League defeat at Arsenal on October 9 [emoji837]
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Huyo Nkuku kwa hizi kenge za darajani anaenda kua another Lukaku.Kwani Senegal kipa wao nani.
Penati hazina mwenyewe.
Naona Darajani pamekucha hongera sana kupata jembe la kazi Christopher Nkunku pale umepata mchezaji endapo atatumika vyema.
YNWA
Ila pale Darajani pana nuksi fulani kwa ma forward 😂😂😂😂...Huyo Nkuku kwa hizi kenge za darajani anaenda kua another Lukaku.
Miss Liverpool sasa hivi umehamia kwa huyu Chotara wa Ki Zimbabwe kwa Matip umeshakata tamaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu mtoto wa 98 sasa nampeleka wapi??[emoji1787][emoji1787]Miss Liverpool sasa hivi umehamia kwa huyu Chotara wa Ki Zimbabwe kwa Matip umeshakata tamaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baba yake Neymar wa sasa hivi kampita umri mpaka Neymar mwenyewe ujue 😂😂😂😂Huyu mtoto wa 98 sasa nampeleka wapi??[emoji1787][emoji1787]
Mdogo kwangu
2020 kabla sijahamia kwa Matip nilikuwa namzimikia sana huyu mtoto acha kabisa[emoji23],
Nilikuwa nambadilisha tu kwenye wallpaper yangu ya simu,hadi avatar nishamuweka huyu mtoto.
Sasahivi nimejikita tu na Matip,nimpate nisimpate,iwe Mvua iwe jua.
Our handsome Matip[emoji39]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Khaaa😂😂😂🙌🙌🙌🙌Baba yake Neymar wa sasa hivi kampita umri mpaka Neymar mwenyewe ujue 😂😂😂😂