Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Jamaa wajanja Sana, wameona kuwekeza pesa ndefu itakula kwao tu, maana wanataka sell Kisha buy,View attachment 2409499
Aiseee kwa taarifa hii ni dhahiri kuna wateja kama watatu hivi wameonyesha nia na ofa ambayo FSG wamevutiwa. Ukishaona taarifa kama hizi zinatolewa ujue FSG wanataka bidding war ili wapate highest bidder.
Kazi ipo.
YNWA
Walevi Kama nyie mnakuja humu kufanya Nini[emoji23][emoji23][emoji23]hujui hata uefa draw na zimetoka LeoManshity kumbe mmeshushwa Europe ligi
Hzo porto na Benifica ilikuwaje mpaka zika qualify?Sisi tulipita njia ya kawaida kabisa ,unacheza inaonekana unacheza CL [emoji23]sio Hawa mamluki walivokuwa wanapewa Porto ,benefica , Villarreal Kila siku nakuja nawauliza hivi Liverpool anacheza CL au Europa maana ilikuwa ni vituko ....
On the spot...Jamaa wajanja Sana, wameona kuwekeza pesa ndefu itakula kwao tu, maana wanataka sell Kisha buy,
Klopp ka demand aletewe Bellingham , Dortmund anataka atleast £120m-150m
Hapo hapo wachezaji nafasi nyingine Wana umri unaelekea over 30, wamepiga hesabu wameona ikifika summer hawataweza kumleta Bellingham, na kuziba nafasi nyingine ,
Wameona wapate Chao mapema , ukiangalia hata hii Liverpool imejengwa kwa pesa za mauzo ya coutinho mwaka 2018 , rekodi zinaonesha ndio kipind Liverpool walitumia £177.5m , January na summer 2018 jumla walispend almost £210m
Ukifatilia utagundua Mzigo mkubwa ulitokana na Mauzo ya coutinho, Baada ya hapo Bila kuuza mchezaji hawawezi kutoa fungu kubwa.
Ili wasiingie mgogoro na mashabiki hiyo summer Wakati Bellingham akielekea Madrid, mancity au Chelsea , wameona Bora Wauze timu mapema wavune faida ,waliinunua Liverpool kwa £300m ,Kama sikosei, Sasa wataiuza kwa £4.5B
Tutaua mtu,me klopp namkubali sana alipata kikos cha maana atatupa makombe sanaOn the spot...
Baada ya covid kuzuka hawa jamaa wameonyesha mara kadhaa wana jambo lao kwanza walianza kuwapa wafanyakazi likizo bila malipo mashabiki wakisema haiwezekani bhana wakafyata, ikaja ishu ya Super League nako wakaangukia pua kote huko utaona ni dhahiri kabisa hua wanawaza namna ya kubakisha ela zaidi klabuni, ikaja suala la Gini kudai 200k ambayo alikua entitled kulipwa kwa kua dogo ni kazi hana stori nyingi, ikaja suala Mane akadai alipwa 240k na marupurupu wakasema no way.. Sasa kunakucha ndio wanastuka hakuna mchezaji wa kuuza ili wampe Klopp funding design kama C10 kipindi kile ndio hapo wakaona watue kwa Nunez ambae miaka 4 mbele atakua na resale value ya zaidi ya £150 m.
Klopp pamoja na mapungufu yake ya ualimu na upangaji kikosi hawa FSG amewapa utajiri balaa, unavyosema hawa wanasepa sababu ya Bellingham wala sishangai kabisa kwa kua hii ela lazima waitoe wao na sio eti tuuze ndio tununue.. Na unavyosema pia ishu ya Liverpool is way deep than MF ni kweli klabu inahitaji uwekezaji kila idara kuanzia MF, defence na mbele sasa hapo Klopp mwenyewe alishasema yupo tayari kusubiri dirisha moja ampate Bellingham na wengine kuliko kununua ili mradi kwa hilo tu Klopp kaingizwa chaka yaaani jamaa wameona timu ipo down ward trend wameamua wahesabu chao mapema wasepe. Kingine sasa ni kwamba Epl ina super powers zaidi Liverpool, wakiwemo Manchester United, Arsenal, Chelsea, Newcastle, Tottenham nk hawa wote wanaingia sokoni mazima hawatanii hapo tu inaonyesha usajili tu ndio utakua silaha kuu kushinda makombe sio bla bla za FSG.
Mambo ni mengi, aje mwarabu wa kwanza kutua ni Mbappe, Neves, Gapko, Bremer [emoji13][emoji13][emoji13]day dreaming
YNWA
Hapa aje tu Mwarabu tusahau maumivu ya hawa jamaa.
FSG akitokea hata consortium ya huko Yankees wao ndio watapewa kipaumbele kwanza(America 1st)kama akikosekana kwao basi hapa itakua bidding war kati ya waarabu na huyo Mhindi na huwezi kushinda vita dhidi ya Waarabu kwenye mpira maana wao wana treat hizi timu kama toys aisee...Mukesh Ambani wanted to buy Liverpool in 2017, 2018 and 2021. But, FSG refused each time. He even bid £3 billion one time and is now preparing a £4 billion bid with guaranteed squad investment.
Mukesh is a senior member of the Ambani Family and has assets of £830billion. #LFC
Apewe tu huyu Mhindi maana alishawahi ku bid aisee.
Daah waki wafavour wa America wenzao watakua wametukatili sana aise.FSG akitokea hata consortium ya huko Yankees wao ndio watapewa kipaumbele kwanza(America 1st)kama akikosekana kwao basi hapa itakua bidding war kati ya waarabu na huyo Mhindi na huwezi kushinda vita dhidi ya Waarabu kwenye mpira maana wao wana treat hizi timu kama toys aisee...
Hivi Klopp kibarua chake kitakua salama kiasi gani na wamiliki wapya wakija. EPL moja kwa miaka 7 sio jambo la kujivunia hata kwa vipi regardless ya kua na wamiliki wa ajabu kama FSG na yeye Klopp amechangia kutuangusha na same time kutupaisha.
Klopp na vijana wake sasa wajitazame upya hakuna mwenye ujira wa kudumu inaweza kua kama pale Chelsea alivyo ingia new hommy mambo yakawa bye bye kwa Thomas.
YNWA
FSG akitokea hata consortium ya huko Yankees wao ndio watapewa kipaumbele kwanza(America 1st)kama akikosekana kwao basi hapa itakua bidding war kati ya waarabu na huyo Mhindi na huwezi kushinda vita dhidi ya Waarabu kwenye mpira maana wao wana treat hizi timu kama toys aisee...
Hivi Klopp kibarua chake kitakua salama kiasi gani na wamiliki wapya wakija. EPL moja kwa miaka 7 sio jambo la kujivunia hata kwa vipi regardless ya kua na wamiliki wa ajabu kama FSG na yeye Klopp amechangia kutuangusha na same time kutupaisha.
Klopp na vijana wake sasa wajitazame upya hakuna mwenye ujira wa kudumu inaweza kua kama pale Chelsea alivyo ingia new hommy mambo yakawa bye bye kwa Thomas.
YNWA