Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

HÀTUTOKUANGUSHA,YAANI KIPARA ANAPAMBANA NA KIVULI CHAKE,HATOBOI KWA MIKEL.....KINYAGO KACHONGA MWENYEWE....
Ni kupambana nae tu hakuna namna na kwa sasa Arsenal wana udhubutu, wana harmony, wana endurance, resilience, wana perseverance, wana mission, wamemwalewa Kocha nk hizo zote ni aspect za mshindani...

Kipara ashushwe tu tupumue.

Kwa sasa Liverpool bora kujiwekeza kusaka vipaji wanunue January 2023 na kujipanga kwenda kushinda UCL msimu huu inakua na asilimia kubwa kushiriki Uefa msimu ujao bila kutegemea kuingia Big 4.

YNWA
 
Kumbe Kuna timu zimetuzidi kukumbatia michezaji mizee!
 
Kumkimbiza kipara aliye serious Kwa njia za janjanjanja lazima achoke.

Hili lizee umefika muda kuondoka.. Captain sijui hata mnang'ang'ania Nini huyu Baba.
 
Heeee hivi ilikua anfield kumbe [emoji23][emoji23][emoji23]

Aahh qmmk [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijui wale madogo ,pumzi waliitoa wapi ya kupambana vile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]madogo wamekimbia uwanja mzima bila kuchoka ,walikuwa physically fit ,nilijua labda pumzi itakata labda dakika za 70 ,ila moto uliendelea kutembea anfield,Leeds waliwaka kweli kweli Kama real Madrid [emoji23][emoji23][emoji23]

Walikuwa wametumwa sio bure aisee ..

This is epl ....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…