Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,844
- 16,298
Nunez is not a project player.
Mchezaji kuhitaji adjustment period/time kwenye his new club, haimaanishi kuwa ni "project" player, na adjustment period/time huwa inahitajika mara nyingi mchezaji anapokuja/sign kwenye team ambayo inacheza mfumo tofauti ambao aliuzoea, so either coach aamue kubadilisha mfumo ili ku-suit his playing style, au am-coach mchezaji na kumvuta katika style na mfumo wake, hence some playees takes a lot of time kuzoea new mazingira/mifumo na tactical variations.
Nunez amecheza in a 4231 career yake yote, Klopp ni muumini wa 433, so it was either ku-abandon 433 for the sake of Nunez, au kum-coach in a 433, and thats what Klopp was trying to do, play a wide/stretched 433, ili kumpa Nunez time/space ya ku-hurt opponent from central areas, kwa ku-build in a 2-1 shape kama kwenye 4231, ambapo hiyo tweak ilionekana kuwa ngumu kuwa implemented as it needed Salah ku-play so wide, Trent ku-invert, etc left us so open on our RHS.
Now, switching 442 inakuwa rahisi kwa Nunez, as anakuwa na uwezo wa ku-interchange na Salah/Firmino kwenye central areas/upfront, akitokea kushoto/kulia, depends Salah anakuwa wapi wakati tuna-attack.
Klopp had to coach an experienced player and Ligue 1 winner Fabinho how to play as a Lone DM, he had to coach one of the best MFs in the world Thiago how to time his runs & ball screening as a 2nd holding LCM, so coaching a 23 year-old ambaye 3 years ago alikuwa kwenye segunda division ya La Liga, kuhusu proper decision making, ni jambo la kawaida sana, unless kama unadhani kazi ya coach ni ku-instruct mchezaji kuingia uwanjani na ku-kick a ball.
Price tag ya Nunez ni justified, kutokana na inflated market ya sasa, last season he scored 26 goals out of 28 league games, scored plenty goals in the CL pia, player of the year & top scorer kwenye portugal league, top 5 league in europe, Benfica started a bidding war, considering they bought him for their club record fee of 24m, ni record signing ya Benfica, na tayari enquires zilikuwa nyingi after just 2 seasons kwenye club, so Benfica had to make sure wanapata profit kubwa, hence wakawa open for a bidding war, mnasahau kuwa Nunez alikuwa ni top 3 targets za Ten Hag at Utd, De Jong, Nunez and a CB, that was his spine, Utd matched our offer pia, but Nunez chose our project, sp theres no way Nunez angeuzwa for cheap.
And, kuwa na price tag kubwa, haimaanishi kuwa hutakiwi kupata nafasi ya ku-settle kwenye team, and kwa baadhi ya wachezaji huwa inawachukua muda ku-settle, na pia kuna makocha huwa wanachukua muda kuwa-adjust new players kwenye system yao.
As i said, Klopp tried to tweak baadhi ya vitu kwenye his system ili kumu-accomodate Nunez, while Guardiola changed the whole shape of his attacking patterns ili kumu-accomodate Haaland, na it showed against us, as Man city failed to to accumulate or interchange/try quick & penetrative passes kwenye final third because they had a target man, hence once we nullified KDB & Silva transitional threats, it became easier for us to minimize Haaland chances.
And, Nunez is a STARTER at Liverpool.



Unapata tabu bureee kumuelewesha mtu ambaye mpaka Partey (engine ya Arsenal) anamlalamikia kua ni Zero IQ. Ila mwanangu Will Jr siku hizi umeanza kukua umepunguza sana matusi



