kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,822
- 20,824
Huu ndo ukubwa wenyewe Sasa!View attachment 2389070
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]Hivi pale Manchester United ni kijiwe cha kupiga ela.
YNWA
Shinda ya Manchester United hapanaga uvumilivu aisee yaaani kila kocha wanataka aamshe kama great Fergie kwa bahati mbaya wengi wa hao mashabiki wanasahau hata Fergie ilimchukua miaka around 6 kuja kushinda EPL ya kwanza kwa sasa hakunaga huo uvumilivu kama wa miaka ile ya 90s..sasa mpira unachezeshwa na keyboard players ambao wengi ni dotcom generation hawana uvumilivu ule and that costing alot of teams... Manchester United is big kwa mafanikio na ukubwa wa brand yao hilo lipo wazi na hii haikuja siku moja ni ujenzi wa miaka mingi sana ushauri wangu kwenu ni muwe na subira na ETH na apewe sapoti sokoni wakati sahihi na utaona Manchester United ikirejea kwenye ubora wake. Haya mambo ya kutegemea usajili mmoja kama Sancho utawarejesha kileleni ni ndoto ya mchana as you have said trust the process.Huu ndo ukubwa wenyewe Sasa!
Ndio maana man Utd inatizamwa Sana na Ni club yenye presha kubwa,,,, tuna miaka karbia kumia hatujashinda kombe kubwa like EPL/UEFA lakini still tupo on top financially kuanzia tv rights, matangazo, bonuses, mauzo ya jez n.k !!!!!
Jezi ya utd Ni nzito Sana kuivaa, wachezaji wanaosajiliwa pale wanalielewa hilo,,,,
City walitoa 100m kwa grealish, performance yake na thaman yake Amna anaeongea ,,,,
Lukaku kwa Chelsea, Amna alieongea,
Pepe kwa arsenal, same story
Soon Nunez kwa Liverpool,,,
Mifano Ni mingi, ila utd mchezaji asipo-perfom mapema kelele zitasikika kila mahali , huu ndio ukubwa ninaouzungumzia ,,,,
Timu inaspend hela nyingi na mishahara mikubwa na still ipo stable financially,,,, !!!
Uwanjani, ? ETH anaisuka timu, tusubiri walau misimu miwili !
Trust the process
Only in Liverpool utaona wazee wakipewa kipaumbele hivi.. Like serious yaaani Milner soon atalimwa red card ndio Klopp atalewa somo.Babu Milner vs Foden
William yupo nje. Si angemuweka Kati hapo then gomez acheze pembeni ampige kiatu huyo fodenView attachment 2389213
Milner again vs ballers wa Manchester City jamani hivi Klopp hua ana bet ama.
Haikua na sababu ya kutomuuza Philips na Bournemouth walionyesha kabisa kumhitaji sana Klopp akakomaa hauzi na sasa huyo anasugua benchi.
Kwa hio itakua Milner vs Foden[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Let's go.
YNWA
Ule upande wa kulia umesababisha magoli kwa sababu timu nyingi wameshajua Salah harudi kusaidia Henderson na Trent kuzuia hivyo umekua targeted msimu huu kwa mafanikio makubwa sana...hilo lipo wazi sana na Klopp as usual hapangiwi huyoo kwa babu.William yupo nje. Si angemuweka Kati hapo then gomez acheze pembeni ampige kiatu huyo foden
"Liverpool malalamiko" huwez kuwaona hapa mpaka timu ifungweMmeukimbia Uzi wazee
Daaah bob siku izi ndo umekata Tama hiv[emoji1]Ule upande wa kulia umesababisha magoli kwa sababu timu nyingi wameshajua Salah harudi kusaidia Henderson na Trent kuzuia hivyo umekua targeted msimu huu kwa mafanikio makubwa sana...hilo lipo wazi sana na Klopp as usual hapangiwi huyoo kwa babu.
Klopp akishinda leo itaonyesha masterstroke kwa Milner ila akifungwo haha sijui atasingizia nini.
YNWA
Siamini half time bila bila